Maisha bila watoto wala ndoa

Maisha bila watoto wala ndoa

Astrid_Lulanga 8223

New Member
Joined
May 30, 2026
Posts
1
Reaction score
8
Naomba kujua kwa walioamua kuishi bila bila kuoa/kuolewa maisha yao yote na bila kuwa na watoto kabisa(sio kwasababu hana uwezo wa kuzaa).

Ni mambo gani yaliwasaidia kuishi hiyo lifestyle? Umelala kwa muda gani na attention yako umehamishia wapi zaidi tofauti na ndoa/Watoto?
 
Kwasasa kila mtu na malengo yake zaidi kuhusu familia na mtoto ni wazo ambalo halipo kichwani mfano 2pac amewahi kusema hawezi kualeta mtoto kwenye dunia iliyojaa unafiki na kila dhoruba
 
Kwasasa kila mtu na malengo yake zaidi kuhusu familia na mtoto ni wazo ambalo halipo kichwani mfano 2pac amewahi kusema hawezi kualeta mtoto kwenye dunia iliyojaa unafiki na kila dhoruba
Vp na mama ake angekuwa na mawazo hayo, tungemjua huyo 2pac?

Anyway, angeanza kwa kumuuliza mama ake Kwann alimleta kwenye dunia yenye kila dhoruba.
 
mfano 2pac amewahi
Nukuu:

"Mipango ya Kuwa na Familia

Tupac aliwahi kufunga ndoa fupi na Keisha Morris, lakini hawakubahatika kupata mtoto katika kipindi hicho.
1780215034411.png
Kulingana na maelezo ya Keisha, walikuwa na mipango thabiti ya kuanzisha familia na hata walishachagua majina ya watoto wao wa baadaye (Michelangelo kwa mtoto wa kiume na Star kwa wa kike). Nia ya 2Pac ya kutaka kuwa baba siku moja ilionekana wazi pia kupitia sanaa yake, hususan kwenye wimbo wa "Letter to My Unborn Child," ambapo alikuwa akizungumza na mtoto aliyetarajia kumpata. Kifo chake cha mapema akiwa na umri wa miaka 25 kilikatisha ndoto hizo."
 
Vp na mama ake angekuwa na mawazo hayo, tungemjua huyo 2pac?

Anyway, angeanza kwa kumuuliza mama ake Kwann alimleta kwenye dunia yenye kila dhoruba.
Hayo maswali huwezi ila si unaona dude baya alimvyomwambia mwanae kua alikua hana nia ya kumleta ila ilitokea tu kampiga mjegeje mama ake katika treni ndo kajibebesha
 
Back
Top Bottom