ndani

The Dani people, also spelled Ndani, and sometimes conflated with the Lani group to the west, are a people from the central highlands of western New Guinea (the Indonesian province of Papua).
They are one of the most populous tribes in the highlands, and are found spread out through the highlands. The Dani are one of the best-known ethnic groups in Papua, due to the relatively numerous tourists who visit the Baliem Valley area where they predominate. "Ndani" is the name given to the Baliem Valley people by the Moni people, and, while they do not call themselves Dani, they have been known as such since the 1926 Smithsonian Institution-Dutch Colonial Government expedition to New Guinea under Matthew Stirling who visited the Moni.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Moscow, Urusi: Shambulio la kigaidi laua Watu zaidi ya 130

    Watu 115 waliuawa na zaidi ya 140 kujeruhiwa wakati watu wenye silaha waliposhambulia ukumbi wa tamasha uliojaa watu eneo la pembeni mwa Moscow, Urusi inasema. Moto mkubwa uliteketeza paa la jengo hilo na video ya kusisimua inaonyesha watu waliokuwa kwenye tamasha wakipata hifadhi huku milio ya...
  2. JamiiForums Tanzania Kutokana na ukosefu sugu wa vitendea kazi Jeshi la Zimamoto napendekeza liunganishwe na kiwe kitengo ndani ya jeshi la polisi

    Siku za nyuma kidogo nilipiga simu jeshi la zimamoto na katika maongezi yetu na askari aliyekuwa mapokezi nikamuuliza ni kwanini huwa wanachelewa kufika eneo la tukio panapotokea ajali ya moto na hata wakifika huwa hakuna msaada wanaotoa. Alichonieleza ni kuwa sio kama wanapenda kufanya hivyo...
  3. JamiiForums Tanzania Urusi yasema Chanjo za Saratani ziko tayari kutolewa ndani ya miaka mitatu

    Vizuizi vingi vilivyosalia vinaonekana kuwa vya kisheria, kulingana na Vasily Lazarev wa Wakala wa Tiba na Biolojia ya Kimedikali ya Urusi. Watafiti wa matibabu wa Urusi wanaweza kuwa na uwezo wa kutumia chanjo za kansa ndani ya miaka michache ijayo, ikizingatiwa ufadhili wa kutosha na msaada...
  4. I

    JamiiForums Tanzania Katika kipindi cha miaka mitatu ya Rais Samia, wastani wa Shilingi Bilioni 20 zimekuwa zikitolewa kila mwezi kwenda MSD

    1. Ujenzi na uboreshaji wa Miundombinu ya kutolea huduma za Afya katika maeneo mbalimbali nchini yamewezesha Vituo vya kutolea huduma za Afya kuongezeka kutoka vituo 8,549 Mwaka 2021 hadi vituo 9,610. Hii ni pamoja na Zahanati, Vituo vya Afya, Hospitali za Wilaya, Mikoa, Kanda, Maalum na Taifa...
  5. JamiiForums Tanzania Video: Urafiki wenye mabadiliko ndani yake

  6. B

    JamiiForums Tanzania Oman Wafanyakazi wa Ndani Toka Afrika Wapitia Magumu

    Trapped in Oman - BBC Africa Eye documentary https://m.youtube.com/watch?v=fJTh4Gdn_B8 Wakipewa ahadi kemkem kuwa ajira za ndani nchini Oman zitabadilisha maisha yao, lakini mara wakifika huko hupokonywa hati zao za kusafiria na mikataba. Baada ya hapo hufanyishwa kazi masaa mengi, kufanyiwa...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Ni viongozi gani waliaminiwa na JPM na ndani ya miaka mitatu tayari wamemsaliti kwa kauli na matendo?

    Kuna watu JPM aliwaamini akawateua na kuwapa madaraka kama wasaidizi wake. Leo ni miaka mitatu tangu kifo chake. Katika kumbukizi hii napenda kufungua mjadala wakuchambua viongozi waliokuwa wanamsifia JPM akiwa hai na sasa ameondoka wamegeuka na kuanza kudhihaki. Kiongozi mmoja wapo aliyewahi...
  8. JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole ni miongoni mwa Viongozi wa awamu ya 5 walioua Demokrasia ndani na Nje ya CCM

    Katika mwendelezo wa nyuzi zetu kwenye mwezi huu wa 3 , ambao unaitwa Mwezi wa Mungu , Hatimaye tumemfikia Ndugu Humphrey Polepole , Mjumbe wa kamati ya kuratibu Maoni ya Wananchi ya Mchakato wa katiba mpya au katiba ya Warioba , DC wa zamani wa Ubungo , Katibu wa uenezi na Itikadi wa ccm ...
  9. JamiiForums Tanzania Kiongozi mwingine wa HAMAS auawa Lebanon ndani

    Poleni kwa msiba.... The IDF Spokesperson's Unit confirmed that a fighter jet killed Hamas terrorist Hadi Mustafa on Wednesday. Mustafa was a key Hamas operative and significant in directing terror squads and promoting attacks against Israel. Mustafa was killed while in a vehicle on Wednesday...
  10. JamiiForums Tanzania Maumivu ndani ya pua (maxillary sinus area)

    Habari wana jamii forum, nimekuja na issue moja, Kuna hili tatizo linanisumbua mwaka wa pili sasa lilianza mwaka juzi mwezi wa tatu nikaangaika nalo hadi mwezi wa 5 likawa limekwisha kabisa. Iko hivi huo mwezi wa 3 mwaka 2022 ilikuwa nikivuta mafua yaje kwa njia ya mdomo mfano( kuna time...
  11. JamiiForums Tanzania Ndani ya CCM hakukaliki, kuna mipasuko, hakuna amani ndani ya chama. Tunayoyaona sasa yanaeleza kila kitu kinachoendelea nyuma ya pazia

    Muasisi wa nchi yetu mwalimu Nyerere aliwahi kugusia jambo kwenye moja ya hotuba zake wakati akielezea ni jambo gani kubwa inaweza kupelekea nchi kupata maendeleo, alisisitiza sana swala la demokrasia; lakini kwa bahati mbaya hata ndani tu ya chama cha CCM sasa miaka hii hakuna hiyo demokrasia...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Ngoma ya Way back humu ndani Jay Moe kaonyesha umwamba sana

    Hello, Hi Ngoma Jay Moe kashirikishwa na Country Wizzy, Techniques kafanya balaa sana flows za hatari plus maandishi ya ki father sana hili ni bonge la ngoma..
  13. JamiiForums Tanzania Mwanamke muhimu sana anakubadilisha ndani ya masaa 24

    Binafsi niliachana na mpenzi wangu niliyeishi naye Kwa zaidi ya miaka mitatu na tuliachana baada ya mikwaruzano mwaka Jana June. Kiukweli maisha niliyoishi ni mabaya Sana bila mwanamke yaani ghetto Lili Kuwa full chafu utandu wa buibui mixer kukaribia kuunguza nyumba ya watu kwamba jiko LA gas...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Nguo ya ndani bora kwa mwanaume

    Wakuu kwema, poleni na majukumu. Aisee nina changamoto ya fungus, nadhani zinatokana na hizi boxer ninazovaa. Humu mapajani kunasuguana mno, napata maumivu makali wakati wa kutembea. Kuna muda inabidi nitembee kama nimetoka kutahiri kumbe ni kuhofia ile friction ya mapaja hapo kati. Sasa...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Nashauri tuigeuze rushwa kuwa ni chanzo halali cha mapato ndani ya taasisi (Fast Corridor)

    Ndugu wapendwa! "Ukitaka kuokoka lazima utambue uwepo wa shetani kwanza" Siyo kwa ubaya ukweli ni kwamba Rushwa ipo ndiyo maana tuliunda taasisi ya kupambana na rushwa! Huwezi kupambana na kitu ambacho hakipo! Siku moja nikiwa nafanya kazi yangu ya ufundi umeme bosi wangu akanitania kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe alikuwa na nafasi gani ndani ya ACT Wazalendo?

    Haya wajuba wazee wa siasa za Bongo muje munieleze vizuri. Zitto Kabwe alikuwa na nyadhifa gani ACT Wazalendo? Wanahabari wetu wanaishia tu kutuambia kuwa alikuwa kiongozi wa chama.
  17. JamiiForums Tanzania Ajali: Lori limeingia ndani ya kituo cha Mwendokasi

    Ajali imetokea maeneo ya Mbagala Zakhiem ambapo kuna Lori limeingia ndani ya kituo cha Mwendokasi. 📸 - Adventure_36 "X"
  18. S

    JamiiForums Tanzania Makaburi ya Viongozi: Jeneza hugusana na udongo au ndani huwa kunakuwa na uwazi uliofunikwa na zege kwa juu?

    Mwenye kujua atujuze kwani nafahamu ipo miili ambayo hukaushwa na kubaki kama ilivyo na mingine sujui huwekewa vioo watu watazame, n.k. Kwa Tanzania yetu hii, viongozi majeneza yao hushindiliwa na udongo kama ya watu wa kawaida au wao huzikwa kwa namna tofauti majeneza yao hayakutani na udongo...
  19. JamiiForums Tanzania Ninampango wa kufungua kampuni ya uongozaji wa watalii ndani ya Tanzania

    Post closed
  20. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa shida hii ya ngozi

    Kuna MTU ana shida ya ngozi anatokewa na kipele kidogo kwenye ngozi baada ya Muda kidogo kinabadilika kinakuwa kikubwa kiasi chenye majimaji NDANI yake, akikitumbua kinapona baada ya Muda mfupi. BAADAE kinaibuka sehemu nyingine. Kila akitimbua. Kesho yake kinaibuka sehemu nyingine. MSAADA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…