Mdada siku moja moja toka nje ujipitishe pitishe angalau uonekane

Rayvanny wa jamiiForums

Senior Member
Apr 7, 2023
132
347
Mdada unaetafuta mume usijifungie ndani toka angalau nje ujipitishe pitishe uonekane huwenda ukampata mwenzio, alafu ukiwa unatembea tembea usiwe unatembea haraka haraka na ukiitwa itikia siyo unakuwa kama bubu.

Alafu ukitafutwa usiuluze namba yangu umeitoa wapi mume hapatikani hivyo changamka bwana, kama ikitokea umetumiwa meseji jibu wanaume huwa hawana mawili kwenye moja ukipuuzia meseji hizo utazeekea kwenu shauri yako.
 
kwa hiyo wanawake wote wanaojipitisha barabarani wameolewa siyo?
Hao hawajipitishi wanapita kashaelezea namna ya kujipitisha na kama kwa bahat mbaya umeolewa lakin ukasimamishwa siyo mbaya we sikiliza then sema nimeolewa mbona wazungu haya mambo wanachukulia simple tu anakuambia ooh sorry am taken lakin anaonyesha kufurahia kwamba umemtongoza
 
Mdada unaetafuta mume usijifungie ndani toka angalau nje ujipitishe pitishe uonekane huwenda ukampata mwenzio, alafu ukiwa unatembea tembea usiwe unatembea haraka haraka na ukiitwa itikia siyo unakuwa kama bubu.

Alafu ukitafutwa usiuluze namba yangu umeitoa wapi mume hapatikani hivyo changamka bwana, kama ikitokea umetumiwa meseji jibu wanaume huwa hawana mawili kwenye moja ukipuuzia meseji hizo utazeekea kwenu shauri yako.
umeongea kweli
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom