Usimrudishe kwao, yamalizeni ndani

c h o l o

Member
Dec 9, 2023
92
156
Salaam wakuu.

Binafsi sijaoa ila inaeleweka kuwa ndoa zina changamoto nyingi sana zinazowesha kusababisha kupishana kauli, kupigana (sometymz), kunyamaziana n.k....

Nawapa kisa kimoja

Miaka miwili ilopita, nilikuwa nikimtongoza manzi flan hv (hapa tumwite mary) alokuwa na kila sifa ya kuitwa mrembo, nilitumia mbinu zote kuhakikisha kuwa nampata lkn sikufua dafu. Aliishia kuwa na jibu moja tu kuwa yy ni mchumba wa mtu na si muda wataoana. Sikuona shida, nikaendelea na tabia ya kumkumbusha kuwa bado yuko moyon mwangu na hakuwahi kunielewa licha ya kupokea vizawadi vyangu vyenye lengo la kumfanya abadilk msimamo wake. Sikufanikisha jambo wakuu.

Haukupita muda ilitangazwa ndoa na nilishuhudia akivishwa pete na mwamba ambaye alinizibia nafasi ya mimi kupendwa na yule mrembo. Kifupi yule mwamba yuko njema sana kufedha, japo sikuwa nikimfaham kabla ya harusi.

Muda ulienda bhana, wakajaliwa katoto ka kiume na maisha yao yakawa bomba zaidi. Juzi kati wakati nimerudi mjini kutoka mashambani nilipita mtaa mmoja hv angalau nikajipooze koo na kujipa pole kwa shughuli za kilimo zilizoniweka kijijini kwa wiki kadhaa, kupepesa macho nilimwona mary akiwa kabebelea mamifuko kutoka duka lililokuwa jiran na pale nilipokuwa nikipata kinywaji, na kuzama ndani ya kigari kidogo aina ya passo kisha akakiwasha na kusepa.

Nilitafta namba ake fasta kisha nikampandia hewani, kweli bhana alikuwa ni yeye. Baada ya stori nyingi kwa simu alinambia kuwa yupo hom kwa wiki mbili sasa. Sikuona shida, nikaomba kuonana naye na aliitikia bila shaka yyte. Kesho yake mapema alinipigia simu kujua nilipo. Nilijibu kuwa nipo nyumbani kwangu kisha akaitikia "napitia hapo chapu". Wakuu niliishiwa pozi mana palikuwa rafu vibaya mnooo, uzuri n palikuwa pasafi, japo vitu vya ndan ndo vilikosa mpangilio (shida ya ubachela).

Mary alifika kwa mara ya kwanza nyumbani kwangu. Baada ya stori nyingi sana, akapata juice (hatumii vilevi) kisha nikawa najaribu bahati yangu kwa kujiweka karibu sana na mary wakati tunapiga stori. Wakuu... sikupata "no" kwa yote nlojiskia kumfanyia tukiwa pale seblen.

Baada ya kuona mwelekeo wa ninachokiwaza unatia moyo, nilimwomba tuzame room naye hakupinga. Tulifanya kila kitu hadi tukachoka. Muda wote sikuamini kuwa kitandani nipo na mary yule alokuwa akinijibu kwa mkato kipindi kile. Aliomba kusepa, nikamuescot hadi karib na kwao then nikageuza.

Usiku ule nilimpigia simu tukaongea mengi sana. Katika maongez yake alikuwa akimlaumu sana mumewe kwa kumtaka arudi kwao kila wanapogombana. Hata hapo pia yupo nyumbani baada ya kupishana kauli na baba watoto wake kwa sababu za kijinga sana.

Mary amekuwa akija mara kwa mara kwangu, tunapiga stori kisha nampiga fimbo kadhaa na kurudi nyumbani kwao. Mumewe huko aliko anajua mary anaelekezwa namna ya kuishi na mwanaume wake.

Nilichogundua n kwamba huyu mrembo hakuwa na tabia ya kufanya anayoyafanya na mimi Cholo, ila anapitia kipindi kigumu sana, so kuamua kujiachia kwangu ni kutaka kutafuta faraja ya muda tu kabla mumewe anatafakari namna ya kumrudisha wakaendelee na maisha yao.

Wanaume... tujaribu kuyamaliza mambo ya ndani ya ndoa. Kumrudisha mke nyumban mnakoseaaaa, tupo akina cholo tunaowafaidi kizembe.

Shauri yenu. (Ntaoa mwakani)
 
Sifa za kijinga.

kermit.gif
 
Mwanamke akipata shida kidogo katika ndoa hakawii kugawa mzigo hata kwa ambaye hajawahi kumpenda.

Haijalishi amerudishwa kwao au yuko kwa mumewe. Atagawa tu. Ila hasira zikiisha ndipo hugundua kakosea. Wengine huacha na wwngine huchonga mzinga mazima.

Niliwahi kumwona mama mmoja wa watoto wawili akiwa eneo la stoo ya biashara yao analia. Kumbe wamegombana baada ya kugundua mwanaume kachepuka na anamiliki kabisa.

Care ndogo niliyompa kuna siku aliniita kwao mjengo wa kifahari akinishawishi tupige show.

Ziliniokoa mbio kwa kweli.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom