ndani

The Dani people, also spelled Ndani, and sometimes conflated with the Lani group to the west, are a people from the central highlands of western New Guinea (the Indonesian province of Papua).
They are one of the most populous tribes in the highlands, and are found spread out through the highlands. The Dani are one of the best-known ethnic groups in Papua, due to the relatively numerous tourists who visit the Baliem Valley area where they predominate. "Ndani" is the name given to the Baliem Valley people by the Moni people, and, while they do not call themselves Dani, they have been known as such since the 1926 Smithsonian Institution-Dutch Colonial Government expedition to New Guinea under Matthew Stirling who visited the Moni.

View More On Wikipedia.org
  1. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Lengo la dhati la chadema si katiba, bali vifungu ndani yake vitakavyowasaidia kushinda

    This is fact and realitity! Kiu ya chadema ni kuona vifungu vichache vya katiba vikibadilishwa wakifikiri huenda ndio kikwazo kwao katika kukamata dola, pigano lao kubwa zaidi ndani ya katiba yetu ni uwepo wa tume huru ya Uchaguzi wakidhania kwa fikra zao mfu ya kwamba utaratibu uliopo...
  2. Ricky Blair

    JamiiForums Tanzania Wasichana wa kazi wa ndani

    Jamani nafikiri muda wa kubadilisha sheria au ku enforce vizuri na vikali sawa; wasichana wa kazi iwe marufuku kulipwa at the very most minimum ya 200k kwa mwezi na wale wa kwenda na kurudi at least 150k and I thk minimum salary is around hiyo kwa Serikali; which means hata kama ukiwaongeza Poa...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Kiimani hii imekaaje: Mwanamke ni pambo ndani ya nyumba

    Kwa ndugu zetu waislamu, mwanamke ni pambo la nyumbani kwa mume wake, haruhusiwi kuonwa na mwanamume mwingine zaidi ya mume wake. Sasa sisi tuna rais mwanamke na siku zote tunaona uso wake, je kiimani hii inaruhusiwa? kama hairuhusiwi, adhabu yake ni ipi? Msikilize shehe hapa...
  4. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Maharage Chande: Mtanzania Aliyeongoza Taasisi 3 Nyeti ndani ya saa 96

    Ikumbukwe kuwa aliteuliwa mnamo 25/09/2021 kuwa mkurugenzi mkuu wa TANESCO Na ndani ya saa 96 zilizopita ndugu Maharage Chande ameongoza taasisi 3 nyeti. 1. TANESCO 22/09/2023 (cheo cha awali) 2. TTCL 23/09/2023 (cheo kipya) 3. TPC 25/09/2023 (cheo kipya kabisa) Nahisi ana kitu unique sana...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimekuta kibubu kina 30,000/- tu baada ya kuweka pesa karibu miezi 5, nifanyeje?

    Habari, Jamani naomba msaada wa aina yeyote ile, nimechanganyikiwa sana sana. Niende kwenye mada; Mimi ni dada ambaye najishughulisha na biashara ya kuuza matunda, sasa basi nimepanga mahala naishi mwenyewe, nina tabia ya kuhifadhi pesa ndani, yaani ule mfumo wa kuweka kwenye kibubu. Yaani...
  6. Webabu

    JamiiForums Tanzania Ni lazima sasa Ukraine iipige Urusi ndani kabisa-Biden

    Hapo juzi waziri wa mambo ya nje wa Urusi ,Lavrov akiwa New York alikumbusha kwa masikitiko mengi kuwa Marekani wakisaidiwa na Uiengereza sasa hivi wako vitani rasmi na taifa lake la Urusi. Kauli yake hiyo inazidi kuungwa mkono na misimamo ya Marekni pamoja na matamshi yao ambapo Rais Biden...
  7. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Nina watoto, najua kupika, na kazi zote za ndani, napata maokoto ninavyotaka sasa sina sababu ya kuoa

    Hii iwafikie wote wanajua haki za binadamu na uhuru binafsi katika kuishi maisha kwa raha bila kuvunja amani na usalama wa nchi na raia wake. Katika hali ya kuwa vizuri kiakili, kiuchumi na kuwa baharia mpambanaji wa nguvu, napata kila kitu Kwa wakati na muda wote, najua kufanya kila aina ya...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mwimbaji wa Wimbo wa "Mnatuona Nyani" afikishwa Mahakamani, tuhuma za Uchochezi zayeyuka yawa kesi ya kusambaza Uongo

    Kwa mujibu wa Wakili Jebra Kambole ambaye yuko upande wa utetezi, amesema Watuhumiwa wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi jijini humo kwaajili ya kusomewa Mashtaka yanayowakabili. Sifa Bujune, Mkazi wa Isyesye anashikiliwa tangu Septemba 13, 2023 pamoja na Mtayarishaji wa muziki aitwaye...
  9. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Wasomi, mainjinia, wanazuoni wetu mliopo ndani ya Serikali yetu mmelishindwa suala la umeme?

    It's a shame! Umeme wa uhakika ndio unaleta maendeleo katika taifa lolote lile ulimwenguni, kabla ya kushughulikia na lolote lile taifa au mataifa huuimarisha umeme wake ndipo mengine hufuata, je wanazuoni wetu wameshindwa kutatua hili? Nashauri tupunguze kasi kwenye mengine na tuimarishe hili...
  10. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Bila haki, uhuru, demokrasia ya kweli nje na ndani ya bunge, kukosekana uhuru wa vyombo vya habari na uhuru wa raia kukosoa, Tanzania itabaki maskini

    Msingi wa maendeleo ya binadamu ni haki, uhuru na demokrasia, kuna mahali serikali ya Tanzania hii ya CCM haijitambui na Dunia haina macho dhidi ya Tanzania, pengine ndiomana Magufuli ilibidi afe (mnisamehe ntaeleza), dhamira ya Magufuli kuua upinzani ilikuwa ya kitoto na ya kipumbavu, Magufuli...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Jana Huko Chigali (Rwanda) kulikuwa na burudani ndani na nje ya uwanja!

    Jana Wananchi aka Utopolo walipata burudani ya kutosha ndani na nje ya uwanja. Hongereni watani kwa ushindi. Mlistahili kwa kuwa mna timu nzuri.
  12. Orketeemi

    JamiiForums Tanzania Kuhubiri ndani ya vyombo vya usafiri si ustaarabu

    Wakuu Niende straight to the point. Hii aabia ya baadhi ya viongozi wa dini kupendelea kuhubiri tena kwa sauti Kali kwenye vyombo vya usafiri vya umma naona kama haijakaa sawa. Kila kitu kufanyika mahali pake ndio USTAARABU.
  13. Maan

    JamiiForums Tanzania Hodii, hodiii humu ndani

    Naombeni mnikaribishe
  14. Aziwero

    JamiiForums Tanzania Ni sehemu gani ndani ya Dar es Salaam panafaa kwa biashara ya vifaa vya simu?

    Habarini ndugu, Hivi karibuni nimekua na uhitaji wa kufungua duka la simu na vifaa vyake ndani ya jiji la Dar lakini imekua changamoto kwangu kujua sehemu sahihi kwa ajili ya hiyo target market yangu ni watu wa kipato cha chini na cha kati. Naomba msaada wenu
  15. Jay_255

    JamiiForums Tanzania Kopesha milioni 3.6 urejeshewe milioni 6 ndani ya miezi 10

    Habarj wakuu Naomba niende moja kwa moja kweny mada husika. Baada ya kufanya research yangu kwa kipindi cha miezi 2 na kugundua sasa kumbe kweli fursa ipo na inalipa. Nimeona ni muda sasa wa kufanya kweli katika hii business. Kwa kipindi cha miezi miwili nimekuwa humu jamiiforums kuagizishia...
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Karibu Mwenge wa Uhuru Ndani ya Mkoa wa Tabora

    MBUNGE KAINJA - KARIBU WANANCHI WOTE WA MKOA WA TABORA TUUPOKEE MWENGE WA UHURU Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora, Mhe. Jacqueline Kainja Andrew anawakaribisha Wananchi wote wa Mkoa wa Tabora kushiriki Mapokezi ya Mwenge wa Uhuru ambao umeanza kuzindua miradi mbalimbali ndani ya Mkoa wa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa CCM: Mruhusu ushindani kwa Wagombea Urais ndani ya CCM

    Ni muda muafaka sasa umefika CCM iruhusu ushindani kwa wagombea Urais ndani ya Chama. Vile vile, kofia ya Urais na ya MwenyeKiti wa CCM Taifa itanganishwe ili iwe rahisi kwa Chama kuisimamia Serikali. Nawasilisha.
  18. HelcopterChopa

    JamiiForums Tanzania Wenyeji, hodi humu ndani

    nawasilimu nyote. Nimejiunga nanyi kwa mambo mawili muhimu. Kwanaza, kuchota elimu, ujuzi na marifa katika nyanja zote kijamii, kiuchumi, kiutamaduni na kisiasa. Maana kwa muda mrefu nimekua nikichota marifa mengi ya humu ndani nikiwa nje kama mshabiki, nikaona sasa ni muda muafaka niwe...
  19. Z

    JamiiForums Tanzania Wakubwa duniani ni kama miungu watu: Boss yuko ndani ya Benz, halafu walinzi wanakimbia kwa miguu kuilinda!

    Huyo ni Rais wa Korea ya kaskazini akivuka mpaka kwenda kukutana na Rais wa Korea ya Kusini.
  20. K

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo: For better performance, TRA igawanywe zipatikane mamlaka mbili, Mamlaka ya mapato ya ndani na mamlaka ya mapato ya nje

    Tumeona mabadiliko yalifanywa katika wizara au mamlaka ya kupunguza ukubwa wa taasisi au wizara ili kuleta tija na ufanisi. Tumeona wizara iliyokuwa nishati ya nishati na madini ikigawanywa katika wizara ya nishati na wizara ya madini, iliyokuwa wizara ya ujenzi na uchukuzi ikigawanywa katika...
Back
Top Bottom