Uovu ndani ya Kanisa Katoliki

ward41

JF-Expert Member
Apr 3, 2022
397
1,394
Kwetu sisi tunaojuwa Historia ya kanisa katoliki, jambo la kuruhusu ushoga ndani ya kanisa halishangazi.

Kanisa katoliki lilishaoza miaka mingi sana.

Uozo wa kwanza uliaanza na mfalme Constantine aliporuhusu sanamu ndani ya kanisa (312 AD).

Akaja tens Padri Terzel alipochapisha KADI kwa ajili ya ujenzi wa jengo la st Peters Vatican. Padri Terzel alidanganya watu kwamba mtu akifa anakuwepo sahemu moja panaitwa purgatory (toharani) hivyo mkichanga kwa ajili ya ujenzi wa kanisa, mtu yule anapelekwa mbinguni.

Sio Hilo tu, akadanganya kwamba ili dhambi zako zifutwe, unatakiwa kuchangia ujenzi wa kanisa. Watu wengi walifanya michango mikubwa ili wasamehewe dhambi zao tofauti na maandiko yanavyosema.

Sio hilo tu, Kanisa katoliki walikataza watu kusoma biblia na wakalificha kwa muda wa mamia ya miaka kilichopelekea kuanzisha dini ya kiislamu.

Watu wa nyakati zile walilikosa neno na walikuwa wanasikia tu habari zakina Musa, Ibrahim, Adam Kama hadithi kitu kilichopelekea kuanzisha Quran.

Ukiangalia quran unapata hadithi nyingi tu za kwenye biblia. Utakuta kuna habari za Ibrahim, Yesu, Yusuf, Suleiman nk kwa upotofu. Ni kitabu kilichoandikwa baada ya biblia kufichwa na kanisa katoliki

Ashukuliwe Padri Martin Luther, alianika makosa 95 ndani ya kanisa katoliki (Miami ya 1500 AD) . Yale makosa yalibandikwa ukutani nje ya jengo la kanisa. Walitangaza kumuua lakini watu wakamficha. Hilo jambo la kuanika makosa 95 liligeuza mfumo mzima barani ulaya wa kidini na kisiasa. Watu wengi walimuunga mkono Martin Luther.

Kwa ufupi kanisa katoliki lilishaoza muda mrefu Sana. Haya Mambo ya Ushoga ni muendekezo tu wa ule uozo.

Martin Luther akatoka na alikuwa Padri. Wewe ni nani unang'ang'ania?

Toka, Unasubili nini? Unahisi watabadilika? Yesu Christ anajaribu kutoa ujumbe wa wazi alafu unajaribu kuremba maneno.

Ndani ya Vatican kuna mapadri na maaskofu mashoga. Hicho Alichokitamka Papa ndiyo uhalisia wa Vatican.
 
Fafanua kwa kina wahuni wachache ndani ya Kanisa Katoliki walivyokaa chini na kumwandaa Mwamedi kama nabii wa uongo.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom