Chakula, malazi na makazi ni mahitaji ambayo kila mwanadamu lazima ayapate kila, ndio maana yamewekwa katika mahitaji ya msingi ya mwanadamu. Kila siku mwanadamu anapambana ili kuhakikisha anakua na uhakika wa nini atakula, nini atavaa na wapi atalala.
Kabla ya kufikiria ubora wa mahitaji...
Tanzania ni miongoni mwa nchi zenye utajiri wa asili mkubwa duniani, lakini pamoja na kuwa na utajiri huo kasi ya maendeleo ya nchi ni ndogo sana ukilinganisha na rasilimali tulizonazo .
Nini chanzo cha hayo yote?1.Kukosekana kwa dira ya taifa.
Maendeleo yanahitaji dira kuu ya Taifa ili...
Mratibu wa Afya ya Kinywa na Meno Taifa kutoka Wizara ya Afya, Dk. Baraka Nzobo amesema kwa mwaka 2021, takriban wagonjwa 600 waligundulika kuwa na saratani za kinywa na meno.
Dk. Nzobo alibainisha hali hiyo Septemba 7, 2022, Mkoani Dar es Salaam katika mahojiano na Nipashe wakati wa Kongamano...
UTANGULIZI
Sayansi Ni tawi la maarifa linalohusu nadharia, vipimo, uchunguzi wa hatua kwa hatua na uthibitishaji wa kuwepo au kutokuwepo kwa kitu au jambo katika hali halisi.
Tunaliona hili katika historia fupi ya sayansi.
Sayansi ilianza kama udadisi wa mtu mmoja mmoja lakini kadri maarifa...
Hospitali ya Taifa Muhimbili imesaini mkataba na Kampuni ya Medel kutoka nchini Austria wenye lengo la kuanzisha maabara ya kwanza ya aina yake Afrika Mashariki ili kufundisha na kuboresha upasuaji wa sikio kwa wataalamu wa ndani na nje ya nchi.
Akisaini mkataba huo, Mkurugenzi Mtendaji wa...
WAZIRI BASHUNGWA AMEZIAGIZA HALMASHAURI KUSHIRIKIANA NA TAASISI ZA DINI ZINATOTOA HUDUMA ZA AFYA NCHINI.
OR TAMISEMI - Dodoma
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Innocent Bashungwa amewaagiza Wakurugenzi na Waganga Wakuu wa Halmashauri zote nchini...
Wadau wa elimu nchini.
Ipo haja mitihani hii isimamiwe na NECTA ILI kuiongezea TIJA na mkazo mashuleni KULIKO ulivyo Sasa.
Napendekeza yafuatayo kufanyika.
1. RATIBA
Ratiba ya ufanyikaji wake iwe sawa kote nchini ILI kuepusha ratiba kutofautiana toka mkoa mmoja hadi Mwingine kama Sasa. Hii...
Utangulizi
Leo nitaongelea mada inayohusu muziki wa kizazi kipya na jinsi muziki huo unavyoweza kutumiwa kikamilifu kutoa ajira kwa vijana ili kupunguza tatizo la ajira kwa vijana hapa nchini. Lakini kabla sijaendelea mbele, naomba nielezee mkwamo unaosababisha biashara ya muziki huu usipanuke...
Ajira katika nchi yetu ya Tanzania imekuwa Ni changamoto kubwa Sana kwasababu imezoeleka kwamba mtu anapomaliza chuo anategemea kupata ajira Lakini unakuta wakimaliza chuo watu Kama laki mbili kwamfano Kati ya hao watakaoajiriwa wanakuwa Ni elfu kumi wengine wote wanabaki mtaani wanakuwa hawana...
Wakati mfumuko wa bei ya bidhaa za chakula ukiripotiwa sehemu mbalimbali nchini, hofu ya bei hizo kuendelea kupanda imeibuka baada ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) kutangaza uwezekano wa kuwepo upungufu wa mvua za vuli katika maeneo yanayopata misimu miwili ya mvua.
Hofu ya bei ya...
Ndugu nawasalim kwa jina la yule alieumba mbingu, ardhi na vyote vilivyomo ndan yake.
Ndugu zangu nakumbuka marehem babu yangu aliwahi kuniambia kwamba, kama mwanamuziki mkongwe nchini Tanzania hayati Marijani Rajabu aka Jabali la muziki angejaaliwa elimu katika maisha yake ya dunia, basi...
Kampuni ya simu ya Vodacom wamefanya kweli, leo wametambulisha teknolojia ya 5G nchini na kuwa kampuni pekee mpaka sasa nchini yenye 5G.
Nimefurahi sana, tumekuwa na simu za 5G mpaka zinaelekea kuchakaa tumeshindwa kuziutilize kwenye eneo hilo. Muhimu mtandao uwe reliable na vifurushi vya...
Bloomberg yasema kuwa Putin kayakusanya mataifa makubwa duniani, China na India, kwenye mazoezi ya kivita ya kimataifa ya Vostok-2022 yanayofanyika Urusi kwa wiki 1.
Bloomberg yasema hatua hiyo ya Putin kuyakusanya mataifa makubwa nchini Urusi inazizodoa na kuzivunjavunja jitihada za Marekani...
Kesi 1,840 zafutwa kwa kukosa ushahidi
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, Inspekta Jenerali(IGP) Camilius Wambura, amesema kesi 1,844 ambazo zimekosa ushahidi wa kutosha kupelekwa mahakamani zimeondolewa, huku kesi zingine 2,117 zikifanyiwa mabadiliko.
IGP Wambura alikuwa akizungumza jana...
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mheshimiwa Godwin Gondwe ameipongeza kampuni ya simu ya Vodacom kwa kuwa mstari wa mbele kwenye kuleta mabadiliko yanayoigusa jamii moja kwa moja.
Akizungumza hapo jana Agosti 29,2022 alipotembelewa na washindi wa bajaji na pikipiki kupitia kampeni ya ‘M Pesa...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) amefanya ziara ya kikazi Nchini India kufuatia mwaliko wa Waziri wa Ulinzi wa India, Rajnath Singh.
Hii ni ziara yake ya kwanza ya kutembelea India tangu alipoteuliwa kuiongoza Wizara hii Septemba 12, 2021.
Wakati wa...
Mwendapole hajikwai ndivyo wanenavyo wahenga, salamu kwa wasomaji ndiyo sifa yangu njema.
Jioni kabla ya jua kuacha kutuandama, wanakoo hujikusanya barazani kwa mzee Ndama. Watoto hujaa mapema hasa tangu hadithi ya Malkia Lidya kuanza kusemwa. Siku hiyo Bibi ajulikanaye kwa jina la Msenga...
UTANGULIZI:
Kulingana na takwimu za hivi karibuni(Sekta ya Mifugo)Idadi ya mifugo hapa nchini imeongezeka ambapo idadi ya ng’ombe imeongezeka kutoka milioni 33.9 hadi milioni 35.3; mbuzi kutoka milioni 24.5 hadi milioni 25.6; kondoo kutoka milioni 8.5 hadi milioni 8.8. Kuku wameongezeka kutoka...
Muhimu: Mchina kamwaga milioni 930 kuinasa saini na mshahara mnono, wanaoaminishwa na tetesi kwamba Manzoki atacheza China miezi minne na kisha kurudi simba wajaitafakari upya, Ni sawa na rubani wa ndege apate kazi shirika la ndege halafu mtegemee baada ya miezi minne aanze kuendesha mabasi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.