nchini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ana Mali au biashara anazomiliki hapa nchini? Viko wapi vitega uchumi vyake?

    Wanasiasa kama Lissu naelewa siyo wafanyabiashara, hawana maono yakumiliki Mali, siyo wezi na wameumbwa kupambana wakati wote na matajiri. Lakini pamoja na ukweli kwamba siyo watu wa kujilimbikizia Mali upo umuhimu wa kufahamu anamiliki nini hapa nchini? Anamiliki kampuni gani? Ana ukwasi kiasi...
  2. Mystery

    JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya wasaidizi wa Rais Samia walimshauri asifanye maridhiano na CHADEMA?

    Kama tulivyomsikia majuzi, wakati anakutana na viongozi wa vyama vya siasa nchini huko Ikulu, Rais Samia Suluhu Hassan, alitoboa Siri kuwa haikuwa rahisi kufikia Maridhiano na chama kikuu Cha upinzani nchini Cha Chadema, Kwa kuwa pamoja na nia yake njema ya kuleta Maridhiano ya kisiasa nchini...
  3. Getrude Mollel

    JamiiForums Tanzania Hili ni moja ya tatizo kubwa kwa vijana wanaojihusisha na siasa nchini

    Huwa nafuatilia sana, kusoma na kufuatilia mijadala na hoja nyingi zitolewazo na vijana wa vyama mbalimbali vya siasa nchini. Nimeona shida kubwa sana kwa vijana wetu ambao wengi wanaonekana dhahiri wanatamani kuwa na madaraka au nafasi kubwa ndani ya serikali. Shida iliyopo ni kwamba vijana...
  4. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Mikutano ya hadhara inayokiuka ibara ya 30 ya JMT ni ubatili wa kisiasa. Imeruhusiwa ili kupoza malalamiko ya ufisadi unaotamalaki nchini

    Kwani tatizo ni kuwa na mikutano ya hadhara? Tatizo ni namna inanvyovunja katiba ya ya JMT hasa ibara ya 30 ya katiba ya JMT inayotaka kutumia haki za kikatiba bila kuleta vurugu, kuathiri wengine n.k Sasa hivi zitaanza vurugu ambazo zitasababisha watu wasifanye kazi, matusi na virungu kuanza...
  5. Moronight walker

    JamiiForums Tanzania Ujasusi Congo: Majasusi wa Rwanda wakamatwa nchini Congo

    Serikali ya drc imesema kwamba imekamata majasusi wa Rwanda jijini Kinshasa. Ambao walifanikiwa kujipenyeza na kuwa ba mawqsiliano na maofisa wa juu wa jeshi la congo. Majasusi HAO walikuwa wanapanga njama za kuangusha ndege ya rais felix. Serikali ya congo imesema wanao USHAHIDI wa kutosha...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mlipuko wa kipindupindu umeua watu 620 nchini Malawi

    Kipindupindu kimeua watu 620 nchini Malawi tangu kuanza kwa mlipuko huo mapema mwaka 2021, Waziri wa Afya Khumbize Chiponda ametangaza. Hadi kufikia Januari 2, 2023, visa 18,222 vya ugonjwa wa kipindupindu vilithibitishwa, huku nchi ikirekodi watu 16,780 waliopona na 822 bado wako kwenye vituo...
  7. Wilson Gamba

    JamiiForums Tanzania Waheshimiwa hawa waliutendea haki mziki wa dansi nchini

    Binafsi niseme tu hawa waheshimiwa Tx-Moshi, Mzee Gurumo, Mbwembwe, Mzee Mabera, Mahina, Momba na wengine ambao sikuwataja na bendi zao walifanya kazi kubwa kwani mziki wao bado unaishi kwa kuelimisha umma wa watanzania na kuburudisha. Walikuwa na umahili katika fani zao. Binafsi licha ya kuwa...
  8. Rusumo one

    JamiiForums Tanzania Kupitisha Elimu ya Msingi kuishia std 6 Nchini hili jambo lipoje?

    Wakuu miezi kadhaa iliyopita Naibu Waziri wa elimu Nchini alizungumzia kuhusu wanafunzi wa S/M kuishia std 6 kuanzia mwaka 2023. Sasa hii ni Dec 30 na alisema by this Dec 2022 ataweka mambo mezani ikiwemo kuondoa mitihani ya mwisho means mitihani itakuwa form 4, comb zitaanzia form 1. Pls Naibu...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa vyombo visivyo na rubani wafunguliwa mjini Zhuhai, mkoani Guangdong, nchini China

    Mkutano wa Tano wa Vyombo visivyo na Rubani umefunguliwa mjini Zhuhai, mkoani Guangdong, nchini China. Mkutano huo ulifadhiliwa kwa pamoja na serikali ya mji wa Zhuhai, shirika la anga la China, na Kituo cha Utumiaji na Udhibiti cha UAV cha Chuo cha Sayansi cha China. Katika mkutano huo...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tajiri mzee Bakhressa kama 40% ya wana Yanga SC nchini watasusia kununua bidhaa zako, sisi 60% ya wana Simba SC tutanunua tu

    Na bahati mbaya ninavyojua ni kwamba 99% ya wana Yanga SC ni Choka Mbaya (Masikini) kama mimi tu GENTAMYCINE hivyo hakuna mwenye Ubavu wa kutokununua bidhaa zako zozote kuanzia Maandalizi, Nazi, Juice, Unga, Chapati, Mafuta na kadhalika. Sasa kwa mfano Wewe Mzee wa Yanga SC na rafiki yangu...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Maonyesho ya Sanaa ya madini ya fuwele (crystal) ya Njia ya Hariri yafanyika mkoani Guangdong, nchini China

    Maonyesho ya Sanaa ya madini ya fuwele (crystal) ya Njia ya Hariri yamefanyika mjini Zhuhai, mkoani Guangdong, nchini China. Maonyesho hayo yamekusanya zaidi ya vito 30 vya fuwele kutoka maeneo maarufu ya uzalishaji wa madini hayo duniani kote.
  12. Mama Edina

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko makubwa elimu nchini- mtaala wabadilishwa

    Kuondoa masomo ya uraia, aliyeshauri haya achunguzwe. Muhutasari huu hapa. Maboresho ya sera ya elimu. Yapo mengi ila hapa wamewasilisha machache tu. [emoji254][emoji254][emoji254][emoji254][emoji254] ...Masomo kupunguzwa sekondari, ...civics na general study kufutwa kabisa, ...somo la...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kasi ya ongezeko la Saratani za Kirusi cha HPV nchini yashtua

    Kirusi cha HPV (Human Papilloma Virus) kimetajwa kuwa hatari kwa kusababisha saratani za aina mbili zinazokua kwa kasi ikiwemo inayoathiri koo na shingo ya kizazi aina inayoongoza kwa asilimia 36 kati ya saratani zote zinazoshambuliwa nchini. Wataalamu wamesema asilimia 80 ya wagonjwa wa...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya: Kuna ongezeko la kasi la UVIKO-19 nchini

    Takwimu zilizotolewa na Wizara ya Afya zimeonesha ongezeko la wagonjwa wa Uviko-19 nchini kutoka asilimia 4.1 hadi asilimia 5.5. Takwimu za wiki ya kwanza ya Novemba 2022 zinaonesha kati ya watu 1,154 waliopima Uviko-19, waliokuwa wanaugua ni 47, huku takwimu za wiki ya pili zikionesha kati ya...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ripoti Bloomberg: Watu milioni 37 wameambukizwa COVID-19 ndani ya siku 1 nchini China

    Mtandao wa #Bloomberg umeripoti kuwa maambukizi hayo huenda yamewafikia watu Milioni 248 ambao ni sawa na 18% ya idadi ya watu wote ndani ya siku 20 za Desemba 2022. Desemba 22, 2022, kampuni ya Airfinity inayohusika na utunzaji Data za #Afya ilikadiria kuwa kuna uwezekano wa Vifo vya kila siku...
  16. Mama Edina

    JamiiForums Tanzania Kutafuta chief popularity Kwa kuharibu misingi ya Elimu nchini

    Kiongoz anaingia madarakani. Anaanza. 1. Kufuta ada. 2. Kuongeza madarasa. 3. Kuondoa mitihani. 4. Kuweka kitu kipya. 5. Ameona inafaa, what,why! 6. Kupaka wanja. 7. Kuvaa pensi. 8. Kupiga singeli. Eti jangwani, Azania sekondari sio shule teule. Ref. Waliopangiwa shule za sekondari 2023 Jamani
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rai imetolewa kwa walimu wote wa shule za msingi na sekondari na vyuo nchini kupunguza matumizi ya viboko

    Rai imetolewa kwa walimu wote wa shule za msingi na sekondari na vyuo nchini kupunguza matumizi ya viboko na vitisho kwa wanafunzi kama njia ya kufanya wafaulu katika masomo yao kwa kuwa huo si mtazamo sahihi. Rai hiyo imetolewa Jijini Dar es Salaam na Kamishna wa Elimu, Dkt. Lyabwene Mtahabwa...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, hata siku moja mwekezaji habembelezwi kuja kuwekeza nchini, tafadhali zingatia yafuatayo watakuja wenyewe

    Huwa naziona jitihada nyingi za raisi Samia kubembeleza wawekezaji kuja kuwekeza nchini, hadi namuonea huruma kwa sababu naelewa anapigia debe kitu ambacho sio rahisi kufanikiwa. Napenda kumwambia Raisi Samia kwamba wawekezaji hawavutwi au kushawishiwa kwenda kuwekeza kwenye nchi fulani, huwa...
  19. Munguwetu

    JamiiForums Tanzania Necta, Kidato Cha pili na nne tafadhali toeni halmashauri bora nchini 2022

    Nakumbushia tu. Hii inamaana kubwa Kwa taifa
  20. Q

    JamiiForums Tanzania TANZIA Balozi wa Tanzania nchini Austria, Celestine J Mushi, afariki dunia kwa ajali ya Gari

    Balozi wa Tanzania nchini Austria, Celestine Joseph Mushy, amefariki dunia kwa ajali ya gari eneo la Mkata, wilayani Handeni mkoani Tanga. Ajali hiyo imetokea jana usiku wakati akiendesha gari aina ya crown lenye namba za usajili T175 DMF kuelekea Moshi, Kilimanjaro. === Balozi wa Tanzania...
Back
Top Bottom