Itachukua muda watu kugundua maafa ya wapiganaji huko Msumbiji baada ya kuunda vioja zubaishi vingi nchini

Wadiz

JF-Expert Member
Nov 10, 2022
5,411
11,060
Tusipuuze taarifa au tetesi za magaidi wa huko Msumbiji kuvamia msafara wa Wapiganaji wetu, kama ipo na ni taarifa ya kweli matukio ya spinning za akina Bashiru mkae chonjo, ziara na maandamano yote yatapofusha macho na masikio kuhusu habari za magaidi waliovamia msafara sio jambo la kuchekea Kwa kufanya public spinning for divergence.

Tusifanye mzaha sasa yanajirudia yale ya Dafur?

Tufanye ni tetesi lakini sisi watoto wa Wapiganaji na Reserve combatants hatupuuzi vitu kama hivi.

A mission Where there is Rwanda we always get ambushed, is it by coincidence? In any case kama ni kweli.

Be careful brothers not easy not simple.
 
Mada zubaishi zinazotrend ni;
  1. Kauli ya Bashiru
  2. Vichwa vya SGR na mabehewa yake kunadiwa Ulaya
  3. Report ya ajali ya ndege Bukoba
  4. Ziara ya kiongozi Manyara
Na maandamano ambayo ni sub thematic katika hizo maada kuu ulizoainisha hapo juu
 
Ni mambo ya usalama wa nchi, si kila kitu hutangazwa, mengine hufichwa ili kuzuia taharuki
Kuzuia taharuki kwa nani? Tuambiwe mapema kuwa tusiwe tunaenda shambani kule bondeni ruvuma kuliko kupigwa na hawa wavuta bangi eti kwanini umekuja shamba bìla vibali? Mbaya zaidi unapigwa mbele ya mkeo , je huu ni uungwana?kuvuta bangi+elimu ndogo basi ni tabu tupu
 
Yamekukuta? Toa ushirikiano vyombo vya usalama
 
Ni mambo ya usalama wa nchi, si kila kitu hutangazwa, mengine hufichwa ili kuzuia taharuki
Ni Tanzania pekee huficha maafa ya wapiganaji sio?

Us yenyewe hutangaza sembuse hii nchi ya kitoto?
Vifo vitani ni jambo la kawaida sana
 
Tusipuuze taarifa au tetesi za magaidi wa huko Msumbiji kuvamia msafara wa Wapiganaji wetu, kama ipo na ni taarifa ya kweli matukio ya spinning za akina Bashiru mkae chonjo, ziara na maandamano yote yatapofusha macho na masikio kuhusu habari za magaidi waliovamia msafara sio jambo la kuchekea Kwa kufanya public spinning for divergence.

Tusifanye mzaha sasa yanajirudia yale ya Dafur?

Tufanye ni tetesi lakini sisi watoto wa Wapiganaji na Reserve combatants hatupuuzi vitu kama hivi.

A mission Where there is Rwanda we always get ambushed, is it by coincidence? In any case kama ni kweli.

Be careful brothers not easy not simple.
Pale msumbiji tumeuzwa, yule swahiba wa mbeligiji Total is a green snake in a green grasses ana maslahi mapana sana, sisi tumeenda kukanyaga waya pale, yule hafai, kila vurugu east africa na kati, mkono wake upo na harufu ya mgandaganda_7 haikosi kama collabo wake
 
Yamekukuta? Toa ushirikiano vyombo vya usalama
Ushirikiano kivipi wewe...yaani wanakukuta na mkeo na watoto mupo shamba munafanya kazi wao wahuni wavuta bangi wanakuja na kuuliza kwanini unalima? Kwanini mkeo ni mdogo? Una kibali cha kulima? Una kitambulisho cha uraia na blah blah kibao mwishoni unapigwa viboko unyayoni je ndio haki hiyo?
 
Pale msumbiji tumeuzwa, yule swahiba wa mbeligiji Total is a green snake in a green grasses ana maslahi mapana sana, sisi tumeenda kukanyaga waya pale, yule hafai, kila vurugu east africa na kati, mkono wake upo na harufu ya mgandaganda_7 haikosi kama collabo wake
Nilidhani tumeenda Kama sadc
 
Ni mambo ya usalama wa nchi, si kila kitu hutangazwa, mengine hufichwa ili kuzuia taharuki
Kwa akili za namna hii ndio maana viongozi hutumia mianya hiyo kujificha kwenye kivuli cha usalama wa taifa,miaka ile sakata la rada watu wakajificha kwenye rada eti ni za jeshi hakuna kuhoji kumbe kuna mabilioni yamepigwa,tukaja kwenye magari ya jeshi wakapiga pesa,magari ya polisi hivyo hivyo tu.Eti wanajeshi kupata matatizo kwenye operation zao nalo ni la kuficha?eti kutokana na sababu za kiusalama?hiyo ni kwa TZ TU?
 
Back
Top Bottom