nchini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mtini

    JamiiForums Tanzania Zoezi zima la uokoaji ajali ya Precision limetuacha uchi duniani, kuathiri sekta ya utalii nchini

    Nimejaribu kufatilia vyombo vya habari karibu vyote duniani vimeonyesha tukio hili la ajali na zoezi zima la ukoaji namna lilivyoendeshwa kijima. Binafsi naona dunia na watalii kwa ujumla wameona namna ambavyo Tanzania hatujawa tayari katika sekta nzima ya usafiri wa anga. Juhudi za Royal...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Hali tete, Hospitali nchini zaishiwa vitanda

    Wakati Serikali ikiendelea kuongeza idadi ya hospitali na vituo vya afya nchini, bado changamoto ya uhaba wa vitanda vya kulazia wagonjwa inaendelea kuiandama sekta ya afya, hasa katika vituo vya umma. Ripoti ya ‘Tanzania in figures 2021’ inayotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS)...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini zote nchini himizeni maombi ya kuiombea mvua msije kuhubiria watu 'wachafu' makanisani/misikitini

    Na tambueni mvua zisiponyesha ina maana hata maji ya kuoga, kunywa au kutawazia hayatokuwepo, na mtajikuta mnakosa kabisa waumini makanisani na misikitini kwani hakuna mpuuzi atakayependa kwenda ibadani kumuomba Menyezi Mungu huku akiwa mchafu na ananuka pia. Hivyo basi GENTAMYCINE nawahimiza...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mapokezi Rasmi ya Rais Samia Nchini China

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akipokelewa na Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Xi Jinping katika ukumbi wa Great Hall of the People, nchini China leo tarehe 03 Novemba, 2022 ===== Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama...
  5. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndaki : Wizara imeridhia wafugaji wote nchini kuongezewa muda wa Usajili na Utambuzi wa Mifugo kielectronic Mpaka desemba 31

  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania DAR inatumia 50% ya Mkaa wote unaozalishwa nchini

    Mtalaam Mwandamizi wa Fedha kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa - Mitaji ya Maendeleo, Emmanuel Muro amesema kiasi hicho ndio chanzo kikuu cha uharibifu wa misitu kwenye mikoa ya Pwani, Morogoro, Iringa, Tanga na Lindi. Akizungumza kupitia mdahalo ulioongozwa na Waziri wa Nishati Januari Makamba...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Ipo siku CHADEMA watamkumbuka Rais Samia na kuelewa dhamira yake ya kuwatumikia Watanzania kwa uzalendo na upendo

    Ndugu zangu naweza nisieleweke haya maneno kwa Sasa kutokana na muda kuwa haujafika, nimeona niyaseme haya ili ibaki katika kumbukumbu, CHADEMA lazima wafahamu kuwa katika mazingira na siaza za kiafrika Ni ngumu Sana kumpata Rais aina ya Rais Samia, viongozi aina yake hupatikana katika nchi...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Bunge: Bodi ya Mikopo inahitaji Tsh. Bilioni 800 kukopesha wanafunzi wote nchini

    Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, Stanslaus Nyongo amesema Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu, (HESLB), inahitaji Sh800 bilioni ili iweze kutoa mikopo kwa wanafunzi wote waliodahiliwa kujiunga na vyuo vikuu. Nyongo ametoa kauli hiyo leo Jumanne Novemba Mosi...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais wa Tanzania nchini China ni ishara ya kuimarika kwa uhusiano kati ya nchi hizo mbili

    Mkurugenzi wa Taasisi ya Utafiti wa Mambo ya China ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Profesa Humphrey Moshi amesema, ziara ya rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan nchini China itaimarisha uhusiano kati ya nchi hizo mbili. Profesa Moshi amesema, ziara ya rais Samia nchini China si kama tu ni...
  10. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Maji nchini na hasa jiji la Dar hakuna njia mbadala kumaliza tatizo hili? Mimi napendekeza hili

    Hivi haiwezekani kutumia teknolojia ya maji taka yote kwenye vyoo vyetu kwenye majiji yetu Yale maji taka yarudi kwenye mzunguko kwa kuyatreat ili yawe maji safi na Salama? Kuna nchi moja nilitembelea ughaibuni mwenyeji wangu aliniambia wanatumia system hii ila sikumtilia maanani nilikuwa...
  11. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania DRC: Balozi wa Rwanda apewa saa 48 za kuondoka Nchini humo

    Balozi Vincent Karega ameamriwa kuondoka Nchini ndani ya saa 48 kutokana na tuhuma za mara kwa mara za Rwanda kuunga mkono Waasi wa #M23, madai ambayo Rwanda imekuwa ikikanusha mara kwa mara Uamuzi wa kumfukuza Karega unatarajiwa kuzua zaidi mvutano kati ya Nchi hizo Mbili ambazo uhusiano wao...
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Congo DR: Watu 11 wafariki kwa kukanyagana kwenye tamasha la Fally Ipupa

    Waziri wa Mambo ya Ndani nchini humo amesema mkanyagano ulisababisha vifo vya watazamaji tisa na maafisa wawili wa polisi wakati wa tamasha lhilo kwenye uwanja mkubwa zaidi wa michezo katika mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Watu wengi sana walikuwa wameruhusiwa kuingia katika...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo yashauri Serikali ikope Tsh. Trilioni 10 kumaliza kero ya maji nchini

    Chama cha ACT Wazalendo kimependekeza Serikali ichukue mkopo wa Sh10 trilioni kwenye benki za maendeleo ili kusambaza maji nchi ili kumaliza kabisa changamoto ya upatikanaji wa maji Chama hicho kimetoa pendekezo hilo wakati kukiwa na mgawo wa maji katika mkoa wa Dar es Salaam pamoja na mikoa...
  14. Boqin

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Tangazo la fursa za masomo nchini Norway 2022/2023

    Tovuti moja inadai kutangaza nafasi za ufadhili wa masomo katika chuo kikuu nchini Norway na kusambaa katika mitandao ya kijamii. Tovuti hiyo ina ujumbe wa Kiingereza ulioandikwa vibaya unaotafsirika: "Kasome Nchini Norway Kozi Yoyote Uliyochagua Bila Malipo kwa Muda wote wa programu"...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Thamani ya miamala ya Simu yapungua nchini

    Wakati idadi ya watumiaji wa huduma za fedha kwa simu za mkononi ikizidi kuongezeka, thamani ya miamala wanayoifanya inapungua kila uchao. Ripoti ya robo mwaka inayoishia Septemba 2022 ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inaonyesha idadi ya miamala imeongezeka kutoka zaidi ya milioni...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ni Kiongozi gani nchini aliingiza Malori 500 Mwezi Machi?

    Na baada ya Kuyaingiza Ili Wafukuaji Wabobezi wa Taarifa Ngumu, za Ndani na za Hatari akina GENTAMYCINE wasijue akaona Ili Kutuzuga na Kutuficha Watanzania ayawekee Nembo ( Chapa ) ya Kampuni kubwa inayoidhamini Klabu Moja ya Mpira isiyopendwa na GENTAMYCINE na iliyomsajili Mchezaji Mmoja Mwizi...
  17. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Safaricom yazindua mtandao wa 5G nchini Kenya

    Kamouni ya Mawasiliano ya Simu ya Safaricom leo Alhamisi imezindua mtandao wa 5G Wi-Fi mbadala wa huduma za nyumbani na huduma ya 4G Wi-Fi. Kampuni inalenga makazi na ofisi za biashara katika maeneo ambayo kwa sasa hayahudumiwi na mtandao wake wa Fibre. ====================== Safaricom will...
  18. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Nchini (Tucta), Tumaini Nyamhokya, waliokumbwa na vyeti feki wanalipwa kwa formular ipi?

    Wakati Rais Samia anatangaza kuongeza watumishi mishahara kwa 23% wengi walifurahia ila mwishoni wengi waliambulia Tsh 12,000 kwenye mishahara yao baada ya kukatwa kodi. Sasa hii ya watumishi wenye kesi ya Jinai ya kufoji vyeti kulipwa mafao yao wafafanulie ni kiasi gani wanalipwa Ili...
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Pakistan yatuma wapelelezi kuchunguza kifo cha mwanahabari Sharif nchini Kenya

    Serikali ya Pakistani imetuma maafisa watatu wakuu wa usalama nchini Kenya kuchunguza mauaji ya mwanahabari Arshad Sharif yaliyotokea siku ya Jumapili. Timu hiyo inajumuisha mkurugenzi wa Shirika la Upelelezi la Shirikisho Athar Waheed na naibu mkurugenzi mkuu wa Ofisi ya Ujasusi Omar Shahid...
  20. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Idadi ya mbwa mtu imeongezeka sana nchini, nini kifanyike?

    Habari za leo, bila shaka utakuwa umeshuhudia ongezeko la vijana wanaojiita mbwa wamekaa paleee. Nini kifanyike kuwapunguza? Wizara inayohusiana na mifugo ina taarifa ya ongezeko la aina hii mpya ya mbwa? Hii nchi Ina vijana wa hovyo sana.
Back
Top Bottom