Mwl Athumani Ramadhani
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,282
- 2,507
Ndugu zangu
Poleni kwa tatizo la maji na umeme lililopo nchini kwa sasa.
Wachina ni marafiki ZETU wa siku nyingi tangu enzi za baba wa taifa.
Tuwatumie KWENYE hii teknolojia yao ya cloud seeding tuanze KWA mikoa yenye changamoto ya maji kama Dar es salaam baadae ienee Tanzania nzima.
Wananchi wa mikoa husika watangaziwe Kwamba wakinge maji ya kutosha ili kujikimu KWA siku kadhaa kutokana na mvua zinzonyesha KWA teknolojia iliyopo!
Itasaidia Sana kutatua KWA kiasi kikubwa Sana tatizo la maji kuliko kusubiria visima vya maji na mabwawa yajae.
Wataalamu jaribuni kufikiria hili kama suluhisho la ukame nchini!
Mwenye mawazo Mbadala anakaribishwa kuboresha zaidi.
Asanteni KWA kusoma
Mungu ibariki TANZANIA nchi yangu.