Kikao cha dharura cha Rais na Mawaziri kije na majibu haya kuhusu matukio ya ajali nchini

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,377
8,120
Wakati Rais Samia akitarajiwa kufanya kikao cha Dharura na Baraza la Mawaziri kujadili suala la Ajali ya Ndege ya Precision Air iliyoua watu 19, haya ndio yanayosubiri majibu ya Serikali.

Uwajibikaji wa Idara za Uokoaji nchini ukoje?, Idara hizo zina Miundombinu sahihi na inayostahimili hali yoyote?, Viongozi wa Idara za Uokoaji waliwajibika ipasavyo kwenye tukio?, Serikali imechukua hatua gani baada ya tukio la ajali hiyo?.

Je, Tume za Uchunguzi wa matukio mbalimbali ya ajali ambazo zilihitaji uwajibikaji wa Idara za Uokoaji zilibaini nini na nini kimefanyiwa kazi?.
 
Lile tukio limeitia aibu sana hii nchi!
 
Back
Top Bottom