nchi

  1. Picha: Hii nchi imepitia mambo magumu mno

  2. PreGE2025 Padri Silvio Mnyifuna, ataka 2025 Samia aendelee ili wahuni wasipate nafasi

    Huyu ni Padri huko jimbo Katoliki,Mafinga, Iringa....Kwa sasa nyota ya SSH haishikiki, inakimbia kwa kasi ya mwanga au sauti. Si kwa wananchi wa kawaida, walimu na kila kada, kila kona ni Samia, sasa kishindo cha Samia kimefika katika kanisa katoliki. Watumishi wa Mungu ni moja kati ya watu...
  3. S

    Wasenegal wameikabidhi nchi kwa vijana Faye na Sonko. Wacha tuone kama wamebutua au wameupiga mwingi

    Senegal wameitumia vema demokrasia ya uchaguzi na kuwapiga chini wazee wakongwe wa chama tawala na kumchagua kijana mbichi Diomaye Faye. Diomaye Faye hana background yoyote ya kiuongozi. Kumchagua Faye ni sawa na kumchagua Abdul Nondo wa ACT kuwa rais kwasababu tu ya kuichukia CCM. Sasa...
  4. Nchi ya Ujerumani imepangika vizuri sana(Kiuchumi)

    Nchi nyingi duniani utasikia kuna jiji moja tu ambalo ndiyo kila kitu kwa nchi. Unakuta jiji la pili kwa umuhimu kwenye hiyo nchi linafuata kwa mbali sana. Mtu akisikia UK anawaza London. Mtu akisikia France anawaza Paris. Tanzania anawaza Dar es Salaam. Ujerumani ni tofauti kabisa. Kila mji ni...
  5. Huwezi tegemea wawekezaji wa kigeni ndiyo waendeleze nchi

    Miaka ya karibuni kumezuka matukio kadhaa kwa serekali kushindwa kuendesha mashirika yake na imepanga kuwapa wageni, ili ni kosa instead serekali iajiri foreigner ambao wana exposure na sio hawa wasio na exposure na wengi wao ni machawa Mpaka sasa hivi mabosi wa mwendokasi wangetakiwa wawe na...
  6. M

    Guterres atoa wito kwa nchi za Magharibi kulipa fidia Waafrika kutokana na biashara ya utumwa

    Mar 26, 2024 10:52 UTC Guterres atoa wito kwa nchi za Magharibi kulipa fidia Waafrika kutokana na biashara ya utumwa. Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametoa wito wa kulipwa fidia watu waliosafirishwa kwa njia haramu kama watumwa kutoka Afrika hadi katika nchi za Bahari ya...
  7. G

    Ole wako!! Ukiwa muislam kwenye nchi hizi usithubutu kuhama dini, adhabu ni kifo

    MUHIMU: Kama kuna nchi katika hii orodha haiui wanaobadili dini naombeni tuelimishane nifanye marekebisho Kosa la kuhama dini katika nchi hizi linaitwa APOSTASY, Hukumu ni KIFO Wanaobadili dini wengi wao huchukua maamuzi hayo pindi wakiwa watu wazima wenye utimamu baada ya kuzichambua dini...
  8. Nchi ya ovyo, viongozi wateule hata wakiulizwa salamu tu lazima wamshukuru na kumsifia Samia

    Hivi hawa mawaziri wana vyeti vya form four? Sijaulizia Degrees, Master's au PhD. Mtu yeyote angalau mwenye cheti cha kidato cha nne lazima ajitambue, hawezi kuishi kwa kutegemea bahati. Kila jambo likija mikononi mwake anaamini kuwa ni haki yake na anastahili. Hawa mawaziri ambao kila...
  9. Kama ungekuwa kiongozi wa nchi ni watu gani ungewafukuza?

    Husika na kichwa cha habari hapo juu. Mm ningekuwa kiongozi wa nchi ningewafukuza wala Rushwa, na mafisadi wote waende wanakokujua maana wanaharibu sana Maendeleo ya Taifa kwa ujumla. Vipi wewe ungewafukuza watu wa aina gani?
  10. Kwanini Nchi nyingi zenye asili ya Uislam zinakumbwa na Vita sana?

    Nchi nyingi zenye mlengo wa uislamu au majimbo mengi ya nchi yenye mlengo wa uislamu uwa ni kitovu cha ugaidi na maeneo hayo usifika kwa kuzalisha makundi mengi ya Kigaidi. Sisemi tu kwa sababu nasema bali nasema kwa sababu zipo nadharia nyingi zinazoonesha kuwa ni kweli maeneo hayo ukumbwa na...
  11. Wanawake hawanitaki, nahisi nina mkosi mkubwa

    Salam za wakati huu jamvini, naimani hamjambo na wazima wa afya kabisa na mnaendelea kulijenga taifa la mpate japo kitu kiende kinywani. Bila kupoteza muda na kuifupisha makala hii, naweza kusema kuwa napitia wakati mgumu sana pale ambapo naona binadamu wenzangu wakidekezana wao kwa kao (male +...
  12. Kagame nafsi yamsuta kwa anachokifanya Congo! Awatupia mpira nchi za Magharibi na Mashariki ya Kati

    Kufuatia Tuhuma za Genocide nchini DRC kwa ajili ya kuiba madini Sasa KAGAME akili wazi kua madini yanapitia kwake nchini Rwanda yakiibiwa. Sikiliza hapa.
  13. Vatican ni nchi moja ya kipekee sana ulimwenguni

    Ukifika pale Italia, kuna sehemu ndogo ya nchi, inaitwa Vatican. Hapo ndipo yalipo makao makuu ya Kanisa la Roman Catholic ambapo mkuu wa kanisani hilo ni Papa. Pale Italia wana pesa yao, ila haitumiki ukiingia Vatican. Kule Vatican wana pesa yao na unaweza kuitumia hata Italia. Rais wa...
  14. Andika mawazo yako: Ujamaa ni nini? Na ubepari ni nini? Na ni mfumo upi mzuri unapaswa kufuatwa na nchi ili iwe na maendeleo?

    Watu wengi huzungumzia ujamaa na ubepari lakini bado hawaelewi kwa kina. Katika taifa letu la Tanzania tuna mchanganyiko wa ujamaa na ubepari. Mfano mdogo uwepo wa sekta binafsi hiyo ni ishara ya kuwepo kwa ubepari. Na nikwambie tu kuna baadhi ya taasisi katika taifa letu zinatumia mfumo wa...
  15. G

    Waafrika tumerogwa, ni kwamba hatuna hata nchi moja inayoweza kuwa mfano katika sura ya dunia kwamba na sisi tunaweza?

    Wazungu wana Uingereza, Switzerland, france, n.k. - sina haja ya kuwaelezea sana Waarabu wana uae na kuwait - Wametumia vema mafuta yao kwa maendeleo ya nchi zao. Walatini wana uruguay, Chile- sio wenzetu tena hawa, wapo mbali mno. Wachina wana china, korea, japan - viwanda kibao +...
  16. R

    Nchi zilizoendelea kiongozi akituhumiwa kwa rushwa anajiuzulu, Tanzania viongozi wanakamatwa na vidhibiti lakini hawatishiki hadi watumbuliwe

    Viongozi wa Tanzania wanakiburi sana, wanakamatwa kwa rushwa na tuhuma nyingine za maadili lakini uwezi kusikia wamejiuzulu. Wanasubiri hadi Mh. Rais awatumbue jambo ambalo ni dharau kwa mamlaka. Kujiuzulu ni Ishara ya kuomba radhi na kukaa pembeni ni Ishara ya kufungua milango usafishwe au...
  17. Hii ndio nchi ya Uganda

    -Baba (Yoweri Museveni) ni Rais -Mama (Janeth Museveni) ni Waziri wa Elimu -Mtoto (Muhoozi Kainerugaba) ni Mkuu wa Majeshi, CDF Waafrika bado tuna safari ndefu sana.
  18. Z

    Njia sahihi ya nchi ya DRC kuwa na amani ni kuishtaki RWANDA kwenye mahakama ya EAC

    Vita vya mara kwa mara nchi DRC ni usumbufu wa nchi ya RWANDA.sasa sioni maana ya kuwa member wa EAC wakati nchi mwanachama anakuletea usumbufu wa mara kwa mara. Kama EAC haitangilia mzozo wa DRC ni dhahiri itakuwa kama Urusi na Ukraine.
  19. Ofisi za TRA kuwa wazi nchi nzima tarehe 23 na 24 Machi, 2024

  20. Sakata la Jerry Silaa kuvunja majumba ya watu nchi nzima: Johnson Mahululu aidai serikali ya Tanzania bilioni 20

    Source: Youtube-wakiliTv, taarifa ya Wakili Dickson Matata Nilisema kwamba haya mambo ya kujifanya mwendesha mashitaka na hakimu anayofanya Jerry Silaa yasipoangaliwa, ataitia nchi hasara kubwa sana. Sasa watanzania wataingia hasara ya bilioni 20 ili kumlipa Johnson Mahululu baada ya Jerry...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…