nchi

  1. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini kiongozi wetu mkuu hajawahi kukosa USD za kufanya safari za nje ya Nchi ilhali wafanyabiashara wanakosa USD kwenye MABENKI?

    Salaam, Shalom!! Kila Kona ya nchi yetu Kwa sasa, dollar imekuwa mtihani, hazipatikani hata Kwa tochi, Mfanyabiashara mwenye pesa za kitanzania, akienda benki kubadili Tshs Ili apewe USD Kwa ajili ya kuagiza bidhaa nje ya Nchi, anaambiwa dollar hamna. Analazimika kuzitafuta mtaani na kuzipata...
  2. H

    JamiiForums Tanzania SoC04 Ongezeko la watu isiwe tatizo ila iwe chachu ya kujiboresha katika nyanya zote muhimu ndani ya nchi

    Tanzania inazidi kuongezeka hasa Kwa idadi ya watu tulikuwa ml 60 kwa Sasa Kwa takwimu zisizo rasmi tunaenda kufika ml 67 hivyo tunazidi kuongezeka Kwa idadi ya watu ndani. Nchi yenye watu wengi duniani ni china na Kwa afrika ni nigeria.hizo nchi mbili tunaweza tumia kama mifano ya kutuimarisha...
  3. CHAGOSI GERALD

    JamiiForums Tanzania Nchi hii inaitaji kuongozwa na Critical Thinkers, watu wa PhD in Sociology with philosophy Amkeni.

    Watu mliosoma Sociology Tafiti zinaonesha nyie ni watu wa kurizika sana ndo maana PhD ni chache mno za Sociology with philosophy. Nchi inahitaji kuongozwa na wanasosholojia matokeo yake mnaacha wachumi wanatuongozea nchi Wachumi wanajua nini kuhusu Jamii? Hawaelewi kitu kuhusu nature of human...
  4. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Mwanajeshi Mstaafu wa Marekani adai Nchi za Afrika zirudishwe kwenye Utawala wa Kikoloni kwa kushindwa kujisimamia zenyewe

    Erik Prince, afisa wa zamani wa Jeshi la Wanamaji la Marekani na mwanzilishi wa kampuni ya binafsi ya kijeshi ya 'Blackwater', hivi karibuni alitoa maoni yake kwamba nchi za Kiafrika zinapaswa kurudishwa kwenye ukoloni kwa sababu viongozi wake wana ufisadi na ubinafsi. Prince alitoa mtazamo...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Falsafa mpya inajengeka ndani ya nchi yetu. Ni kuhusu nchi yetu kuwa channel na FM ya vichekesho huko mbinguni.

    Kwema Wakuu! Natahadharisha! Ukiona jambo nalizungumzuia ujue tayari nimeshalipima. Lina uzito. Utani na mzahamzaha unaoendelea kwenye nchi yetu unaunda falsafa na mtazamo mpya juu ya kizazi kijacho katika taifa letu. Kujidharau Kujidunisha na kujiona sisi ni taifa la hivyo. Watu wetu ni...
  6. vnn

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara waiomba serikali, kuambatana na Rais katika ziara za nje ya nchi!

    Jumuiya ya Wafanyabiashara Kariakoo imeiomba Serikali kuweka utaratibu wa wafanyabiashara wa kati kuambatana na Rais Samia Suluhu katika ziara zake nje ya nchi ili waweze kujifunza mambo mbalimbali ya kibiashara.
  7. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wa Kigoma pekee wanaulizwa sana utaifa wao kuliko mikoa mingine ya mipakani?

    Huwezi kusikia watu wanaokuja Dar kutokea Arusha au Moshi kwamba kwamba hawa siyo raia, wala huwezi kusikia watu wa Mbeya, Ruvuma kwamba hawa siyo raia wakati wapo mipakani. Ila linapokuja swala la watu wa kutoka Kigoma ndiyo inakuwa issue, kwa nini? Hili swala huwa linaniudhi sana. Mara...
  8. Professor Aaron Jackson

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mpango wa miaka 25 wa kubadilisha Tanzania kutoka nchi maskini zaidi hadi nchi iliyoendelea kwa kuchukua mifano kutoka Korea Kusini

    Umoja wa Mataifa unaiweka Tanzania katika kundi la Nchi maskini Zaidi (LDC). Hata hivyo, ikizingatiwa rasilimali nyingi na uwezo mkubwa wa nchi yetu, hadhi hii inaonekana kutofaa. Miaka ya 1950, Korea Kusini ilikuwa moja ya nchi maskini zaidi duniani ikitegemea sana kilimo na haikuwa na misingi...
  9. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Nchi ngumu sana hii, Airtel nao wamepunguza Kamisheni kwenye miamala

    Mjanja M1 naelekea kuiacha hii biashara ya miamala maana naona mazoea yamezidi kila uchwao, walianza Tigopesa kupunguza asilimia 10% kwenye miamala na sasaivi Airtel wamefuata huo Utoto. Yani hapa nimlipe Mfanyakazi, nilipe pango, nilipe TRA n.k Aisee! Hii nchi kila mtu anajiamulia atakacho...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Nani wa kumfungia kiongozi wetu Speed Governor? Nchi itapigwa mnada hii

    Salaam, Shalom! Nchi yetu ni maskini, na Umaskini wetu ni WA matumizi ya akili katika kuzitumia vizuri raslimali na kuzibadili raslimali kuwa utajiri. Niliwahi kuhoji kuwa, dhamana ya mikopo anayokopa kiongozi wetu ni nini Hasa? Speed katika kukopa ni kubwa sana, ni Kweli tunahitaji pesa Kwa...
  11. T

    JamiiForums Tanzania SoC04 Nchi iliyobarikiwa ikithubutu

    Tanzania tuliyonayo ni nchi bora kama yafuatayo yangezingatiwa tangu watoto wakiwa wadogo 1. Ufundishwaji wa elimu ya fedha mashuleni ,hii ingesaidia kujua namna ya kuzingatia matumizi na kuangalia fursa zilizopo nakujua kuzitumia. 2. Uthubutu na kujiamini, kunatakiwa kupaliliwa kuanzia ngazi...
  12. Angyelile99

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tuisome Katiba yetu ili kuijua nchi yetu

    Utangulizi. Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ilianzia mwaka 1962, wakati Tanganyika ilipopata uhuru kutoka kwa Uingereza. Katiba ya kwanza ya Tanganyika ilipitishwa mwaka 1962 na ilikuwa na mabadiliko kadhaa hadi Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ulipoundwa mwaka 1964, kubuni Jamhuri...
  13. S

    JamiiForums Tanzania SoC04 Uchumi wa giza

    Tanzania NI nchi ambayo ina taasisi tofauti tofauti kwaajili ya ukusanyaji wa Kodi, ikiwemo TRA, Polis, na Taasisi tofauti tofauti, Ila cha kushangaza ni namna ya usimamizi wa MAPATO Bado aujawekwa katika mfumo mzuri, Kodi ambayo Serikali inakusanya Nindogo kuliko ambayo Aikusanyi. Tanzania NI...
  14. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Nchi za Uarabuni wananunua mbolea ya ng'ombe. Tuchangamkie fursa

    India wanapiga sana pesa kwa ku export kinyesi cha ng'ombe. Jamaa hawa especially Kuwait wanahitaji kilimo kikue kwa kasi huko na ardhi yao sio rutuba so wanahitaji mbolea ya kinyesi cha ng'ombe kwa wingi mkubwa.
  15. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania kama nchi tujipange kurekebisha uchumi wetu

    Kila kukicha uchumi wetu unaporomoka. Leo hii Dollar moja ya Kimarekani kwa ubadilishaji(exchange rate) inakimbilia kuwa T.shs.3,000. Wenzetu wa Kenya juzijuzi fedha yao ilikuwa inabadilshwa kwa Dollar moja ya Kimarekani (exchange rate) Ke 163 na sasa imeshuka mpaka Ke 143 kwa Dollar moja...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Hongera Rais Samia kuipaisha nchi kiuchumi, kijamii na kisiasa

    Kiuchumi; Rais ameweza kuvuta wawekezaji wakubwa ili kukuza uchumi. Tunaposema kukua kwa uchimi tunaangalia parameters/variables kama C= Individual consumption C= a+bY ambapo b imekuwa sana watu sasa hivi wamepata pa kufanya kazi na kupata kipato cha kila siku. Marginal propensity to consume...
  17. Kulwa Paschal Martin

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mambo ya kuboresha katika Jiji la Dodoma ili kuleta taswira ya makao makuu ya nchi

    UTANGULIZI. Dodoma ulitangazwa kuwa mji mkuu wa Tanzania na mwasisi wa taifa hili mwalimu JK Nyerere mwaka 1973 na Rais JP Magufuli alitoa amri ya serikali kuhamia Dodoma mwezi Julai 2016 wakati alipopewa wadhifa wa mwenyekiti wa chama tawala, Chama Cha Mapinduzi/CCM. Rais John Pombe Joseph...
  18. Sauti ya amani

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kuanzishwa kwa kisimbuzi kimoja kitakacho kusanya channel za ndani na nje ya nchi

    Miaka ya 1960 mpaka miaka ya 2000 nchini Tanzania runinga nyingi zilitumia mfumo wa analojia ambapo mfumo huo uliwezesha runinga hizo kupata matangazo ya moja bila kuwa na kisimbuzi ambapo mtumiaji alipaswa kuunganisha runinga yake na antena ili kupata matangazo ayo...
  19. P

    JamiiForums Tanzania Miradi yote mikubwa imesimama kwa nchi kukosa fedha

    Miradi yote mikubwa ya ujenzi kama barabara, maji, SGR na umeme imesimama kwa sababu ya Serikali kukosa fedha za kulipa wakandarasi. Mfano kwa SGR lot 3 na 4 Kampuni ya Kituruki imesimamisha shughuli kutoka Makutopora , Tabora, Isaka. Vilevile lot 5 Isaka Mwanza , Kampuni ya Kichina pia...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Yanayoendelea kwa sasa kwenye Rasilimali za nchi, watanzania wangefumbua macho kidogo huyu Rais alitakiwa aachie madaraka, kupisha wanaoweza kuzilinda

    Hayo ni maoni ya jaji mstaafu. Jaji anasema kwenye uwekezaji kuna mambo ya ajabu yanaendelea na watu wenye akili wameamua kukaa kimya tu. Jaji anasema rasilimali sasa zinagawiwa kwa mikataba ambayo kisheria haina balance na anasema kuwa watanzania wangekuwa wanajua yanayofanywa na serikali hii...
Back
Top Bottom