nchi

  1. Escrowseal1

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ndio turufu pekee tuliyobaki nayo Watanzania. Tusipomwelewa itakuwa ndio point of no return kama nchi

    binafsi nilianza kumfuatilia mh Antipus Tundu Lissu kipindi alipoasis neno Dictator uchwara. kutokana na performance na siasa za mwendazake sikukubaliana na Tundu japo neno Dictator uchwara na madhara yaliyompata baadae wengi wetu nikiwemo mimi tulianza kuwa sensitive na kila alilofanya Tundu...
  2. toriyama

    JamiiForums Tanzania Kauli za Lema zinatimia kinachoendelea sasa kuhusu usimamizi wa Rasilimali za Nchi?

    Kauli za Mhe. Lema zinatimia kinachoendelea sasa kuhusu usimamizi wa Raslimali za Nchi? Msikilize hapa akiwa Bungeni
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini asilimia kubwa ya fedha inayotekeleza miradi katika nchi hii ni fedha za mikopo?

    Kama nchi tunatakiwa tujisimamie sisi wenyewe katika utekelezaji wa miradi inayotekelezwa katika nchi hii. Karibu zaidi ya asilimia 90 ya miradi yote inayotekelezwa katika nchi yetu ni fedha za mikopo huku tukitamba kuwa Mama analeta fedha za miradi kumbe ni fedha nyingi ni za mikopo...
  4. O

    JamiiForums Tanzania Hii ndio nchi ambayo Usafiri wa Umma ni Bure

    Huwezi kuamini lakini ni kweli, tangu mwaka 2020 njia zote za usafiri wa Umma nchini Luxembourg kama vile mabasi na treni ni BURE kabisa. Ilianza rasmi mwaka 29 Februari 2020, ambapo malipo kwa usafiri wa Umma yalifutwa kwa wakazi na hata watalii wanaotembelea nchi hiyo, maneno mengine...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kama Chadema wanahongwa ili kupanga safu za chama Je wakipewa nchi si watatuuza kabisa hawa?

    Makamu Mwenyekiti wa chama Tundu Lissu anasema Kuna watu ndani ya Chadema wamenunuliwa. Pesa zimemwagwa ili kupanga safu ndani ya chama ambayo ni nafuu kisiasa kwa wahongaji. Hili jambo limenifanya nifikirie sana kuhusu uwezo wa CHADEMA kuongoza nchi. Kama hiki chama kinanuliwa na watu ambao...
  6. BIG STONE AND CONER STONE

    JamiiForums Tanzania Ndoto Juu ya nchi Yangu (I have a Dream )

    Naota kuna Raisi Ajaye ambaye Atakuwa zaidi Ya Magu🔒 Kwa tabia ma Matendo ila sio mwongeaji ni vitendo tu. Kwa matendo na kwa kusimamia sharia, misimamo mikali. Ataunda uchunguzi wa karbu kila kitu' mikataba yote..uhalali wake , faida na hasara zake. Atafumua mikataba yote Ya kinyonyaji kuanzia...
  7. maina23

    JamiiForums Tanzania Afisa Mtumishi Mkuu achana na kulazimisha kutumia nguvu kutumia ESS kama kigezo cha kupanda madaraja watumishi. Kwa sasa nchi iko busy na stationery

    Usome
  8. Mturutumbi255

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kutumia Teknolojia na Mitandao ya Kijamii Kukuza Biashara Yako Nchi Tanzania

    Teknolojia na mitandao ya kijamii zimeleta mapinduzi makubwa katika sekta ya biashara ulimwenguni, na Tanzania siyo tofauti. Kwa kutumia teknolojia ipasavyo, wafanyabiashara wanaweza kuongeza ufanisi, kufikia wateja wengi zaidi, na kuongeza mauzo yao. Makala hii itachunguza jinsi wajasiriamali...
  9. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Kesi za mauwaji, ujambazi na ubakaji yaani ukishukiwa au kusingiziwa nchini ni bora ukutane na simba porini

    Wanasema sikia kwa mwenzako ila sio kwako.hizi kesi nilizozitaja mbili hapa kwa tanzania zimeumiza watu wengi mwisho wa siku walio athirika wame hadithia mengi kupitia vyombo mbalimbali. Jeshi letu linapotokea kesi hizi asilimia 90 wengi wanajikuta wakiangaukia kwenye mateso ambayo siyo yao kwa...
  10. MulengaMulenga

    JamiiForums Tanzania Piga Kura: Nchi gani itashinda EURO 2024?

    Naomba maoni yenu tena! EURO inaanza leo na mechi Germany vs. Scotland. Mnafikiri ni nchi gani itashinda EURO 2024?
  11. Desierto

    JamiiForums Tanzania ni lini masikini watafurahia na kuzifaidi mali za nchi hii

    yaani kwenye hii nchi vitu vyote vizuri hata kama ni mali ya uma lakini bado mwananchi wa kawaida hawezi kuvifaidi hata hizo train ya umeme na ndege ni kwa ajili tu ya viongozi na sio mwananchi wa chini yaani huduma ikiboreshwa basi inakuwa haimgusi tena mwananchi wa chini.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tafiti Zimeonesha Matumizi makubwa ya viongozi, huchangia umaskini wa nchi za kiafrika.

    Utafiti hupingwa na utafiti Chuo kikuu hicho kimesema ikiwa wakoloni waliweza kufanya maendeleo makubwa kuliko tawala za wazawa. Watafiti wakasema " Usimamizi mbovu wa rasilimali za nchi za kiafrika ni tatizo jingine" Watafiti wanasema matumizi ya fedha nyingi Kwa viongozi hupelekwa kwenye mambo...
  13. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Nchi maskini na ujinga wa Treni za umeme

    Vijana baada ya kusikia Treni ya Umeme itaanza kufanya kazi na muda wake kuwa mdogo eg. Dar to Dodoma (kwa Omba Omba) ni masaa 3 Vijana wamefurahi na kutoa maoni yao huku furaha yao kubwa ni kuvusha mademu toka Dom. Nimepitia habari kwenye kurasa tofauti na nimeshangazwa kuona vijana...
  14. Smartkahn

    JamiiForums Tanzania Dhamira ya Kufungua Nchi pasinashaka ni Njema. Je, Tumejipangaje na athari zake?

    Chanzo: Jamiiforums.com, Roving journalist. "Tanzania sio kisiwa" utekelezaji wa kauli hii ulipoanza wengi ulituvuruga akili na kutuacha njia panda tukibaki tumeduwaa! Kwakweli Mama alitu-surprise hasa ile U-turn aliyoitwanga pasipo kupunguza mwendo, baada ya kupokea usukani... Hasa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mabadiliko ya tabia ya nchi

    Ili kuweza kudhibitiana na mabadiliko ya tabia ya nchi nivema serikali ikaanzisha kitengo kipya kitakachoanzia ngazi ya mtaa/Kijiji hadi taifa watakaokuwa wanashughulikia suala la upandaji wa miti na utunzaji mazingira. Hii itafanya kauli mbiu ya "kata mti panda mti" kufanikiwa tofauti na sasa...
  16. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Samaki anayetembea nchi kavu na kupaa juu

    Samaki Garnai wanaoweza kutembea nchi kavu, kuogelea majini na kuruka angani. Wana mkia mrefu ambao huwasaidia kusawazisha wakati wa kutembea juu ya ardhi
  17. The Great P

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania dhidi ya mabadiliko ya tabia ya nchi

    Climate change refers to changes in the weather patterns of a specific area, which include rising temperatures, droughts, increased flooding, and shifting rainfall periods. Climate change has become a global challenge, caused primarily by the increase in greenhouse gases and excessive...
  18. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Raisi wa nchi kuwa ndani ya nchi nyingine kwa ziara wiki nzima ni maajabu sana, only in Tanzania

    Ukitoa ugonjwa ni ngumu sana Mkuu wa nchi kuwepo ndani ya nchi nyingine kwa wiki nzima akifanya ziara labda awe anaumwa hivyo anatibiwa. Ila kwa Tanzania naona inaelekea kuwa jambo la kawaida sana kiongozi wao kufanya ziara na kukaa wiki nzima ndani ya nchi nyingine. Kumbuka na uzinduzi wa...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini kiongozi wetu mkuu hajawahi kukosa USD za kufanya safari za nje ya Nchi ilhali wafanyabiashara wanakosa USD kwenye MABENKI?

    Salaam, Shalom!! Kila Kona ya nchi yetu Kwa sasa, dollar imekuwa mtihani, hazipatikani hata Kwa tochi, Mfanyabiashara mwenye pesa za kitanzania, akienda benki kubadili Tshs Ili apewe USD Kwa ajili ya kuagiza bidhaa nje ya Nchi, anaambiwa dollar hamna. Analazimika kuzitafuta mtaani na kuzipata...
  20. H

    JamiiForums Tanzania SoC04 Ongezeko la watu isiwe tatizo ila iwe chachu ya kujiboresha katika nyanya zote muhimu ndani ya nchi

    Tanzania inazidi kuongezeka hasa Kwa idadi ya watu tulikuwa ml 60 kwa Sasa Kwa takwimu zisizo rasmi tunaenda kufika ml 67 hivyo tunazidi kuongezeka Kwa idadi ya watu ndani. Nchi yenye watu wengi duniani ni china na Kwa afrika ni nigeria.hizo nchi mbili tunaweza tumia kama mifano ya kutuimarisha...
Back
Top Bottom