Ndugu zangu mpaka kufikia sasa, bado sioni kama upinzani wa Tanzania uko na energy ya kuweza kuchukua na kuendesha dola Oktoba 2020. Sababu ni nyingi, ukiacha nguvu ya CCM kwa sasa, upinzani huu haujajipanga.
Najaribu kuangalia hoja ya ushirikiano iliyoletwa na Maalim Seif kwenye mkutano mkuu...