ACT - WAZALENDO kuanza ziara nje ya nchi ili kuihami demokrasia ya Tanzania

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
116,495
215,353
Viongozi wa ziara hiyo inayoanza mara moja ni Zitto Kabwe na Nassor Mazrui , ambao wamepanga kuonana na watanzania walio nje ya nchi pamoja Mabeberu ili kuzuia ukandamizaji wa demokrasia nchini Tanzania ambao umefikia kiwango cha kutisha .

Watanzania wote makini wako tayari kuthamini mchango wa mtu yeyote popote alipo atakayesaidia kuhami na kutetea demokrasia na utu wa Mtanzania .

Kila la heri .
 
Waende salama lakini wajue tu kuwa sijaona wakunishawishi nimnyime kura yangu Magufuli hapo October.

Hiyo huwa kawaida, hata Kanu ilipoanguka wengi waliipigia kura, kama kuna sehemu yenye mskandokando basi tuyarekebishe wenyewe mapema - kesho giza
 
Narud
Viongozi wa ziara hiyo inayoanza mara moja ni Zitto Kabwe na Nassor Mazrui , ambao wamepanga kuonana na watanzania walio nje ya nchi pamoja Mabeberu ili kuzuia ukandamizaji wa demokrasia nchini Tanzania ambao umefikia kiwango cha kutisha .

Watanzania wote makini wako tayari kuthamini mchango wa mtu yeyote popote alipo atakayesaidia kuhami na kutetea demokrasia na utu wa Mtanzania .

Kila la heri .
Narudia tena na tena ! Hakuna mtu mnafiki na opportunist kama Zitto Kabwe ! Hapo anatengeneza namna ya kupata pesa huko diaspora ! Huyu jamaa kuna siku mtakuja mjua vizuri

Haya kila la kheri ubeberuni mkatwange maji kwenye kinu muishie kuloa vifua!
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom