nchi

  1. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Dar es salaam ikiweka lazima ya kuvaa miwani (clear glass) kama ilivyo kwa barakoa, basi tunaweza kuwa nchi ya kwanza kuishinda Corona

    Kuna vitu vingine ukikaa na kutafakari kwa kina, utagindua kwamba akili zetu huwa zinapenda kuigana, na ni akili chache huwa zinakuwa proactive kufanya jambo jipya na akili zingine huishia kuiga tu. Tunaambiwa hivi virusi vya Corona vinaambukiza kwa kupitia Pua, mdomo na macho,? hivyo siku moja...
  2. technically

    JamiiForums Tanzania Aisee Hii Nchi kupata maendeleo itakuwa ngumu sana

    Type ya watu kama Mrema eti bado wapo kwenye siasa toka miaka ya 70, Mtu kama Mbatia Mwanaume unachaguliwa viti maalumu, Mtu kama Seif bado anataka kugombea urais kwa mara ya 5 zanzibar! now kakinyakua ACT. Mtu kama sumaye anataka cheo Magufuli akishinda urais 2020! Mbowe ameng'ang'ania...
  3. Wakulonga

    JamiiForums Tanzania Soko la dunia lipo nchi gani

    Habari wana JF Kila siku najiuliza bila kupa majibu. Hivi soko la Dunia lipo nchi gani? Kama kuna mtu anjua lilipo anifahamishe Maana ni muda najiuliza bila kupata majibu ==== Majibu
  4. simplemind

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hatimaye nchi jiarani kupokea mizigo /transhipment Naivasha

    Nchi jirani za Uganda ,Rwanda ,Burundi, Sudan Kusini, Congo zitapokea mizigo Naivasha inland container depot baada ya kusafirishwa zaidi ya 600 km kwa SGR kutoka Mombasa. Mtihani mkubwa kwa bandari ya Dar es Saalam. ====== SGR moves regional cargo to Naivasha Kenya has launched direct SGR...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Nchi zetu zitoe shinikizo China isamehe madeni yake

    Yaani nchi za Africa zimezoea kulaumu nchi za west mpaka kwenye Corona. Tunaomba world bank itusamehe makosa yetu lakini kwanini mikopo ya China haionholewi. Tanzania mikopo mingi ya China moja wapo ni ule wa $1.3B bomba la gesi ambalo halitumiki vizuri. Kawanini tusiombe punguzo huko wakati...
  6. Parabora

    JamiiForums Tanzania Ifahamu nchi ya Japan na jiji lake lenye viwanda vingi la Nagoya

    Kama nilivoahidi toka mwanzo kipindi hiki ambacho nipo lock-down nitakuwa na-share hapa taarifa mbalimbali za baadhi ya nchi nilizowahi kuishi na kufanya kazi ili kwa wale walio na ndoto za kufika wapate japo ufahamu kidogo kuhusu hizo nchi na fursa mbalimbali zinazopatikana katika mataifa hayo...
  7. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Trump: Tunafungua nchi watu wafanye kazi waondoe hofu wanawe na waepuke mikusanyiko

    "Watu wanataka kazi ziendelee, tunaondoa lockdown na tutafungua uchumi wetu kwa njia zilizo salama,Watu wataendelea kuosha mikono na kuepuka mikusanyiko, uchumi wetu utarudi kwa nguvu zote, hakuna Nchi yoyote Dunia ya kutukaribia kiuchumi hata China”-TRUMP
  8. G Sam

    JamiiForums Tanzania Hii nchi Mungu tusaidie: Spika anaita mbunge aliyejiuzulu kwa hiari arudi bungeni, Rais anaenda kuchukua dawa ambayo haijathibitishwa watu wanywe

    Hii nchi imejikuta kwa miaka mitano hii ni vurugu tupu. Yani kama kuna mtu alikufa 2014 halafu akafufuka 2020 kisha akahadithiwa yaliyotokea atastaajabu. Imagine spika wa bunge alivyo amemuita mbunge aliyejiuzulu kwa hiari yake ili arudi bungeni. Mbunge alikabidhi kadi ya chama kilichomdhamini...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Nchi zilizoendelea lazima zitaendelea kutusaidia Waafrika

    Nawaza tu hawa walioendelea sababu kubwa ni soko lao zuri kutoka Africa. Waafrica ndiyo wateja wakubwa wa bidhaa nyingi kutoka mataifa yaliyoendelea. Hivyo kuendelea kutusaidia siyo option ila ni kuendelea kulinda masoko yao wenyewe, maana Waafrica wakifa ambao ni wateja wao na wao...
  10. denooJ

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CHADEMA wakubaliana kutohudhuria tena vikao vya Bunge kutokana na janga la COVID-9, Kujiweka Karantini kwa wiki 2

    Mnadhimu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni na Mbunge wa Bunda Mjini, Ester Bulaya amesema "Hali ya Corona ni mbaya sana, wabunge kupitia Chadema, leo tumefikia makubaliano ya kutoingia Bungeni na kila mbunge kubaki nyumbani kwake Dodoma, niwatake wananchi huko mlipo mchukue tahadhari kubwa."
  11. Tusker Bariiiidi

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mkurugenzi wa ICAP Tanzania, Dkt. Fernando Morales afariki Dunia

    Mkurugenzi wa Shirika la Kimataifa linalojishughulisha na masuala ya Afya – ICAP kutoka Chuo Kikuu cha Columbia New York, Dkt. Fernando Morales amefariki dunia Habari zaidi kukujia punde WASIFU WAKE (KWA UFUPI) Dr. Fernando Morales is ICAP’s country director in Tanzania. In this role, he...
  12. Parabora

    JamiiForums Tanzania Kwa Watanzania walio na malengo ya kuishi kutafuta kazi au kusoma nchini Ubelgiji au Uswisi someni hapa

    Kipindi hiki ambacho niko kwenye zuio la kutoka nje liliowekwa na mamlaka ya jiji nililomo nimeamua kuwa nashare hapa baadhi ya mambo ya nchi nilizowahi kukaa ili ziwe na manufaa kwa wenye malengo ya kutafuta maisha nje ya Africa mashariki. Juzi nilileta andiko linahusu nchi ya Uswisi baadhi ya...
  13. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Trump asema kama kufa na tufe, lazima tuifungue nchi kuokoa uchumi

    Baada ya uchumi wa Marekani kudorora kutokana na lockdown, na pia baada ya kugundulika kwamba huu ugonjwa ndio kwanza unaanza Marekani, na kwamba hauta ondoka hata baada ya mwaka, pia kutokana na watu kuendelea kufa pamoja na kuwepo lockdown, Trump na jopo lake wanatarajia kufanya maamuzi ya...
  14. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Wanaosusia vikao vya Bunge wana mpango wa kushusha uchumi wa nchi

    WAZIRI wa Katiba na sheria, Mwigulu Nchemba amesema kitendo cha baadhi ya Wabunge wa Upinzani kususia vikao vya Bunge kwa kuogopa Corona ni ishara ya kutengeneza madaraja na mpango wa kushusha uchumi wa nchi. Waziri Nchemba amesema hayo jana Bungeni jijini Dodoma wakati akichangia hotuba ya...
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Ujerumani kupunguza idadi ya nchi inazozipa misaada. Kigezo cha Utawala bora na Haki za binadamu kupewa kipaumbele

    Germany plans a shakeup of its foreign aid, limiting its "partner" list to 60 nations and dropping Burundi and Myanmar. Minister Gerd Müller says knock-out criteria will be corruption, rights abuses and poor governance. Germany is planning to heavily restructure its foreign aid agenda...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Leo tukichambue Kitabu cha Nchi Yakusadikika

    Jaman nani anakumbuka kile kitabu tulikuwa tunasoma kwa zamu O level Kiswahili. Nchi ya kusadikika kitabu kile kilikuwa tafakarishi sana ila embu tukichambuwe na nyakati tunazipita hakina mantiki kweli? Karibuni
  17. Parabora

    JamiiForums Tanzania Ifahamu nchi ya Switzerland (Uswisi) japo kwa machache

    Nikiwa bado kwenye msoto mkali wa lockdown JamiiForums imekuwa sehemu mojawapo ya kuniondoa upweke, asikuambie mtu ni kazi ngumu sana kukaa ndani masaa yote kwa mtu mwenye akili timamu. Leo na-share na nyie japo kwa machache kuhusu hii nchi ninayoishi kwa sasa (Uswisi) ili kama kuna mtu anataka...
  18. K

    JamiiForums Tanzania VETA na double standard salary

    Pole na kazi Mkuu! Ni imani yangu u mzima wa afya na unaendelea vyema na kuchapa kazi ya kujenga nchi yetu na ni imani yangu pia ujumbe huu utaupata na kuufanyia kazi. Kwa ufahamu wangu mdogo nimeona hii ni platfom nzuri kwangu kuweza kukufikishia malalamiko yangu kama siyo yetu sababu sina...
  19. Dam55

    JamiiForums Tanzania Je, ni kiongozi yupi ungeshauri ajiuzulu kutokana na kushindwa kuwajibika katika janga la COVID19?

    Wanajukwaa naomba kutoa hoja hii tuijadili sisi kama Watanzania tuliowapa dhamana watu fulani kutuongoza. Nchi si mali yao bali ni mali ya Watanzania. Je, kwa hali tuliyo nayo sasa wewe kama Mtanzania unadhani ni kiongozi yupi amevurunda zaidi na anapaswa kuachia madaraka? Utoe sababu ni...
  20. Jimbi

    JamiiForums Tanzania Rais anapata wapi mamlaka ya kuagiza Spika asilipe posho za Wabunge?

    Wakuu, ile dhana ya uwepo wa Mihimili Mitatu inayojitegemea ni DANGANYA TOTO TU. Magufuli amedhihirisha hilo leo kwa kuagiza Ndugai asilipe posho za Wabunge walioamua kujiweka "karantini". Kama Rais ana mamlaka ya kuliingilia Bunge, vipi kuhusu Mahakama? Atashindwaje kutoa maagizo yanayofanana...
Back
Top Bottom