nchi

  1. Ulimbo

    Ni ipi nafasi ya viongozi wa dini katika katika mstakabali wa amani ya nchi?

    Nijuavyo mimi, viongozi wa dini wan nafasi kubwa sana katika kusimamia viongozi wa nchi. Zamani wafalme walikuwa hawaendi vitani bila kuuliza ruhusa toka kwa makuani/manabii. Kiongozi wa dini walikuwa na mamlaka ya kukemea wafalme pale walipoenda/tenda kinyume na kusudio la Mungu. Kwa kipindi...
  2. Mystery

    Jeshi la Polisi nchini kutumika na CCM kuwabakiza madarakani ni uvunjifu wa Katiba ya nchi

    Tukiisoma Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ya mwaka 1977, inasema wajibu namba moja wa Jeshi letu nchini kuwa ni kuwalinda raia na mali zao Jeshi hilo halipaswi liwalinde watawala, bali linatakiwa litimize majukumu yake kwa weledi bila kupendelea upande wowote Sasa yanapotokea...
  3. YEHODAYA

    Wanawake wa nchi za Afrika mashariki ambao wanaume watanzania waweza kuwaoa kirahisi na wakajisikia vizuri

    Kwenye nchi za jumuiya ya Africa Mashariki wanawake ambao ni wepesi kuolewa na kuishi vizuri na watanzania ni hawa wafutao Namba moja wanaoongoza ni wanawake wa kinyarwanda wazuri na wana akili nyingi mno wengi wao kuolewa na mtanzania ni rahisi mno na wengi wameolewa na watanzania Namba...
  4. Suley2019

    Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) imekanusha kuwa na ukata wa fedha na kwamba nchi zote wanachama, zimeanza kulipa ada za uanachama

    Jumuiya hiyo imesema hakuna nchi yoyote ya Jumuiya hiyo iliyo hatarini kuondolewa uanachama, kwa sababu ya kushindwa kutoa ada za mwaka, isipokuwa upo uwezekano wa kuwekewa vikwazo. Kwa mujibu wa taarifa ya jumuiya hiyo, hadi kufikia Oktoba mwaka huu, Burundi ilikuwa ikidaiwa Dola za Marekani...
  5. Erythrocyte

    Video: Uzinduzi wa kampeni za uchaguzi Serikali za mitaa CCM, nchi yatikisika, watu wakanyagana

    Mwenye macho haambiwi tazama
  6. T

    Tumzo Karugira wa Azam TV ni raia wa nchi gani?

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida, Leo baada ya Mechi ya CECAFA WOMEN CHALLENGE CUP baina ya Djibouti v.s Uganda, Tumzo alimhoji mfungaji bora wa Uganda. Kumhoji mchezaji baada ya mechi ni suala la kawaida isipokuwa dukuduku langu limetokana na haya yafuatayo: 1. Tumzo alitumia lugha ya...
  7. K

    Rais Magufuli kama unapenda nchi fikiria baada yako

    Magufuli anafanya kazi nzuri kwa ujumla hasa ukusanyaji kodi, miradi ya msingi na kurudisha heshima kwa kupunguza upotevu wa mali za Serikali. Lakini kuna vitu ambavyo haviko vizuri 1. Kwanza hakuna mikakati ya kubirosha mifumo ili iweze kwenda bila kutegemea watu. Hakuna mpangilio mzuri wa...
  8. chiembe

    Ushauri: Serikali iagize waliopita mgambo waanze mazoezi nchi nzima ili wawe tayari kuwapiga watanzania watakaoharibu uchaguzi serikali za mitaa

    Nashauri kwamba watu wote waliopita mgambo nchi nzima wawekwe tayari na siku mbili kabla ya uchaguzi wa serikali za mitaa, wafanye mazoezi makali kabisa mitaani kama ishara ya onyo kwa watanzania wanaojiandaa kuvuruga amani. Serikali iinunue makontena ya rungu mpya na kuwagawia watu hawa
  9. G

    Ni wakati muafaka sasa nchi ikaendeshwa kwa majimbo

    Ili kusonga mbele kama Taifa na kuleta maendeleo sawa kwa watu tubuni Majimbo since our Country is large tuingie kwenye mfumo huu. Na iwe hivi: 1. Mwanza, Kagera, Geita yawe BUKOBA STATE 2. Shinyanga, Tabora na Katavi yaitwe TABORA STATE. 3Dodoma, Singida na Morogoro yaitwe DODOMA DC STATE...
  10. Suley2019

    Uganda na Jamhuri ya Demokrasia Kongo zafikia makubaliano ya kuboresha miundombinu baina ya nchi zao ili kurahisisha biashara

    Uganda na Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo zimesaini mkataba wa kufanya maboresho ya miundombinu hasa barabara zinazounganisha nchi hizo mbili katika kipindi cha ndani ya miezi 24 kwa lengo la kukuza biashara na uwekezaji ndani ya nchi hizo mbili. Rais wa Uganda Mh. Yoweri Museven na Rais wa...
  11. Chief Kabikula

    Nini faida ya Marais wastaafu wa Tanzania kwa nchi yetu?

    Tanzania mpaka sasa tuna marais wastaafu watatu ukiacha Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliyetangulia mbele za haki. Hawa marais wastaafu ni wazoefu na wajuzi sana wa mambo kupitia uzoefu wa kuongoza nchi kwa miaka kumi kila mmoja. Swali huo uzoefu, maarifa na ujuzi wao umesaidia...
  12. J

    Uhamiaji: Wapiga kura waliojiandikisha maeneo ya mipakani mwa nchi kuhakikiwa

    Kamishna wa Uhamiaji amesema wapiga kura wote waliojiandikisha wanaoishi maeneo ya mipakani kuhakikiwa. Uhakiki huo unawahusu wapiga kura wa uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wa 2020. Lengo la uhakiki huo ni kuwabaini wageni waliojipenyeza kinyume cha sheria kwa nia ya kuvuruga...
  13. CalvinKimaro

    Nchi ya wanasiasa na siasa toka juu Taifa hadi Kijijini: CCM mna dhamana

    NCHI YA WANASIASA NA SIASA TOKA JUU TAIFA HADI KIJIJINI: CCM MNA DHAMANA Tanzania imegeuka Taifa la ajabu sana. Ni Taifa pekee siasa inafanywa na kila mtu, kila mahali na kila muda. Hakuna Taifa jingine duniani ambalo karibu kila mtu, kila kitu na kila sehemu kinachofanyika ni siasa. Na hali...
  14. U

    Nashauri tubadili jina la nchi na tuitwe Kilimanjaro, badala ya Tanzania

    Nimesafiri na kuishi nchi mbalimbali duniani, ila nchi yetu si maarufu sana, yaani Zanzibar na Mountain Kilimanjaro ndio watu wanavijua, Tanzania hawaijui. Nahisi makosa yalifanyika katika kulichagua jina la nchi enzi hizo, japo nasikia toka awali huko ilishapendekezwa nchi iitwe Kilimanjaro...
  15. J

    Serikali yanunua ndege ili kuutangaza utalii wa nchi yao

    Ndege mpya ya Uganda Airline inayomilikiwa na Serikali ya Uganda leo imezindua rasmi safari zake za kwenda Mombasa Kenya kwa kile kilichoelezwa kuwa kutangaza na kuimarisha sekta ya utalii. Msemaji wa Uganda amesema sasa ndege za shirika hilo zinamilikiwa na Serikali tofauti na hapo awali...
  16. kibokomchapaji

    Tanzania: Nchi pekee ambayo wapinzani wanathubutu kunajisi Utawala wa Sheria

    Na Mwamba wa Kaskazini Nimefuatilia masuala kadhaa katika siku mbili hizi nikashindwa hata kushangaa. Tanzania mwezi huu inatekeleza kitendo kikubwa sana cha demokrasia ambapo wananchi watachagua viongozi wao wa ngazi za chini kabisa; aina ya demokrasia ambayo hata katika baadhi ya nchi za...
  17. F

    Jumuiya ya Ulaya na baadhi ya balozi za nchi za Magharibi kutoa tamko juu ya uchaguzi Serikali za Mitaa

    Halo JF siasa. Habari za uhakika kutoka chanzo cha uhakika ndani ya wizara ya nje, zimenidokeza juu ya ujio wa taarifa kutoka jumuiya ya Ulaya na baadhi ya Balozi za nchi za Magharibi kushutumu mwenendo wa uchaguzi wa serikali za mitaa. Chanzo hicho kimegoma kutaja nchi hizo licha tu ya...
  18. Bullshit

    Mambo ya kuzingatia unapotaka kuhamia au kuishi unapokuwa nchini Marekani

    Mambo muhimu ya kuzingatia au kufanya unapokuwa unaishi nchini Marekani. Epuka kuishi kwenye miji ya anasa na panga nyumba yenye gharama nafuu. Miliki usafiri wako mwenyewe achana na kutegemea usafiri wa umma Fanya kazi moja na tumia weekend yako kujumuika na ndugu, jamaa na marafiki...
  19. KIMOMWEMOTORS

    MJADALA: Uliza chochote kuhusu mchakato wa uagizaji magari

    Mara kadhaa tumekuwa tukianzisha mada mbalimbali zenye lengo la kutoa elimu, dhumuni likiwa ni kupeana uelewa zaidi na kukumbushana mambo mbalimbali kuhusu uagizaji wa magari. Leo tungependa kusikia masuala tofauti tofauti kutoka kwenu wadau ili tuzidi kupeana uzoefu na elimu zaidi. Shukrani...
  20. Ulimbo

    GE2020 1/9/2019 mkuu alikutana na na watendaji wa kata zote nchi, je aliwambia nini?

    Wanajamvi, Kama tujuavyo, Septemba mosi 2019, mkuu alikutana na na watendaji wa kata zote nchi, je haya yanayotendeka sasa kuhusiana na huu uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika siku za hapa usoni ni moja ya maazimio na maagizo waliyopewa hawa watendaji? Inasikitisha sana mambo...
Back
Top Bottom