Mchungaji Lusekelo amesema yeye ni miongoni mwa wachungaji bora 10 barani Afrika hivyo anapoongea jambo wananchi ni lazima wamuelewe.
Lusekelo anasema Rais Magufuli ameitikisa dunia kwa namna alivyoweza kudhibiti Corona, kadhalika wale walioongea baada tu ya Rais kuongea na wananchi ni wavuta...
Siku za hivi karibuni baada ya ujio wa mitandao ya kijamii; nchini Tanzania kila kitu kimekuwa utani na hivyo kufanya mambo kuwa mepesi na msongo wa mawazo kupungua.
Kwa ufupi tunapeana burudani ya kutosha humu online. Nadhani zile takwimu za kuwa hatuna furaha sasa ziwe reviewed tuwemo...
Nimetafakari sana na kujiuliza juu ya hili swali. Maana hata kabla ya kurudi kwa mfumo wa vyama vingi hapa Tanzania na nchi nyingine nyingi za Africa, sababu kubwa iliyoletwa na taasisi kama World Bank na nchi nyingi za wahisani ilikuwa ni kudhibiti ubadhirifu na ufisadi.
Wahisani na World...
Rais wa Marekani Donald Trump ambaye anakabiliwa na uchaguzi mkuu mwaka huu ambaye amekosolewa jinsi anavyotatua ugonjwa huo nchini Marekani , amelaumu China kwa kujaribu kuziba mlipuko huo na kuilaumu WHO kwa kushindwa kuiwajibisha China.
Rais wa Marekani, Donald Trump ametangaza kwamba...
Chadema mnapofanya siasa zenu tambueni kuwa ni ngumu kuchukua nchi bila kufanya urafiki na vyombo vya ulinzi na usalama. Either mtatumia umwagaji damu, Vyombo vya ulinzi ndio watanzania wenyewe ukiona umekubalika 50% kwa watanzania na ndani ya ulinzi ndio hivyo hivyo, maafisa wa vyombo wanataka...
Watanzania tunadanganya na wabunge kwa kujifanya kama vile wanatusaidia. Bunge kwa mfumo wa sasa ndiyo sehemu ya matumizi bila faida yeyote kwa taifa
1. Kwanza Budget ambazo wanatumia muda kujadili na kuchukua pesa nyingi serikali kwenye utekelezaji hawatumii pesa kama walivyopanga. Hivyo...
Mkurugenzi mtendaji wa Shirika la Afya Duniani ‘WHO’ amesema #CoronaVirus wanaweza wakaendelea kuwepo na kujiunga na virusi vingine vinavyoendelea kuua watu duniani
Amesema hafananishi virusi hivyo ila ni vyema kujua uhalisia, kwa kuwa hakuna anayeweza kutabiri siku ambayo ugonjwa huo unaweza...
Up dates;
Spika Ndugai amesema Mbowe kama KUB ni mtu muhimu sana pale bungeni na ni mjumbe wa kamati zote muhimu ikiwemo ya Uongozi, kamati ya haki, kamati ya kanuni na kamati ya bajeti.
Pia kama KUB Mbowe anaruhusiwa kusimama bungeni wakati wowote na kuuliza au kushauri chochote tofauti na...
Sikatai kwa nchi hata Tanzania kutokuwa na msimamo na kukubali kuyumbishwa ndani na nje ya nchi. Ninachowaambia ni kwamba katika masuala ya mahusiano, ndani na nje ya nchi, tunapaswa tujue namna ya ku balance kati ya kuwa na msimamo, kutoyumbishwa na udiplomasia. Kuwa na msimamo haina maana...
Kusema kweli hii ni kauli mbaya kuzungumzwa na kiongozi wa nchi kwenda kwa nchi majirani zake ambao wanakabiliana na matatizo. Ni kauli ya kuharibu na kuleta hujuma kwa nchi.
Ndugu Rais, unapotamka jua kuwa wewe ni Rais wa nchi. Hilo lazima ulielewe hivyo umakini unahitajika sana kwenye...
Hili jambo limenishangaza sana ! wananchi wengi wamejiridhisha kwamba nchi yetu haipambani na corona kwa dhati kama nchi nyingine zote duniani , Tumeshuhudia pia juhudi za viongozi kutaka kuwaaminisha wananchi kwamba corona kwa Tanzania ni jambo jepesi tu .
Bali kinachoshangaza wananchi ni...
Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa imesema shirikisho la mpira(TFF ) kuna hela zimetumika vibaya,baadhi ya watuhumiwa wameitwa kuhojiwa na nyaraka mbalimbali zimechukuliwa .
TAKUKURU imesema watu hao wana hiari ya kurudisha hela au kusubiri uchunguzi ukamilike.
Mkurugenzi wa TAKUKURU...
Kwa level ambayo dunia imefikia kwa sasa sio rahisi kuamini kwamba hadi sasa dunia imeshindwa kupata dawa au njia sahihi ya kuthibiti kirusi cha Corona. Ikumbukwe kuwa jamii ya kirusi hiki kipo tangu siku nyingi kitu kinacholeta ukweli kwamba tayari wanasayansi walikwishafanyia utafiti siku...
Tuungane pamoja kuiombea na kuitetea miradi mikubwa kama:
SGR
STIGLERS GORGE
MIUNDOMINU
UMEME
MAJI
HOSPITALI
SHULE
Na miradi mingine mikubwa kama:
Ubungo Interchange.
Salender Bridge
Busisi Bridge
Meli nk
Tukiendelea kuipinga serikali hata kwenye mambo ya maana matokeo yake inatumia nguvu ya...
Wanaojua sheria za kimataifa hivi mfano Mimi ni rais halafu kwa sheria zetu ninakinga ya kutoshtakiwa kwa Mambo niliyoyafanya nikiwa madarakani.
Je, siku nikiondoka madarakani halafu nikaenda India kutibiwa kwa mfano?
Je, wanaonitafuta wanaweza kunifungulia mashtaka nikiwa kwenye ardhi ya...
Akiwasilisha hotuba ya makadirio ya wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika mashariki Prof Kabudi amesema Tanzania ndio mratibu wa mipango ya kudhibiti Corona kwa nchi za SADC.
Prof Kabudi amesema mwezi March mwaka huu waziri wa afya mh Ummy Mwalimu aliongoza kikao cha mawaziri wa afya...
Ni jambo ambalo sio jema watu kutaka kuutumia huu ugonjwa kutaka kupata umaarufu wa kisiasa.
WHO ilishatoa muongozo wa namna kila nchi itapambana vipi na huu ugonjwa kulingana na uchumi wake.
Jambo la msingi ni kuzingatia misingi inayotakiwa kujilinda na huu ugonjwa.Kama kuvaa mask kila...
Siku za hivi karibuni spika Ndugai ameonekana akitoa maamuzi yanayoenda kinyume Cha sheria na Katiba ya nchi Hasa kuhusu ubunge wa Cecil Mwambe na Wabunge waliofukuzwa jana na Chadema Anthony Komu,Wilfred Lwakatale, David Silinde na Joseph Selasini.Jana kabla hajapokea document yoyote ya chama...
Kwenye suala la Corona hakuna aliyeleta huu ugojwa. Nashangaa Raisi wetu kuwakwepa marafiki zake kama Odinga na majirani zetu kama Kagame, Musevi , Kenyatta na hata raisi wa Zambia kiasi cha kuanza kufungiana mipaka.
Kwnye Corona hakuna jibu zuri lakini ni bora ueleze sababu zako ili...
Tumepata taarifa kupitia vyombo mbali mbali vya kimataifa juu ya nchi kadhaa zilizoweka total lockdown na baada ya uchumi kuyumba na njaa kuwa kali wakaamua kuondoa lockdown, kisha visa vya Corona vikashoot juu kwa kasi kwa mara nyingine tena, na sasa wanafikiria kurudisha tena lockdown. Nchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.