YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,908
- 51,904
Hivi ni sahihi Uhamiaji kutoa Passport mpya laki mbili kwenye nchi yenye watu milioni 55?
Nchi za wenzetu mfano Marekani passport na visa ni chanzo kikubwa cha mapato ya serikali.
Mfano uhamiaji wangepewa lengo mfano la kutoa Passport milioni moja tu kwa mwezi kwa bei ya Passport ya shilingi laki moja na nusu serikali ingeingiza pato la shilingi bilioni 150 ambazo zingesaidia mno nchi.
Kikwazo kikubwa cha watu kupata Passport ni kuwa Afisa Passport hatakiwi kumuuliza mtu anaenda wapi kufanya nini akitaka kumpa. Hilo atapambana nalo Ofisi ya Ubalozi anakoenda akienda kuomba Visa. Wewe kila Mtanzania mpe passport mengine mwachie akapambane na hali yake mbele kwa mbele
Passport ni kitambulisho tu cha kawaida kama cha NIDA tofauti iliyopo ni kuwa cha NIDA kinatambuliwa ndani ya nchi wakati passport ni kitambulisho cha raia cha Kimataifa .Mtu ruksa kuwa na passport hata kama hasafiri ni kitambulisho chake cha kimataifa.
Mtu anakiwa kuwa na vitambulisho viwili cha NIDA na passport
Uhamiaji wanaona passport kama kitu kikuubwa!