Rais wa Rwanda Paul Kagame, alisema Jumatano kwamba serikali yake itafungua mpaka na Uganda wakati itajihisi kufanya hivyo akisisitiza kwamba hakuna mtu wala nchi yoyote itamshurutisha kufanya hivyo.
Akihutubia mabalozi katika mkutano wa kila mwaka na waakilishi wa nchi za nje pamoja na...
Imefikia mahali ambapo Mtanzania yeyote mwenye akili ataona kwamba serikali ya awamu ya tano imekithiri kwa kutumia uongo katika mambo ya kila siku yanayohusu uongozi wa nchi. Wananchi wanadanganywa hadi watu weye akili zao wanashikwa na hasira kama sio kichefuchefu!
Mimi naona ni vema basi...
Huku Idukilo leo nimewadokeza kuhusu SGR. Mmoja akafikiri ni kifupi cha neno sigara akaniambia sasa kutufanya sisi tuvute sigara ndiyo maendeleo.
Kuhusu flyover mwingine kafikiri ni ndege na kudai kwamba alikuwa anasikia milio tu zikipita kwenda kutua Mgodi wa Mwadui kuchukua almasi...
Viongozi wa ziara hiyo inayoanza mara moja ni Zitto Kabwe na Nassor Mazrui , ambao wamepanga kuonana na watanzania walio nje ya nchi pamoja Mabeberu ili kuzuia ukandamizaji wa demokrasia nchini Tanzania ambao umefikia kiwango cha kutisha .
Watanzania wote makini wako tayari kuthamini mchango wa...
Nitakukumbuka daima Mheshimiwa Rais. Nitakukumbuka kwa ujasiri wa kipekee. Nitakukumbuka kwa kutuonesha njia na kutuaminisha kuwa sisi ni watu kama walivyo watu wengine duniani...yaani tuna akili, tunajua kuzitumia na tuna mahitaji.
Mheshimiwa Rais umetuonesha kuacha ubinafsi na tufanye kazi...
Dalili za nchi masikini:
Uwepo wa redio FM kila kona
Msafara wa Rais unakuwa na gari nyingi kupita kiasi
Kila mtu anajenga nyumba/ kijumba
Wananchi vichwani kunawaza mpira
Matumizi na mapato hayana kanzidata/ data base
Kila baada ya hatua tano kuna duka/ kila mtu mchuuzi
Watu wanasoma...
Nchi yangu haina furaha tena, Rais wangu akisimama ni kukemea na kufoka tu, hakuna tena furaha. Akianza kuhutubia popote nchi inazizima, hamna tena maneno ya furaha, ni uozo uozo tu hata ule wa kulazimisha. Kingu kawachoma wenzake na kakimbizwa ubalozini kuficha uozo.
Hamna hakika Rais hakujua...
Kuna nchi 54 zinazotambuliwa kama mataifa huru katika bara la afrika. Nchi iliyokuja hivi karibuni ni sudani ya kusini ambayo imepata uhuru wake mwaka 2011. Sahara Magharibi ikiendelea kuwa mwanachama wa Umoja wa Afrika lakini umoja wa mataifa haujaitambua kama taifa.
Bara Asia ni bara...
Tanzania kwa miaka mingi imekuwa ni nchi inayo boresha elimu kwanza na baadaye yanafiata mambo mengine ya barabara, lilimo viwanda na nk.
Cha kuchangaza ni kwamba awamu hii imesahau lkabisa kuboresha elimu hasa ya msingi.
Wengi watanishanga kwamba mbona sijaona elimu bure inatolea nk.
Kutoa...
Watanzania tumefikia wakati sisi wenyewe kwa wenyewe hatuwezi kusikilizana au kuheshimiana. Watanzani wengi siku hizi wamekuwa wakiangaliwa kibinafsi wakitoa hoja kuliko kusikiliza hoja za wanaotoa.
Mara nyingi sana tumekuwa hata hatusikilizani kwa sababu ya woga au kujijengea fikra za uongo...
Kwa miaka hii minne Utawala wa CCM unashindwa kujipambanuwa. Kuna msigano wa wazi wa itikadi ipi hasa inafaa kufuatwa na mfumo upi hasa unapaswa uwe ndio mfumo wetu wa Utawala.
Watu wengi wanaamini ni mfumo mpya " ulibatizwa jina na kuitwa " MAGUFULIZATION"
Sijui mfumo huu unalenga nini...
Ninamsifu na ninamshukuru baba yangu mzazi kwa :-
1. Kuandaa mazingira ya kumwoa mama hatimaye nikawa duniani.
2. Kujenga nyumba ya tope na bati, na kutulelea humo, wakati huo majirani wote walikuwa na nyumba za makuti.
3. Kuishi kwa kutegemea kilimo na ufugaji ndani ya shamba la baba ...
Mataifa yaliyopoteza raia katika ajali ya ndege ya Ukraine iliyodunguliwa na Iran yameitaka Tehran iwajibike kikamilifu, uchunguzi wa kimataifa uanzishwe na familia za wahanga zilipwe fidia.
Mawaziri wa mambo ya nje wa Canada, Uingereza, Ukraine, Sweden, Uholanzi na Afghanistan wamekutana...
Jana nimesoma kwenye Youtube ikitaja nchi kumi bora katika Afrika zenye mifumo bora ya elimu.
Nchi zenyewe ni kama ifuatavyo ikianzia na namba
10. Namibia
9. Egypt
8.Cape Verde
7.Kenya
6.Botswana
5.Algeria
4.South Africa
3. Mauritius
2. Tunisia
1.Sychelles.
Naona Tanzania hatumo.
Baada ya kufanya upembuzi yakinifu kuhusu siasa za Tanzania nimeona kwa macho yote kwamba Chama cha siasa cha kisasa cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) Ndio chama kilichotamba mitandaoni kwa kujadiliwa mara nyingi zaidi kuliko chama chochote cha kisiasa nchini Tanzania, huku kwa mbali...
Shirika la kutetea haki za binadamu lililo na makao yake Mjini New York Marekani Human Rights Watch, limesema China inaweka mikakati ya kuidhoofisha mifumo ya kulinda haki za binadamu duniani kote.
Shirika hilo limeyasema haya leo tarehe 15/01/2020 Jumatano katika uzinduzi wa ripoti yake ya...
Marekani imeiondoa China kutoka kwenye orodha yake ya nchi zinazodhibiti kiwango cha ubadilishaji wa fedha.
Ripoti iliyotolewa jana na Wizara ya fedha ya Marekani inasema kwa sasa hakuna nchi mshirika wa kibiashara wa Marekani anayefikia vigezo vya kisheria vya kudhibiti thamani ya sarafu yake...
Hapo vip!
Hii ni mitambo inayotengenezwa Marekani ni mitambo Bora na imara kuliko mitambo ambayo umeshawahi kutumia kutoka katika makampuni mbalimbali.
sifa ya mitambo hii.
-hata jua likiwa hafifu panel zake zinacharge betry kwa kasi kubwa.
-Hata jua lisipo toka week nzima unapata umeme
-Kila...
Maandamano ya amani ambayo baadae yaligeuka yenye vurugu yafanywa na wananchi wa Irani hasa wanafunzi wa vyuo kulaumu kitendo cha kudungua ndege ya abiria ya ukraine kimakosa., Wanahoji ni kwa nini kiongozi wa kidini wa nchi hiyo Ayatollah Ali Khamenei asiachie ngazi.
Balozi wa United...
Wakuu kwa heshima na taadhima nawasalimu wote kwa unyenyekevu mkubwa sana!
Ndugu zangu kama umewahi kumuona mtu anayetaka kufa kwenye maji , mtu aliyezidiwa na maji unaweza kujua maana ya neno kutapatapa. Kama tunavyojua mtu akitaka kufa lazima ajitahidi kujitetea lakini ndani ya maji hilo ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.