Marekani huwa ni taifa linalojiona ni dume linaweza kila kitu kuliko taifa lolote duniani
Sasa imekuja Corona nchi za Africa tumeiwezea kuliko marekani
Sasa baada ya marekani kuona ohhh vinanipita hata vi nchi vidogo kuishinda corona akaona atafute sababu za kujikosha kuwa ohhh mimi bado niko...
Maana kulijitokeza malalamiko ya gharama kubadilika badilika kama hali ya hewa kwenye uchaguzi uliopita.
Wekeni standardized amount ili wa kudunduliza waanze kudunduliza kiasi kitachotakiwa!
Kwanza kimuonekano, njia panda ya TAZARA na njia panda ya Ubungo zote zipo sawa (Zime cross njia mbili kila moja). Ila moja ina flayover moja na nyingine ina mbili. Hii design ilitakiwa kuwa kitu tunaita "typical design" . Kwa kile walichofanya ni kama kuchafua tu mji kwa kuweka mazagazaga...
Nakumbuka enzi za Kikwete na Mkapa watanzania wengi wenye taaluma mbalimbali waliokua wanafanyakazi nje ya nchi waliletwa kuja kusaidia kuleta maendeleo kwa ujuzi na uzoefu wao walioupata huko nje.
Kwa mfano Mkapa alimleta Daudi Balali, Kikwete akamleta Ndulu, yule mama wa uwekezaji, mama...
Kiukweli kila nikimtazama Rais Magufuli naona dhahiri amevuka level ya siasa za vyama na sasa anaitumikia nchi katika mustakabali mpana.
Kwa namna anavyoenenda ni ukweli ulio wazi Rais Magufuli anatumikia maslahi ya nchi japo kwa kuongozwa na Ilani ya CCM lakini kwa ubunifu binafsi wa kuleta...
Kiukweli kila nikimtazama Rais Magufuli naona dhahiri amevuka level ya siasa za vyama na sasa anaitumikia nchi katika mustakabali mpana.
Kwa namna anavyoenenda ni ukweli ulio wazi Rais Magufuli anatumikia maslahi ya nchi japo kwa kuongozwa na Ilani ya CCM lakini kwa ubunifu binafsi wa kuleta...
Vyombo vya Habari vya nchi zilizoendelea kama Marekani, vimekuwa na kawaida ya kusema wazi Vyama au Itikadi ambazo wanazisapoti katika vipindi vya uchaguzi, na hali hiyo huendlea hata baada ya uchaguzi.
Katika nchi zetu za Afrika vyombo vya habari haviweki wazi labda baadhi ya magazeti ambayo...
Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbas amesema, Serikali haijaacha kuwalipa watumishi wake katika kipindi hiki cha #CoronaVirus kwa sababu iko vizuri kiuchumi
Ameongeza, “Nchi jirani zimepunguza mishahara lakini kwa Tanzania watu bado wanapata mishara yao tena kwa wakati bila...
Habari wana jamvi!
Nimekuwa nikifuatilia utendaji wa wateuliwa Wengi wa awamu ya tano nimebaini kwamba karibu wote hujitahidi sana kujua aliye wateua anataka nini na huishi katika hilo. Hawasomi standing orders wala Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwao wao kumfurahisha 'Kim Jong Un '...
Abidjan ni mji mkuu wa nchi ya Ivory Coast na pia mji kubwa zaidi nchini humo. Abidjan is also known as the Paris of Africa ,
Abidjanis the biggest and most important city of Cote d'Ivoire. With a population of around 4,000,000 people, it is the second largest city in West Africa after Lagos and...
Ndugu zangu,
Pamoja na kelele nyingi mitandaoni bado vyama vya upinzani hususani CHADEMA, ACT et al hawana na hawataweza kuwa na wagombea ubunge na udiwani kila mahali kwenye Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Vyama vyote vya upinzani havitaweza kutoa wabunge wa kuchaguliwa zaidi ya arobaini...
Inafahamika kwamba taarifa kuhusu korona zinatolewa na Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu.
Balozi za Uingereza na Marekani zinatoa vipeperushi na kusambaza dunia nzima kwamba Dar es Salaam na maeneo mengine nchini, corona imetapakaa na mahospitali yamezidiwa wagonjwa.
Kauli hizi zinaingilia...
Marekani imesema Urusi imepeleka ndege za kivita Libya kuwasaidia mamluki wake wanaopigana upande wa kamanda Khalifa Haftar mashariki mwa Libya. Wakati huo huo, Urusi imesema inaunga mkono usitishwaji wa mapigano Libya
Katika tangazo lake lililochapishwa jana, kitengo cha jeshi la Marekani...
Nilikutana na dada mmoja Mnigeria, katika maongezi nilimfahamisha kuwa mimi ninatoka Tanzania. Tulipozidi kuzoeana aliniambia kule kwenu kuna namba mbovu sana ya uchawi, nilimjibu kuliko nyinyi? Alisema sisi ni waropokaji tu lakini uchawi mnaujua nyinyi ila hamjitangazi.
Alinipa hadith fupi...
Leo ni siku ya Afrika.
Katika maadhimisho ya siku ya Afrika Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa amelipongeza bara la Afrika kwa siku hii na kwa namna wanavyopambana na Corona.
Katibu mkuu wa UN mh Antonio amekubaliana na wazo la kuzitaka nchi tajiri kusamehe madeni ya nchi za Afrika ili kuzipa...
Sio ubishi tena, Janga la ajira ni changamoto kubwa sana kwa kizazi Cha Sasa . Tujikumbushe kidogo
Tarehe 12/12/2014 ilikuwa ni siku ya usaili ya nafasi za kazi 50 tu zilizotangazwa na TRA takribani mwezi kabla ya tarehe ya usaili., baada ya kufanya short listing wakapatikana watu zaidi ya...
Mnakumbuka sakata la makanikia mwaka 2017 na jinsi lilivyozua mtafaruku dunia nzima na kupelekea serikali kuzuia kusafirishwa nje ya nchi udongo wenye dhahabu.
Yalikuwepo makontena takribani 277 yaliyo na dhahabu kiasi cha tani 7.8 za dhahabu kwa kila kontena.
Sasa mambo yamerudi kama zamani...
Huyo jamaa kwa magumu aliyopitia kwa miaka minne kama Kiongozi wa Nchi kwa hakika ana Mungu na ni muda muafaka aachwe tu.
Matusi,chuki,kukatishwa tamaa na hata kutabiliwa kifo ilikuwa ni rahisi kwake kukata tamaa na pengine angeamua tu kuwa upande wa mafisadi ili kuwafurahisha wakosoaji na...
Waziri wa mambo ya ndani wa Uingereza Priti Patel
Serikali nchini Uingeeza leo jioni inatarajia kutangaza kuwa abiria wote wa kimataifa ambao watatua kwenye viwanja vya ndege vya nchi hiyo watatakiwa kujiweka wenyewe karantini kwa gharama zao wenyewe.
Pia abiria hao watatakiwa kutoa taarifa...
Kuna watu wana chokochoko, wakiona maji yametulia,wanayakoroga,almuradi tu hawapendi amani na upendo ndani ya taifa
Kuna watu wa ule upande mwingine wanasema hawawezi kusikiliza au kupokea na kuangalia maagizo yanayotolewa kanisani kwa njia ya hotuba.
Wanasingizia kwamba wao sio wa dini hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.