Hii nchi tunaipeleka wapi iwapo haya ni ya kweli?

Hii nchi tunaipeleka wapi iwapo haya ni ya kweli?

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,643
Reaction score
164,789
Maria Sarungi:
Serious trouble is brewing in Zanzibar! Mark this tweet!
@ccm_tanzania is set to pass an amendment to bar all @ACTwazalendo
opposition candidates with the excuse that you have to be a member of a party for at least 2 years to qualify. This will not end well! #Tanzania

Zitto MwamiRuyagwa Kabwe:
Tuliposema kuwa CCM wana mpango wa kuzuia mamia ya wanachama wa @ACTwazalendo kugombea Urais, Ubunge na Udiwani ktk Uchaguzi 2020, CCM walikanusha. Ndg. @omarshaaban80 juzi alikazia maneno ya Maalim @SeifSharifHamad CCM wakakanusha tena, wakakataa taarifa yao rasmi. Hapa je?

Hapo mwishoni Zitto katika tweet yake kahoji hivyo baada ya mjumbe mmoja wa Baraza la Wawakilishi kusikika katika clip iliyoko mtandaoni akisema anakusudia kupeleka hoja binafsi katika Baraza la Wawakilishi kutaka kuwe na sheria itayozuia waliojiunga na vyama kutogombea nafasi ya uraisi,uwakilishi na udiwani mpaka kwanza wawe wametimiza miaka miwili katika vyama walivyojiunga.
 
Mtu anakuja kwenye chama dakika mbili mara pap, yeye ndio mshika kibendera. Waliohagaikia chama kama kina Mzee Slaa wanatupwa nje, tena kwa kejeli. That not a level playing field.
 
Hivi Uhuru wa kujiunga na Chama chochote upo wapi hapa !?.Haki ya kuchagua na kuchaguliwa /Haki ya Wanachama wote kuwa ni sawa ipo wapi !?

Unapo sema Tanzania ni Nchi yenye Mfumo wa Vyama vingi ,hii ni nini maana yake kama Haki zote umezichukua kwa Mlango wa nyuma !?.Hii ndio Demokrasia ya aina gani !?
 
Mtu nakuja kwenye chama dakika mbili mara pap, yeye ndio mshika kibendera. Waliohagaikia chama kama kina Mzee Slaa wanatupwa nje, tena kwa kejeli. That not a level playing field.

Kama Wanachama wao kwa wao wame kubaliana na hayo Tatizo lipo wapi !?
 
Mtu nakuja kwenye chama dakika mbili mara pap, yeye ndio mshika kibendera. Waliohagaikia chama kama kina Mzee Slaa wanatupwa nje, tena kwa kejeli. That not a level playing field.
Hilo sio tatizo
Nchi za wenzetu vyama vina ungana muda mfupi sana uchaguzi kuanza ili kuongeza nguvu ya mapambano. Tanzania ni vikwazo tu ili kuibeba Ccm. Mambo ya aibu tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Salary Slip,
Tutaelewana tu. mkijifanya wababe, mnapigwa pini mahali.
suala la fujo kama ni hao alshabaab mliowaajiri, na wao watashughulikiwa.
 
Mhh hivi ilichukua muda gani tangu Lowasa alipoacha CCM na kujiunga na CHADEMA na kupewa kugombea Urais?..

Tukumbushane ili kuweka kumbukumbu vizuri
 
Tutaelewana tu. mkijifanya wababe, mnapigwa pini mahali.
suala la fujo kama ni hao alshabaab mliowaajiri, na wao watashughulikiwa.
Hapa Alshabab yuko wapi ?
FB_IMG_1581246624794.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom