Zijue mbinu anazozitumia Marekani kukandamiza nchi masikini ili aendelee kupora rasilimali zake

Morning_star

JF-Expert Member
Apr 21, 2018
4,155
11,464
Waswahili husema: "kama humjui shetani anza kupata maendeleo".

Taifa la Marekani limejengwa katika misingi ya damu na roho za watu! Wenyeji wa nchi ya Marekani ni "Red Hindis". Hawa wenyeji waliuwawa vifo vya maangamizi "extinction" na waliosalia ni kwaajili ya kumbukumbu ya historia kwasabahu wako dhaifu kwa idadi na kiuchumi na kimaarifa kiasi kwamba they can't fight back.

Hivyo hivyo ndivyo walivyofanya Waingereza nchini Australia waliuwa wenyeji waoote wanaojulikana kama "Aborigines". USA na Britain (waingereza) wana asili na Historia moja ya mauwaji na wamejaa damu. Kwahiyo walivyokuja kutawala Africa lengo lao lilikuwa lilelile la kuua waafrica woote ili watawale Africa. Walijaribu wakashindwa na kama wangefanikiwa na sisi waafrica tungekuwa kama "Red Hindis" na "Aborigines".

Hata hivyo baada ya kushindwa kutuua waafrica wakaja na njia ya pili ya kututumikisha kama machine kujenga miji yao MAREKANI na ULAYA kwa njia ya utumwa kwa kuleta mameli makubwa na kuajiri wafanyabiashara wa enzi hizo ambao ni waarabu na kutuuza kwa wingi wetu katika biashara ya utumwa lakini tukasalimika tukazaliana na kuongezeka na kuishi.

Baada ya kushindwa kutumaliza wakatengeneza magonjwa mabaya (kwenye maabara) ya maangamizi kama ukimwi, ebora, n.k, hata hivyo hayo magonjwa yameshindwa kutumaliza na wanaendelea kutengeneza magonjwa kuyafanyia majaribio Africa lakini kabla ya kuyaleta yanalipukia kwao kwa mfano ugonjwa wa sasa "corona".

Njia hizo zoote za kutuangamiza zimeenda sambamba na kuungana na magenge ya uhalifu kwa mlango wa nyuma. Waharifu na magenge ya madawa ya kulevya yanatengenezewa Sera nzuri za kimataifa kwenda kuyauza Africa ili kuharibu vizazi vya Africa visishiriki katika uzalishaji mali wa kuzikomboa nchi za kiafrica.

Kwa mfano nchi ya DRC miaka nenda miaka rudi wizi wa madini na Vito vya thamani vinafanywa na wamarekani na hawataki nchi hivyo iwe na amani. Wanawabughudhi wananchi kwa magonjwa ya ebora, mauwaji ya kushutukiza katika vijiji na mijini, wanasupport magenge ya uhalifu kupigana na serikali kwa kuwauzia silaha.

Sasa hapa nchini kwetu baada ya kufanikiwa kuzima genge la madawa ya kulevya na kukataa ushoga na mimba mashuleni Marekani imeanza visa vya kuzuia watanzania wasiruhusiwe kwenda Marekani, kuzuia watalii wasiingie nchini kwetu eti kuna "ebora", kushirikiana na wadeni wetu kuzuia mali zetu (ndege) ili tulipe madeni, kupandikiza mapandikizi ya mabeberu ndani ya nchi kusupport Sera kandamizi za mabeberu kwa njia za NGOs n.k.

Wamarekani wajue na watambue kuwa Tanzania ni nchi huru inayoheshimu utu wa mtanzania na inajitambua kisiasa, kijamii, kielimu, kiuchumi, na kiutamaduni. Na kwamba ina serikali makini na kwamba hatuyumbishwi na Sera na propaganda zao na wananchi tupo pamoja na serikali yetu na viongozi wetu. Hatuna cha kupoteza eti kwa kumzuia RC Makonda kwenda Marekani.

Kwanza wajiulize tangu Rais wetu John Pombe Magufuli aingie madarakani alishawahi kwenda ubarozi wa Marekani nchini kuomba Viza ya kuingia Marekani? Ukweli ni kwamba hajawahi kwahiyo RC Makonda aende Marekani kutafuta nini ambacho bosi wake haoni haja?

Mwisho naomba niquote maneno ya Robert Mugabe (RIP)

"The bad occasions are associated with the word "black" like: "blacklisted" not "whitelisted", during funeral people wears " black clothes " not "white clothes", etc, etc; But "I don't care as long as I am using a "white" toilet paper to rub my ass".
 
Upuuzi tu umeandika waliingia Libya nchi iliyokuwa imeendelea zaidi kwani walishindwa kuingia Tanzania..
Si muwe na demokrasia atleast aliyokuwa nayo Mh. J.K tuone kama mabeberu watawabughuzi, wauwaji wakubwa nyie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili halifuti ukweli ndilo taifa lililohangaika na abolition ya slave trade.
Lakini pia haibadilishi ukweli vigogo wa serikali kuhusika mauaji na mateso yanayoendeshwa na dola la awamu 5

Baada ya kuzuia biashara ya binadamu kama bidhaa(utumwa).

Kuna haja wakikabiliana huu utumwa mpya,hasa utumwa wa kuua mawazo huru kwa manufaa ya nchi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waswahili husema: "kama humjui shetani anza kupata maendeleo".
Taifa la Marekani limejengwa katika misingi ya damu na roho za watu! Wenyeji wa nchi ya Marekani ni "Red Hindis". Hawa wenyeji waliuwawa vifo vya maangamizi "extinction" na waliosalia ni kwaajili ya kumbukumbu ya historia kwasabahu wako dhaifu kwa idadi na kiuchumi na kimaarifa kiasi kwamba they can't fight back. Hivyo hivyo ndivyo walivyofanya Waingereza nchini Australia waliuwa wenyeji waoote wanaojulikana kama "Aborigines". USA na Britain (waingereza) wana asili na Historia moja ya mauwaji na wamejaa damu. Kwahiyo walivyokuja kutawala Africa lengo lao lilikuwa lilelile la kuua waafrica woote ili watawale Africa. Walijaribu wakashindwa na kama wangefanikiwa na sisi waafrica tungekuwa kama "Red Hindis" na "Aborigines".
Hata hivyo baada ya kushindwa kutuua waafrica wakaja na njia ya pili ya kututumikisha kama machine kujenga miji yao MAREKANI na ULAYA kwa njia ya utumwa kwa kuleta mameli makubwa na kuajiri wafanyabiashara wa enzi hizo ambao ni waarabu na kutuuza kwa wingi wetu katika biashara ya utumwa lakini tukasalimimika tukazaliana na kuongezeka na kuishi. Baada ya kushindwa kutumaliza wakatengeneza magonjwa mabaya (kwa maabara) ya maangamizi kama ukimwi, ebora, n.k, hata hivyo hayo magonjwa yameshindwa kutumaliza na wanaendelea kutengeneza magonjwa kuyafanyia majaribio Africa lakini kabla ya kuyaleta yanalipukia kwao kwa mfano ugonjwa wa sasa "corona".
Njia hizo zoote za kutuangamiza zimeenda sambamba na kuungana na magenge ya uhalifu kwa mlango wa nyuma. Waharifu na magenge ya madawa ya kulevya yanatengenezewa Sera nzuri za kimataifa kwenda kuyauza Africa ili kuharibu vizazi vya Africa visishiriki katika uzalishaji mali wa kuzikomboa nchi za kiafrica. Kwa mfano nchi ya DRC miaka nenda miaka rudi wizi wa madini na Vito vya thamani vinafanywa na wamarekani na hawataki nchi hivyo iwe na amani. Wanawabughudhi wananchi wa magonjwa ya ebora, mauwaji ya kushutukiza katika vijiji na mijini, wanasupport magenge ya uhalifu kupigana na serikali kwa kuwauzia siraha.
Sasa hapa nchini kwetu baada ya kufanikiwa kuzima genge la madawa ya kulevya na kukataa ushoga na mimba mashuleni Marekani imeanza visa vya kuzuia watanzania wasiruhusiwe kwenda Marekani, kuzuia watalii wasiingie nchini kwetu eti kuna "ebora", kushirikiana na wadeni wetu kuzuia mali zetu (ndege) ili tulipe madeni, kupandikiza mapandikizi ya mabeberu ndani ya nchi kusupport Sera kandamizi za mabeberu kwa njia za NGOs n.k.
Wamarekani wajue na watambue kuwa Tanzania ni nchi huru inayoheshimu utu wa mtanzania na inajitambua kisiasa, kijamii, kielimu, kiuchumi, na kiutamaduni. Na kwamba ina serikali makini na kwamba hatuyumbishwi na Sera na propaganda zao na wananchi tupo pamoja na serikali yetu na viongozi wetu. Hatuna cha kupoteza eti kwa kumzuia RC Makonda kwenda Marekani. Kwanza wajiulize tangu Rais wetu John Pombe Magufuli aingie madarakani alishawahi kwenda ubarozi wa Marekani nchini kuomba Viza ya kuingia Marekani? Ukweli ni kwamba hajawahi kwahiyo RC Makonda aende Marekani kutafuta nini ambacho bosi wake haoni haja?
Mwisho naomba niquote maneno ya Robert Mugabe (RIP)

"The bad occasion are associated with the word "black" like: "blacklisted" not "whitelisted", during funeral people wears " black clothes " not "white clothes", etc, etc; But "I don't care as long as I am using a "white" toilet paper to rub my ass".
Hatuhitaji kuzijua hizo mbinu
 
Nyie na hao America wote ni MASHETANI tu sema kinachowatofautisha wenzenu wanafanya maovu yao kwa ustadi na nyie mnafanya kipuuzi kabisa
 
Shenzi kabisa nyie sahani zenu zimejaa na matunda juu.
Mnashindana kujaza vyoo, na mnakunya mavi makubwa.
Mnapaswa kujua asilimia kubwa ya watanzania wana vidonda vya tumbo kwa kukosa mlo kwa wakati

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoa mada umeandika kwa chuki sana bila kuangalia uhalisia, una uhakika corona ililengwa kuimaliza Afrika? Halafu umesema kabla corona haijafika Afrika imewalipukia wao! Je wachina ni wazungu!?.
 
kila mtu na anavyoelewa wengine tunapigania vitambi tu viendelee kuwa vikubwa na kutengeneza Kona Kona ni jadi yetu. Mwenye macho ahambiwi ona. Tuna macho na masikio la wazungu wao ndo wanaona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom