Kwa jinsi uongo unavyoonekana kuwa sehemu ya Uongozi wa nchi kwa sasa, basi napendekeza Serikali iwe na Waziri wa Propaganda

Synthesizer

JF-Expert Member
Feb 15, 2010
11,143
18,774
Imefikia mahali ambapo Mtanzania yeyote mwenye akili ataona kwamba serikali ya awamu ya tano imekithiri kwa kutumia uongo katika mambo ya kila siku yanayohusu uongozi wa nchi. Wananchi wanadanganywa hadi watu weye akili zao wanashikwa na hasira kama sio kichefuchefu!

Mimi naona ni vema basi serikali ilifanye hili suala la kudanganya watu liwe na wizara rasmi - kuwe na Waziri wa Propaganda katika wizara za serikali. Katika enzi za utawala wa Hitler, yeye alikuwa na waziri wa propaganda, Paul Joseph Goebbels, na akafanya kazi nzuri sana.

Kama Hitler alifanikiwa kwa nini serikali hii isifanikiwe? Kwanza watu wa chama tawala ambao wana sifa zote kuwa mawaziri wa Propaganda wapo wengi sana!
 
Hii nafasi nadhani ingemfaa sana Hiza Tambwe (R.I.P). Ila hata kwa sasa ipo maana yule profesa wa Jalala Kuu la Dar anaiwezea sana na hata yale majicho yanadhirisha hilo. Beberu akichapwa fix halafu akitolewa lijicho lazima azime fegi.
 
Imefikia mahali ambapo Mtanzania yeyote mwenye akili ataona kwamba serikali ya awamu ya tano imekithiri kwa kutumia uongo katika mambo ya kila siku yanayohusu uongozi wa nchi. Wananchi wanadanganywa hadi watu weye akili zao wanashikwa na hasira kama sio kichefuchefu!

Mimi naona ni vema basi serikali ilifanye hili suala la kudanganya watu liwe na wizara rasmi - kuwe na Waziri wa Propaganda katika wizara za serikali. Katika enzi za utawala wa Hitler, yeye alikuwa na waziri wa propaganda, Paul Joseph Goebbels, na akafanya kazi nzuri sana.

Kama Hitker alifanikiwa kwa nini serikali hii isifanikiwe? Kwanza watu wa chama tawala ambao wana sifa zote kuwa mawaziri wa Propaganda wapo wengi sana!
Yaani wanadanganya mpaka huna hamu ya kuwasikiliza tena! Ukiona tu sura yake unafunga. Kwa sababu ukiendelea kusikiliza utajikera siku yote itaharibika!
 
Na hii tabia ya kutumia uongo ili kuhadaa wananchi, ndio inayochangia kuhakikisha wapinzani hawafanyi siasa, maana wanajua uongo utawekwa wazi.
 
Imefikia mahali ambapo Mtanzania yeyote mwenye akili ataona kwamba serikali ya awamu ya tano imekithiri kwa kutumia uongo katika mambo ya kila siku yanayohusu uongozi wa nchi. Wananchi wanadanganywa hadi watu weye akili zao wanashikwa na hasira kama sio kichefuchefu!

Mimi naona ni vema basi serikali ilifanye hili suala la kudanganya watu liwe na wizara rasmi - kuwe na Waziri wa Propaganda katika wizara za serikali. Katika enzi za utawala wa Hitler, yeye alikuwa na waziri wa propaganda, Paul Joseph Goebbels, na akafanya kazi nzuri sana.

Kama Hitler alifanikiwa kwa nini serikali hii isifanikiwe? Kwanza watu wa chama tawala ambao wana sifa zote kuwa mawaziri wa Propaganda wapo wengi sana!

Palamagamba atafaa kwa propaganda
 
Na hii tabia ya kutumia uongo ili kuhadaa wananchi, ndio inayochangia kuhakikisha wapinzani hawafanyi siasa, maana wanajua uongo utawekwa wazi.
SAA hizi wanatafutana huko
Screenshot_20200128-151919.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Imefikia mahali ambapo Mtanzania yeyote mwenye akili ataona kwamba serikali ya awamu ya tano imekithiri kwa kutumia uongo katika mambo ya kila siku yanayohusu uongozi wa nchi. Wananchi wanadanganywa hadi watu weye akili zao wanashikwa na hasira kama sio kichefuchefu!

Mimi naona ni vema basi serikali ilifanye hili suala la kudanganya watu liwe na wizara rasmi - kuwe na Waziri wa Propaganda katika wizara za serikali. Katika enzi za utawala wa Hitler, yeye alikuwa na waziri wa propaganda, Paul Joseph Goebbels, na akafanya kazi nzuri sana.

Kama Hitler alifanikiwa kwa nini serikali hii isifanikiwe? Kwanza watu wa chama tawala ambao wana sifa zote kuwa mawaziri wa Propaganda wapo wengi sana!
Harafu eti wao sheria ya mtandao haiwahusu yaani,najuta kuzaliwa Africa
 
Imefikia mahali ambapo Mtanzania yeyote mwenye akili ataona kwamba serikali ya awamu ya tano imekithiri kwa kutumia uongo katika mambo ya kila siku yanayohusu uongozi wa nchi. Wananchi wanadanganywa hadi watu weye akili zao wanashikwa na hasira kama sio kichefuchefu!

Mimi naona ni vema basi serikali ilifanye hili suala la kudanganya watu liwe na wizara rasmi - kuwe na Waziri wa Propaganda katika wizara za serikali. Katika enzi za utawala wa Hitler, yeye alikuwa na waziri wa propaganda, Paul Joseph Goebbels, na akafanya kazi nzuri sana.

Kama Hitler alifanikiwa kwa nini serikali hii isifanikiwe? Kwanza watu wa chama tawala ambao wana sifa zote kuwa mawaziri wa Propaganda wapo wengi sana!
Yaani hata miradi yote ya maendeleo inayoendelea huko kwenu unaona ni mazingaombwe?

Hembu jipige pige kifuani ukisema kwa sauti, "MIMI NI MCHAWIIIIIIIIIIIII"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom