Nchi yangu, Rais wangu, Kilio Chetu, Majuto yetu

Tila-lila2

JF-Expert Member
Oct 20, 2019
656
1,000
Nchi yangu haina furaha tena, Rais wangu akisimama ni kukemea na kufoka tu, hakuna tena furaha. Akianza kuhutubia popote nchi inazizima, hamna tena maneno ya furaha, ni uozo uozo tu hata ule wa kulazimisha. Kingu kawachoma wenzake na kakimbizwa ubalozini kuficha uozo.

Hamna hakika Rais hakujua kilichotokea. Yule wa magereza naye kafanya kosa gani? Au ni kuzibwa mdomo kama Kapilimba na Nchimbi?

Hivi hamna swaga za furaha kabisaaa - Rais akitokea tu kuongea kazi zinasimama mpaka amalize, akina Makonda, Doto na Mhuni Dkt. Kingwa hawana hata matumbo joto. Akina Mbowe haijulikani wana mkakati gani?

Eti juzi wamedokezwa Uchaguzi utakuwa wa haki na wengine wakakenua meno. Hivi watumishi mishahara ishatoka? Halafu walisafiri bila vibali vya Ikulu - pengine ingekuwa Jula Julai hivi ingesemwa zilikuwa njuru za kusaidia Limnyama Tawala Uchaguzini.

Membe naye mbona kimya sana. Au anaogopa madongo ya Musiba yaliyommaliza Kangi pamoja na dansi lake mbele ya Mkulu.

Hivi vipi Ngeleja aliomba msamaha kwa Kisukuma ama kwa Kiswahili? Halafu na Ndalichako atagombea Kigoma Mjini baada ya Diamond kukataa. Hivi Zito katangaza kuacha siasa ama bado?

Na Prof. Mkenda naye na Uchaga wake kadinda na amekomaa hadi Dk. Kingwa anadai katishiwa kuuwawa.

Halafu vipi scandal ya korosho inaweza ikakimbiza uchaguzi huu? Hapa karibu na Idukilo Mwadui napo inasemekana almasi zimeisha!

Mambo ni mengi muda ni mdogo kuelezea, ngoja nimezw maji kwanza - Nchi Yangu, Rais Wangu na Majuto yetu.
 
Matanga

JF-Expert Member
Nov 13, 2019
1,387
2,000
Mambo sensitive unaandika kimasihara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Benny Haraba

JF-Expert Member
Dec 7, 2012
6,213

Kobe akiinama ujue anatunga sheria bora liende eti ukibishana na...hawatagundua nani mjinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alexander The Great

JF-Expert Member
Aug 28, 2018
3,458
2,000
KUMBUKIZI:

Wana "LUMUMBA (Wazee wa Buku Saba)" inabidi wafahamu vifurushi vya "SIM VYA CHUO" vimepanda, kutoka elf10,000/= kwa mwezi mpaka elf 20,000/= na vya elf1,500/= kwa week vimepanda mpaka elf 5,000/=.

Ombeni nyongeza ya posho za internet za kuja JamiiForums kuunga juhudi.

#2020 Tutaongea Wote Lugha Moja
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom