nchi

  1. S

    Ili Tanzania iendelee, nchi hii igawanywe mara tatu zipatikane nchi tatu tofauti, au tuwe na sera ya majimbo yenye kujitegemea

    Nchi hii ina resources nyingi sana ambazo kama zingetumika vizuri, basi kila eneo la nchi hii lingeweza kufaidika na utajiri wa maliasili unaolizunguka ila bahati mbaya nchi hii imekuwa kubwa na mgawanyo wa kinachopatikana kutokana na maliasili zetu huamuliwa katika mji mmoja (Dar-es-Salaam)...
  2. Mauzo ya bidhaa nje ya nchi yapaa

    BAADA ya Tanzania kusuasua kwa muda mrefu katika mauzo ya bidhaa nje ya nchi, hatimaye sasa mambo yameanza kubadilika, ambapo mauzo hayo yameongezeka kwa kiasi kikubwa, huku dhahabu ikitajwa kuchangia kupanda huko. KwaB mujibu wa Ripoti iliyotolewa na Benki Kuu Tanzania (BoT) kwa kipindi cha...
  3. Mwalimu Nyerere: Kuna wanasiasa wanaouza heshima zao kwa sababu ya pesa. Ukiwapa pesa watatukana kweli kweli, wako tayari kusaliti nchi

    Hawa watu huwa wanapewa pesa kwa masharti ya kuongea maneno waliyoandikiwa na wafadhili wao. Hii nimeifananisha na tabia ya jamaa mmoja wa nchi ya Tanzania alikuwa akilipwa na ACACIA kuitukana Serikali. Jamaa waliomtuma kuongea yale maneno walimchagulia hata matusi ya kutukana. Kama ilivyo...
  4. Idadi ya watoto wanaozaliwa kwenye kambi za wakimbizi yahatarisha usalama wa nchi

    ZAIDI ya watoto 600 wanazaliwa kila mwezi kwenye makambi ya wakimbizi wa Burundi na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo(DRC) yaliyopo mkoani Kigoma. Hali hiyo imetia hofu wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM mkoa Kigoma, ambao wameeleza kutishwa na kasi kubwa ya kuzaliana kwa wakimbizi hao. Hivyo...
  5. Mtanzania ukitaka kununua hisa kwenye masoko ya hisa ya nje ya nchi taratibu zikoje?

    Mtanzania uliye Tanzania ukitaka kununua hisa za makampuni kwenye masoko ya hisa mfano Ulaya au Marekani, taratibu zake zikoje?
  6. Linapokuja suala la kulinda maslahi ya nchi Marekani haina msamaha. Watanzania jifunzeni kwa Marekani

    LINAPOKUJA SWALA LA KUTISHIA MASLAHI NA USALAMA WA MAREKANI, HUWA HAIHITAJI KUOMBA USHAURI, KUZINGATIA HAKI ZA BINADAMU WALA KUTII SHERIA ZA KIMATAIFA: Ukiitazama nchi ya Marekani katika taswira ya macho, unaweza kudhani kwamba, ni taifa la kidemokrasia linalofuata utawala wa sheria na kulinda...
  7. Ni madhara gani huwapata viongozi wa Kiafrika wanaopigwa marufuku kusafiri kwenda nchi za Ulaya?

    Imesikika mara kadhaa kwamba viongozi (Wengi wa Kiafrika) wanaovunja haki za binadamu nchini mwao, au wale wanaorudisha utawala wa kitumwa kwenye nchi zao, ambao umeambatana na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu, utesaji na mauaji ya wanaowapinga ikiwa ni pamoja na usiginaji mkubwa wa katiba...
  8. Marekani anaweza kuziwekea nchi zote duniani vikwazo?

    Nimewaza tu. Urusi pale walipo isingekua vikwazo vya Marekani ingekua iko mbali sana ila miaka na miaka Moscow imekua ikiishi kwa vikwazo. Juzi Rais Putin ametangaza silaha mpya ya supersonic ila akasema wanategemea mfulululizo wa vikwazo kutoka Washington na wamejiandaa, watakabiliana navyo...
  9. CCM imejichokea, upinzani hawajajipanga kuchukua nchi

    Happy new year 2020 to y'all members of JF Hakika tumeuanza mwaka muhimu katika nchi yetu, mwaka ambao tunakwenda kufanya maamuzi ya nani kutoka chama gani aongoze nchi na kuivusha Tanzania kutoka umasikini uliotopea mpaka uchumi wa kiwango cha kati Bila kutafuna maneno, CCM hawawezi kututoa...
  10. Nawatakia heri ya Mwaka mpya wa 2020 Viongozi, wanachama na wapenzi wote wa Chadema nchi nzima. Mungu yuko pamoja nanyi

    Hakuna haja ya maneno mengi, kichwa cha habari kinajieleza. Nimeamua kwa moyo wa dhati kabisa uliojaa upendo mkuu kuwatakieni Heri ya: Viongozi , wanachama na wapenzi wote wa Chadema ikiwa ni pamoja vyama rafiki vyote tunavyoshirikiana navyo kwenye harakati za ukombozi wa nchi yetu ...
  11. Kisutu: Mhasibu wa Ubalozi wa Tanzania nje ya Nchi, kupandishwa Kizimbani

    Wakuu, TAKUKURU kwa kushirikiana na DPP mchana huu wanatarajia kumfungulia kesi mhasibu wa moja ya ubalozi wa Tanzania nje ya nchi. Bado jina la Mtuhumiwa na Ubalozi anaofanyia kazi haujawekwa wazi. Stay tuned.
  12. Uganda yapata hasara ya matrilioni ya pesa kibiashara kutokana na mizozo yake na nchi jirani

    Sekta ya biashara nchini Uganda imepata pigo kubwa sana mwaka huu kwa kuandikisha upungufu wa shilingi trilioni 3.4. Hii inatokana na mizozo ya kibiashara na mataifa jirani. Kwa mujibu wa ripoti ya ufanisi wa kibiashara ya mwaka 2018/2019, shughuli za kibiashara kati ya Uganda na mataifa...
  13. Kama Magufuli ataendelea na Urais baada ya uchaguzi mkuu 2020 nitaacha kazi nikalime

    Kichwa kinajieleza. Mimi ni mtumishi wa umma, niliajiriwa 2015 June. Katika kipindi hiki cha Magufuli nimekopa fedha bank mara 3 kwa malengo tofauti. - Nilikopa 5m. Kwaajili ya ada - Nilikopa 3 kwaajili ya biashara ambayo ilifeli. Ilifeli kwaajili ya mzunguko mdogo (wateja hakuna). Biashara...
  14. Askofu Shoo akemea utekaji na utesaji wa raia, uvunjifu wa haki na kiburi kilichopo kwa viongozi wa nchi

    Askofu Mkuu wa KKKT Askofu Dkt. Frederick Shoo TABIA ya utekaji, utesaji, unyongaji haki, dhuluma na kiburi inayolalamikiwa nchini, imekemewa vikali na Dk. Frederick Shoo, Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT). Anaripoti Mwandishi Wetu, Moshi … (endelea). Kiongozi huyo...
  15. Je kuna nchi iliyoweka bendera yake juu ya milima tofauti na tanzania?

    Wana jamvi naamini hamjambo wote Wakati tunasubiri kuzaliwa kwa bwana wetu yesu kristu kwa wale wakristu ebu tujaribu kufikirisha bongo zetu na mada hii hapo juu. Ukisoma isaya 18 yote ni fupi tu kuna habari ya kusisimua ya nchi iliyoweka bendera yake juu ya nchi na kitabu chenyewe ni cha...
  16. S

    Majengo ya ofisi za mizani ya kupimia uzito wa magari(Weigh Bridge), yawe ya rangi moja nchi nzima na ikiwezekana hata ramani ya majengo iwe ni moja

    Kila naposafiri kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine kwa njia ya barabara, huwa nashangazwa kuona majengo ya ofisi katika vituo vya kupimia uzito wa magari (weigh bridge) hapa nchini yakitofautiana kwa rangi na hata style ya ujenzi ingawa yote yako chini ya serikali moja na yanafanya kazi ile...
  17. S

    Inawezekana siasa za nchi hii ndio somo gumu kwa watanzania kuliko hata Hesabu(Mathematics)

    Katika nchi yetu na pengine duniani kote,hesabu ndio somo linalotajwa kuwa gumu(wengi wanashindwa kulielewa) kuliko masomo mengine mengi, ila binafsi naona kwa nchi yetu siasa za nchi hii ndio somo gumu zaidi kueleweka kwa watanzania walio wengi. Inawezekana kabisa hata wale ambao ni...
  18. Hatma ya Erick Kabendera bado ipo kwa DPP, Kesi yaahirishwa hadi Januari 2, 2020

    Upelelezi wa kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili mwandishi wa habari nchini Tanzania, Erick Kabendera bado haujakamilika. Kabendera anakabiliwa na mashtaka matatu likiwemo la kutakatisha Sh173milioni katika Mahakama ya Hakimu ya Hakimu Mkazi Kisutu. Hayo yameelezwa leo Jumatano Desemba 18...
  19. B

    CHADEMA yapewa saa mbili kuondoa bendera zake kwenye barabara ya Sam Nujoma eneo la Mlimani City. Polisi yafika kushusha bendera hizo

    Mkurugenzi wa manispaa ya Ubungo, Beatrice Dominic amekiandikia barua chama cha Chadema na kukipa saa mbili kuondoa bendera zake zilizowekwa barabara ya Sam Nujoma karibu na ukumbi wa Mlimani City unakofanyika uchaguzi wa viongozi wa chama hicho. Bendera hizo ziliwekwa katika barabara hiyo...
  20. Wasanii wa Tanzania wanaofanya kazi na "World Class Celebrities" watusaidie kuwashawishi ili tuwatumie katika kuitangaza nchi yetu kwa gharama nafuu??

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa humu jamiiforums. Mimi mdogo wenu Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. PLEASE ANZA KWA KUSOMA HII THREAD YANGU...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…