nchi

  1. hiram

    JamiiForums Tanzania Angalia hapa:Watanzania tunamuabisha Samatta na kuiaibisha nchi

    Haya mambo ndo yanaiweka nchi kwenye lowest IQ countries sasa hebu Soma hii post ya cafonline eti wabongo wamejibu "Samattaa"
  2. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa COVID-19 uwe somo kwa nchi za Afrika kuboresha Mifumo ya Afya na Miundombinu ya Afya

    Hali ya mifumo ya afya katika nchi nyingi za Afrika limekuwa ni suala lenye msukosuko mkubwa. Miundombinu ya afya katika nchi nyingi za Afrika haitoshelezi mahitaji ya raia na kuepeleka vifo ambavyo vinaweza kuzuiliwa Ujio wa ugonjwa wa Covid-19 umepelekea viongozi wengi wa Afrika wataharuki...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Wakati wowote kuanzia sasa, viongozi wa nchi fulani wanaweza kuwekea vikwazo vya kusafiri katika nchi za Ulaya na Marekani kama sio kunyimwa misaada

    Kwa yanayoendelea katika Taifa fulani,yanatoa kila sababu kwa Bwana wakubwa wa huu Ulimwengu kuingilia kati na kuchukua hatua.Hatu hizo zinaweza kuwa ni pamoja na kuwafungia viongozi wa nchi hiyo kutosafiri kwenda Marekani na baadhi ya nchi za ulaya au nchi wahisani kusitisha misaada na mikopo...
  4. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Sababu 10 kwanini tumpumzishe Rais John Magufuli

    1. Chini ya utawala wake kuna Ombwe la utawala bora na unaoheshimu sheria na katiba Kitu cha msingi kabisa ambacho raisi anapaswa kukishika kama mboni ya jicho lake ni kutimiza kiapo alichoapa mbele ya Mungu, na wanadamu ni kuheshimu katiba, tumeona katika utawala huu mambo kadhaa yakifanywa...
  5. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kuna kila dalili za lolote kutokea katika Uchaguzi wa Mwaka huu

    Hivi sasa ukipita mitandaoni, utaona kabisa kuna aina fulani ya watu kuanza kuhamasishana kuhakikisha haki inatendeka katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu na wanasiasa ndio wanaonekana kuwa mstari wa mbele kuhakikisha haki inapatikana. Ukisikiliza clip zao mitandaoni na kusoma...
  6. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Hongera Rais Magufuli Kwa Somo la Managing Diversity. Tanzania, Bado Tuna Tatizo la Ukosefu wa Political Tolerance

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo nafasi huwaletea makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", ambazo pia huchapishwa kwenye magazeti mbalimbali ya ndani nchini Tanzania. Makala ya leo, ni kumpongeza na kumshukuru Rais Magufuli kwa kufundisha somo la "Managing Diversity" kwa wateule...
  7. Mukulu wa Bakulu

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu CCM, Dkt. Bashiru ashangaa watu 12 kujitokeza kutaka urais Zanzibar, adai wengine wanatumika na mabeberu kutaka kuvuruga nchi yetu

    Katibu mkuu wa CCM ashangaa watu ama wanachama 12 kujitokeza ndani ya CCM kuutaka urais. Anashangaa nafasi ni 1 ya urais watu 12 wanatafta nini? Awatuhumu wengine kua wanatumwa na mabeberu kuvuruga chama na kuleta mvurugano nchini. Anasema hao wanachama wa CCM 12 wanaoutaka urais wanataka...
  8. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Nchi 188 zathibitisha kuwa na Corona Virus

    Mlipuko wa ugonjwa wa #COVID19 ulianza Desemba, 2019 mjini Wuhan China. Hadi hivi sasa ugonjwa huo umeenea kwenye nchi na mataifa 188 Vifo zaidi ya 470,795 vimeripotiwa kataika jumla ya maambukizi milioni 9.05 yaliyoripotiwa dunia nzima. Huku watu milioni 4.8 wakiripotiwa kupona Hadi hivi sasa...
  9. Dr. Mwigulu Nchemba

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mwigulu Nchemba: Rais wetu ni Magufuli, waambieni waliowatuma enyi wenye tamaa ya Madaraka

    1) Kwa Ushupavu wa Rais wetu, Watanzania tumeendelea na shughuli zetu zote, Hatuwazi Jambo moja tu la UCHAGUZI tuseme mazingira ya Corona, TANZANIA uchaguzi na kazi zote zinaendelea vilevile. 2) Tanzania ni nchi HURU, Watanzania tunafanya kazi zote bila uangalizi wa mtu yeyote toka kwa...
  10. mmh

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane tulikotoka kama nchi kuhusu Kenya

    Jamani zamani TBC ikijulikana kama radio Tanzania ilikuwa haipatikani maeneo mengi ya nchi badala yake ilikuwa rahisi kuipata KBC kwa hiyo wasanii na watangazaji wa Kenya wakawa maarufu sana kuliko as Tanzania. Akina mahoka, vipindi vya huu sio uungwana, kina baraza, etc. Na bidhaa zao sabuni na...
  11. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Tanzania hatupo katika nchi kumi bora zenye usalama kutembelewa barani afrika hasa katika utalii

    Africa's Safest Countries To Visit for 2019 1.🇷🇼 Rwanda 2.🇧🇼 Botswana 3.🇲🇺 Mauritius 4.🇳🇦 Namibia 5.🇸🇨 Seychelles 6.🇲🇦 Morocco 7.🇪🇹 Ethiopia 8.🇱🇸 Lesotho 9.🇿🇲 Zambia 10.🇰🇪 Kenya Source: Safari Bookings and SlateAfrica.
  12. J

    JamiiForums Tanzania COVID19: Ushauri kwa Watalii au Wasafiri wanaotoka Tanzania kwenda maeneo mbalimbali nje ya nchi

    Anga la Tanzania likiwa limefunguliwa na kuruhusu wasafiri kutoka pande mbalimbali za dunia, inategemewa kuwa hivi karibuni nchi mbalimbali zitafungua mipaka na shughuli za utalii zitaanza kuimarika upya. Ingawa si jambo linaloshauriwa lakini hakuna namna ya kulizuia kwani Maisha lazima...
  13. paul sylvester

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo, ungependa nini cha kufanyiwa kazi ambacho kitaleta mabadiliko ya kiuchumi kwa haraka katika Serikali ijayo 2020 - 2025?

    Tumeona mengi na makubwa na Pengine Yale ambayo hatukuamini kwamba yatafanyika katika Taifa letu Kwa kipindi kifupi Tu cha miaka mitano, Yamefanyika, Nami sitaki kuyarejelea yaliyofanyika, kwani kila mtu ni shuhuda wa yaliyofanywa na serikali inayomaliza muda wake, na mwenye macho haambiwi...
  14. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania China kuzifutia madeni nchi za Afrika zilizoathiriwa zaidi na COVID-19

    Rais Xi Jinping wa China amesema, ndani ya mfumo wa FOCAC, China itafuta madeni ya nchi husika za Afrika yaliyo katika aina ya mikopo isio na riba kwa serikali ambayo muda wake utatimia mwishoni mwa mwaka 2020. Pia amesema, kwa zile nchi za Afrika ambazo zimeathiriwa zaidi na virusi vya Corona...
  15. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Rais wa China aahidi kuzipatia nchi za Afrika chanjo ya COVID-19

    Rais Xi Jinping wa China ametoa hotuba kwenye mkutano maalumu wa kilele kuhusu mshikamano na ushirikiano kati ya China na Afrika katika kupambana na COVID-19. Ameahidi kuwa mara chanjo ya COVID-19 inayotengenezwa na China itakapokamilika na kuthibitishwa, nchi za Afrika zitakuwa kati ya nchi...
  16. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Shs 31.8217 bili za machinga na zisizojulikana za DPP hazijaonyeshwa zimeingia wapi kwenye mapato ya nchi

    Kwenye bajeti ya mapato ya waziri wa fedha hizi fedha hazijaonyeshwa zimeingia katika fungu lipi ambazo ni shs 31,821,700,000 za vitambulisho vya machinga wapatao 1,592,085 na mabilioni ya DPP yaliyokusanywa kwa waliokiri kutakatisha fedha na kukubaliana kulipa mamilioni ya shilingi ambayo...
  17. abudist

    JamiiForums Tanzania Tanzania inapewa misaada zaidi na Uingereza (DfID) sawa na nchi 6 za Ulaya mashariki pamoja!

    Waziri Mkuu wa Uingereza ameazimia kuivunja idara ya kimataifa ya misaada na maendeleo Department for International Development (DfID). Kwa kuona inatumia pesa bila ufanisi na Uingereza haifaidiki. Na moja ya nchi iliyotajwa kufaidika zaidi ni Tanzania kuliko hata nchi za ulaya mashariki...
  18. technically

    JamiiForums Tanzania Rais wangu Magufuli nchi ipo salama mtu anapigwa risasi saa 7 mchana?

    Nchi ipo salama Tundu Lissu anapigwa risasi saa 7 mchana au usalama ni kwa watanzania wapi? Nchi ipo salama Akwilina anapigwa risasi mchana? Nchi ipo salama Lwejabe. Azory, Ben Saanane wanatoweka mchana? huu usalama ni kwa wakina nani? Nchi ipo salama Nape ananyoshewa bastola mchana? Nchi...
  19. CARIFONIA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nchi za Afrika Mashariki inabidi zijifunze demokrasia ya kweli kutoka kwa Wakenya

    This is how a small clique of families control Kenya - Kenya's Presidents Together Before 3 of Them Came into Power - Jomo Kenyatta (seated) served from 1963-1978. - Daniel Arap Moi (standing) served from 1978-2002. - Mwai Kibaki (bending) served from 2002-2013. - Uhuru Kenyatta (sitting...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza, je waafrika weusi hatunyanyaswi nchi za bara la Asia?

    Nimeshuhudia sehemu maandamano makubwa sana kipindi hiki cha hivi karibuni baada ya mtu mweusi kuuwawa na polisi weupe huko Marekani, bwana Floyd. Baada ya hicho kifo watu wameandamana nchi nyingi za bara la Amerika na Ulaya. Nimeona tshirts, posters na matangazo kibao ya black lives matter...
Back
Top Bottom