Je kuna nchi iliyoweka bendera yake juu ya milima tofauti na tanzania?

maganjwa

JF-Expert Member
Sep 11, 2012
2,774
2,297
Wana jamvi naamini hamjambo wote

Wakati tunasubiri kuzaliwa kwa bwana wetu yesu kristu kwa wale wakristu ebu tujaribu kufikirisha bongo zetu na mada hii hapo juu. Ukisoma isaya 18 yote ni fupi tu kuna habari ya kusisimua ya nchi iliyoweka bendera yake juu ya nchi na kitabu chenyewe ni cha nabiii. Je unabii ule unahusu tanzania au ni nchi gani nabii isaya aliongelea.

karibuni
 
Ni uwekaji wa bendera au mwenge hebu bainisha
ilikuwa bendera kwanza na mwenge wa uhuru kwa hiyo tukio hilo kwa mujibu wa isaya ni unabii ndo maana nimeuliza kama kuna nchi iliweka bendera yake juu ya mlima zaidi ya Tanzania
 
ilikuwa bendera kwanza na mwenge wa uhuru kwa hiyo tukio hilo kwa mujibu wa isaya ni unabii ndo maana nimeuliza kama kuna nchi iliweka bendera yake juu ya mlima zaidi ya Tanzania
Mkuu kwani ukijua hiyo isaya utatengua chochote..? Lala omba Sali ufumbuliwe,Si imeandikwa abishae atafunguliwa!..
 
Wana jamvi naamini hamjambo wote

Wakati tunasubiri kuzaliwa kwa bwana wetu yesu kristu kwa wale wakristu ebu tujaribu kufikirisha bongo zetu na mada hii hapo juu. Ukisoma isaya 18 yote ni fupi tu kuna habari ya kusisimua ya nchi iliyoweka bendera yake juu ya nchi na kitabu chenyewe ni cha nabiii. Je unabii ule unahusu tanzania au ni nchi gani nabii isaya aliongelea.

karibuni
Kwa hapa tz walioweza kuweka ni chadema tuu
IMG-20191225-WA0000.jpeg
 
Marekani imeweka bendera kwenye mwezi, hiki ndo kitu nadra ambacho biblia ingeandika. Au hata USSR ilivorusha satellite ya kwanza hii nayo ni issue ngumu. Badala yake kuweka bendera kwenye mlima au kumiliki mwenge ni kitu rahisi sana. Marekani iliposhinda mapigano kwenye vita kadhaa ilikuwa inasimika bendera kwenye vilima mfano Hamburger hill, hata kule Japan nimesahau kisiwa gani.
 
marekani walitudanganya kwamba wameenda mwezini swali kama kweli wameenda kwa nini iwe ni mara moja tu na wasirudi tena? pili kule mwezini ni empty space ambapo hamna hewa lakini bendera ya marekani inapepea kuonyesha kuna upepo. Ile ni igizo la kisasa
 
Hii bendera hapa ilisimikwa na bwana Munyao mwaka wa 1963 kwenye kilele cha mlima Kenya

39786197_920937904779851_8542538300743745536_n.jpg
lakini ukiwa juu ya mlima kilimanjaro kama una binocula unaweza ona india south africa europe na atlantik ocean ni kilele kirefu zaidi africa hao ni watalii kama sijakosea naona tavel wild nashipae
 
Mkuu kwani ukijua hiyo isaya utatengua chochote..? Lala omba Sali ufumbuliwe,Si imeandikwa abishae atafunguliwa!..
akili tumepewa kwa ajili ya kufiri na kudadisi mbona umekataa tamaaa hivyo
 
Mkuu sajakata tamaa we kaombe na utoe sadaka utafunguliwa au unawasiwasi..?
sina wasiwasi na hilo hata hivyo roho yangu inaniambia ni misri maana hapa nashindwa tu kuweka ila tanzania nina wasiwasi nayo kwa kuwa kilimanjaro ni mlima mrefu sana ambapo ukiwa juu pale unaweza ona mbara yote ya ulimwengu kama dunia ingekuwa kama meza kwa kimo chake. kwa maana tunaweza fanya kitu bila kujua maaana yake nini wakati mwingine katika maisha.
 
marekani walitudanganya kwamba wameenda mwezini swali kama kweli wameenda kwa nini iwe ni mara moja tu na wasirudi tena? pili kule mwezini ni empty space ambapo hamna hewa lakini bendera ya marekani inapepea kuonyesha kuna upepo. Ile ni igizo la kisasa
Warudi kufanya nini maana walichunguza wakaona hakuna sababu ya kurudi, madini hakuna wala kitu chochote cha msingi. Elon Musk ndo anataka iwe biashara ya kupeleka watu kutalii, NASA kazi yao uchunguzi. Hata USSR/Russia walikuwa na nia but wakaacha. Nchi nyingi sasa wanatamani kutia mguu Mars ambako uchunguzi wa awali unaonyesha kuna madini
 
Mwaka 1953 mwezi May,Sir Edmund Hillary na mwenzake Enzing Norgay waliweka bendera juu ya kilele cha mlima Everest nchini Nepal.

1577379626303.png

Vijana wa Marines wakiweka bendera juu ya kilele cha mlima Suribachi.
 
Back
Top Bottom