nchi

  1. C

    UN Happiness Report 2020: Dar es Salaam yashika mkia kwenye orodha ya majiji yenye watu wenye furaha duniani

    Jiji la Dar es salaam limeshika nafasi ya 181 katika majiji 186 duniani kwenye rank za majiji yenye watu wenye furaha. Dar es Salaam imepita majiji ya Juba (Sudan Kusini), Port -au Prince (Haiti),Gaza (Palestine) Sanaa (Yemen) na Kabul (Afghanistan). Furaha ni kitu kikubwa sana kwenye maisha...
  2. digba sowey

    Italia yaipiku China kwa idadi ya vifo vitokanavyo na ugonjwa wa Covid 19

    Wakuu hamjambo? Nimekuwa nafuatilia kuhusu hili gonjwa la Corona kwa wataliano, naona linawapukutusha kama mti unavyopukutisha majani wakati wa kiangazi. Idadi ya vifo inasoma 400+ kila siku,angalia hii record ya vifo kwa Jana na Leo, ambapo Jana tu uliua watu 475. Leo hii watu takribani 425...
  3. S

    Nchi zinazoongoza kwa kuleta watalii hapa nchini, karibu zote ziko kwenye "lockdown" Je, tutavuka na tukivuka tutakuwa katika hali gani?

    Nimesoma gazeti la The Citizen la siku ya leo ambapo gazeti hilo limegusia athari za ugonjwa wa corona katika sekta ya utalii hapa nchini hasa kwa mkoa wa Arusha. Katika habari hiyo,gazeti limegusia madhara machache yaliyojitokeza mpaka sasa ambapo ni pamoja na fleet za tourist vehicles kuwa...
  4. S

    Ubaya na hatari ya kauli ya Polepole haiko sana katika kuwaita wpinzani Corona, bali ni iwapo Corona itakuwa janga katika nchi yetu

    Kauli ya Polepole kuwaita wapinzani Corona ni kauli ya hovyo na ambayo haikupaswa kutolewa hadharani na kiongozi wa ngazi aliyonayo hasa katika kipindi hiki ambapo duniani inapambana na ugonjwa huu. Wakati watu wengi wakiguswa na kauli ya kuwafananisha wapinzani na corona,mimi naona hatari...
  5. M

    Serikali kutodhibiti idadi ya wageni wanaoingia nchini kwa kisingizio cha Utalii, inahatarisha Usalama wa Taifa dhidi ya virusi vya Corona

    Mhudumu wa uwanja wa KIA amesema katika kipindi hiki ambapo ugonjwa wa Corona Virus umepiga sana China, idadi ya watalii kutoka China imeongezeka maradufu kuja nchini. Wachina wenyewe wakihojiwa wamesema pamoja na utalii wamekuja kutafuta sehemu salama kukimbia ugonjwa huo kwao. Hii hali...
  6. Erythrocyte

    CHADEMA yatafakari kuwapeleka wabunge wake waliovunjwa vunjwa na polisi nje ya nchi kwa matibabu zaidi , Corona yaleta vikwazo

    "Mhe. Esther Bulaya, Mhe. Halima Mdee na Mhe. Jesca Kishoa wameruhusiwa juzi, isingekuwa Corona tulikuwa tunafikiria kuwapeleka nje kupata matibabu zaidi. Bado tunatafakari nini cha kufanya, hali zao bado hazijatengemaa, hasa Esther Bulaya aliyeumia ndani." Mhe. John Mrema
  7. Francis12

    Freeman Mbowe: CHADEMA kufanya Mikutano Nchi nzima kuanzia Mwezi wa nne. Bado tunahitaji kujua waliomuua Aquilina

    Mkutano wa Mwenyekiti wa CHADEMA NA WAANDISHI, Machi 16,2020. ==== Updates “Watanzania walifikiri mashtaka yetu yanahusika na kumuua Akwilina, hatuwezi kufunga faili la kesi ile bila kujua hatma ya Akwilina”.Mhe.Mbowe. “Waliohusika wasiachwe wakacheza na maisha ya watanzania, hawa watu...
  8. S

    Prof. Mahalu amtuhumu Kikwete kumfungulia kesi ya ufisadi kwa uonevu kwa unyemela aliosimamia mwenyewe akiwa waziri Mambo ya Nchi za Nje

    Prof. Mahalu amemtuhumu Kikwete kwamba akiwa Rais alimfungulia kesi ya ufisadi kiuonevu, wakati yeye mwenyewe Kikwete ndiye aliyesimamia uuzaji wa nyumba ya Tanzania kinyemela huko Italy akiwa Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje. Prof. Mahalu amedai kwamba kwa kuwa Mkapa alijua ukweli wa jambo hili...
  9. Pascal Mayalla

    Mtu kama huyu ni binadamu au shetani? Anaombeaje Corona ifike Tanzania. Kuiombea nchi yako majanga, sio zaidi ya uendawazimu? Huu sio ushetani?

    Wanabodi Japo kwa kawaida usiku ni wakati wa kulala na kupumzika, ila kwa watu ma jobless wakiwemo kada yangu ya watu wa "mishe mishe", moja ya usiku ngumu sana, huwa ni usiku wa Jumapili kuamkia Jumatatu ambayo umeipitisha weekend kwa mazabe mazabe, halafu blue Monday inakuja!, usingizi huwa...
  10. konda msafi

    Msaada kuhusu cheque kutoka nje ya nchi na kuidepost hapa nchini

    Habari zenu wakuu. Kwa wale wenye uelewa wa hili naomba mnifahamishe kama inawezekana. Kuna hela kutoka Canada natakiwa nitumiwe. Mtumaji amejaribu kunitumia kupitia bank account yangu hapa nchini. Hela kaituma toka tarehe 10, siku ya Jumanne lakini hela haikuweza kufika kwenye account yangu...
  11. S

    Kama tunaendelea kuruhusu ndege kuingia nchini, serikali izuie ibada na mikusanyiko mingine yote isiyo ya lazima ikiwemo kudhibiti masoko

    Wakati baadhi ya nchi za wenzetu sasa zimefikia hatua ya kudhibiti raia wake kwa kuwataka wabakie majumbani, kufunga mashule na vyuo, kupiga marufuku mikusanyiko ya michezo kama soka, kufunga mipaka n.k zikiwa ni hatua za kudhibiti kusambaa kwa Corona, sisi tume-relax tukiamini udhibiti...
  12. OLS

    Tuziangalie faida za Corona kiuchumi kwa nchi zinazoendelea

    Yes! Hili ni janga kwa kuwa watu wanakufa, production zimepungua kwa nchi zilizoendelea kwa baadhi ya vitu. Kama wanavyosema development is freedom then uhuru umepungua kwa watu kufungiwa Lakini bado ziko fursa kwa nchi zinazoendelea kuweza kukuza uchumi wa nchii zao ka kipindi hiki kifupi...
  13. Nigrastratatract nerve

    Tundu Lissu anaichukia Tanzania haipendi Tanzania hawapendi watanzania anaiombea mabaya nchi yetu

    Anahamasisha Vita kila anakopita anasema damu itamwagika Anahubiri vita kila anakopita anataka hata watanzania wanyonge wauae kwa vita Anahubiri nchi yetu iwekewe vikwazo vya kiuchumi bila kujua watakaoumia ni watanzania wa Chini ndugu zake wa Singida watakosa madawa Huyu mtu ni hatari sana
  14. S

    Kwa yanayoendelea,ni suala la muda tu kabla Marekani hawajachukua hatua za kuwawekea vikwazo viongozi fulani wa nchi hii

    Mpaka sasa Marekani wameshaonya zaidi ya mara moja ila wahusika wametia pamba masikioni na kuendeleza matendo yao ya unyanyasaji na ukiukaji wa haki za binadamu hasa kwa wanasiasa wa upinzani. Kwa sababu hiyo,msishangae wakati wowote kuanzia sasa serikali ya Marekani ikatangaza hatua kadhaa...
  15. Erythrocyte

    Baada ya kutoka jela Mwamba Freeman Mbowe kuongea na vyombo vya habari vya ndani na nje ya nchi Jumamosi hii

    Ataongea kuanzia saa 8 mchana Makao Makuu ya Chadema , Kinondoni Mtaa wa Ufipa . Wote Mnakaribishwa
  16. Nigrastratatract nerve

    Tundu Lissu anadhani Nchi kama chumba chake cha kulala huko ulaya, Wazungu walishakupuuza haujistukii tu wala kujiongeza

    IMF wameshampongeza mzee Magufuli kwa kazi nzuri anayofanya unapoeleza ujinga wako wanakuona mwehu. World Bank tayari wametembelea miradi mbalimbali ya ujenzi unaoendelea Tanzania wa Reli ya kisasa na bwawa la mwalimu Nyerere. Ukija huku Tanzania utaiona mpya tuna mfugale Flyover, Ubungo...
  17. Erythrocyte

    Umaarufu wa CHADEMA ndani na nje ya nchi wapanda mara nne zaidi kwa masaa 24 tu

    Huu ndio ukweli uliotamalaki nchini Tanzania na nje ya nchi na hasa Ulaya na Marekani , Hakika kila penye giza iko namna ya kupata mwanga . Kwa wale tuliopita vijijini kuna wakati tunachelewa mahali fulani hadi usiku lakini tunalazimika kuendelea na safari kwenye usiku huo wa giza nene...
  18. chinchilla coat

    Eti nyimbo ya ''Usimchezee Chatu'' inamzungumzia kiongozi fulani wa nchi?

    Hii nyimbo nilikuwa naisikia nikiwa mdogo,kwa akili yangu nikaelewa kama anaimbwa chatu kweli kwani ni mnyama hatari tuliambiwa anameza watu Lakini leo hii nimesisikia tena lakini mashairi yake yanaonyesha kama haimbwi chatu kweli, ni kama anaimbwa mtu ambaye anapoteza watu maana kuna sehemu...
  19. Ghazwat

    Uwanja wa Taifa | Dar Derby, Vodacom Premier League (VPL) Yanga SC yaibamiza Simba SC kwa goli 1 - 0 ; Morrison akata mzizi wa fitina

    Hello Tanzania na kando ya Tanzania Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Vodacom Premier League (VPL), kuendelea kutimua vumbi leo Jumapili ya March 8, 2020 kwa kuwakutanisha watani wa Jani katika jiji la Dar es salaam, ambapo Yanga African SC, Wananchi wa Jangwani wanawakaribisha Simba SC, Wekundu...
  20. technically

    Watakaobaki CHADEMA ndio watu wanaotakiwa kupewa nchi.

    Watakao baki chadema ndio watu wa kuaminiwa na kupewa nchi toka 2015 tayari tumejua wapi wanaipenda Tanzania na wapi ni wasaliti. watu wanaopata misuko suko kipindi cha miaka 5 na bado wakagoma kuhongwa na Magufuli hakika awa watu itabidi tuwaheshimu. Wale wanaoelewa mambo ya kiusalama watakuwa...
Back
Top Bottom