Baadhi ya Nchi za Ulaya zimeanza kutambua na kupongeza hatua ambazo Tanzania imezichukua katika kupambana na Virusi vya Corona vinavyosababisha ugonjwa wa COVID 19 kutokana na muongozo wa Rais Dkt John Pombe Magufuli kwa kuwa zinaendana mazingira na hali halisi ya Tanzania.
Waziri wa Maendeleo...
Uamuzi huo ulifikiwa kufuatia mkutano uliyofanywa siku ya Alhamisi chini ya uongozi wa Makamu wa Rais wa kwanza Gaston Sindimwo.
Kufikia sasa bado haijabainika ni lini kiongozi mpya ataapishwa, japo katiba iko wazi kuwa Spika wa bunge la kitaifa Pascal Nyabenda alitakiwa kuapishwa kushikilia...
Lazima kuna kitu hakiko sawa akilini mwa viongozi wetu na mashabiki wengi wa siasa wasio na uwezo mkubwa wa kufikiri kwa makini. Leo nasoma bajeti ya serikali, nakutana na maneno kwamba bajeti yetu pia itategemea msaada kutoka kwa washiriki wetu wa maendeleo (development partners).
Sasa mimi...
Mawaziri wote wa Fefha wa Nchi za Afrika Mashariki saa kumi Bajeti zote za nchi za Afrika Mashariki zinasomwa kwa pamoja muda mmoja tuzichambue hapa kwa kuzilinyanisha na kufanya analysis
Mwalimu alishalionya Taifa, kuwa ukiona kuna watu wanapita na kupiga kampeni za kumtaka raisi aongezewe muda, kimsingi wanakuwa wanapigania matumbo yao maana hawana uhakika kama raisi ajaye atawapa nafasi walizonazo sasa.
Kwa muda mrefu sasa Spika Ndugai amekuwa akibehave kama kikaragosi fulani...
1: Tundu Lissu kuwekewa pingamizi ya kugombea Urais
2: Zanzibar kuwekwa mgombea ambaye ataunga mkono kubadilishwa kwa katiba na kuongezwa muda kwa Rais wa JMT.
3: Kuchezea uchaguzi na kushinda kwa 90+% kote Zanzibar na Bara kwenye Udiwani, Ubunge na Urais.
4: Makonda kuwa Spika 2020-2025 ili...
Shughuli ya kubadili vifungu vya sheria pamoja na minongono ya chini kwa chini ya kubadili katiba ikichagizwa na baadhi ya wabunge pamoja na spika siyo ya kupuuzwa. Waswahili walisema lisemwalo lipo kama halipo linakuja.
Mimi nasema hilo iko wazi kabisa na maandalizi imeanza leo Dodoma...
Rais wa zamani wa Malawi Joyce Banda amesema nchi hiyo haina virusi vya Korona na kuituhumu serikali kwa ‘kugushi’ takwimu.
Vyombo vya habari vya Malawi vimeripoti kuwa Bi Banda alinena hayo akizungumza kwenye mkutano wa hadhara.
Aidha ametaka fedha za misaada dhidi ya Corona zitumike kwa...
"Kuna sababu za msingi ambazo zilinifanya nichague kuichezea timu ya Taifa ya England badala ya Nigeria, sababu ya kwanza ni wazi Nigeria haina nafasi kwenye michuano ya Kombe la Dunia wakati England ina nafasi kubwa ya kushinda Kombe la Dunia.
Sababu ya pili ni kwamba siwezi kuimba wimbo wa...
Burundi yatangaza siku saba za kuomboleza kifo cha Rais Nkurunziza
Serikali ya Burundi imetangaza maombolezo ya kitaifa ya siku 7 kufuatia kifo cha rais wake Pierre Nkurunziza, aliyeaga dunia Jumatatu akiwa na umri wa miaka 55 kutokana na mshituko wa moyo.
Tangazo la serikali kwenye Redio na...
Tundu Lissu umetoa hotuba dhaifu sana kuwahi kutolewa na mgombea yeyote kuwahi kutokea nchini mwetu umeongea mambo mepesi ambayo najua mambo hayo ni ya mazingira ya Marekani na nchi zilizoendelea.
Tundu Lissu tunaonewa na wala Rushwa wanaoiba Mali zetu na kutufanya tuishi maisha ya kifukara na...
Nimejaribu kufuatilia maandamano yanayofanyika USA. Ukweli ni kwamba watu wamechoka na lockdown.
CORONA kweli ipo lakini kwa jinsi ilivyowekwa ni tofauti na uhalisia. Nimeona maamdamano Italy, USA nk.
Watu wananjaa wanaingia kwenye maduka na kubomoa.
Chadema mkoa wa Tabora wamemshukuru na kumpongeza Rais Magufuli kwa kutoifunga nchi wakati wa Corona.
Akiongea kwa niaba ya uongozi wa mkoa wa Chadema, mbunge wa viti maalumu mh Mwaisonga amesema wao kama chama wanamshukuru Mungu kwa maono aliyompa Rais Magufuli na hatimaye ametuvusha salama...
Nafikiria kwenda Zanzibar kutalii.
Naomba kufahamu maeneo mazuri ya kutalii. Gharama zikoje kwa sasa na mahala pazuri pa kulala ambako sio ghali. Mahala ambapo ntapata room double isiyozidi 200k per day.
Kwa ujumla Zanzibar sijawahi kufika nataka kwenda kutalii angalau siku 2 au 3 nijionee...
BUNGE limebaini dosari katika utungaji wa sheria ndogo nchini, ikiwamo sheria inayoweka zuio kwa Mwananchi kuwa na laini ya simu zaidi ya moja
Akiwasilisha bungeni jijini hapa jana, taarifa ya Kamati ya Sheria Ndogo kuhusu uchambuzi wa sheria ndogo zilizowasilishwa katika mikutano ya 18 na 19...
Border ya Kenya na Tanzania imefungwa tena. Hizi nchi zinapenda kusumbuana sana. Sijui shida iko wapi? Hii beef sio nzuri kwa biashara ya Afrika Mashariki na inaharibu uhusiano baina ya watu wa nchi hizi mbili.
Baada ya usingizi kukata nikaamua kuingia kwenye mtandao maarufu wa
Coronavirus Update (Live): 6,844,705 Cases and 398,141 Deaths from COVID-19 Virus Pandemic - Worldometer unaotoa taarifa za corona kwa kila nchi. Nimestaajabu kuona wanasema Tanzania bado tuna wagonjwa 305. Nachojua ni kuwa...
Rais Trump na kanisa
Haki miliki ya pichaREUTERSImage captionRais Trump alikosolewa kwa kupiga picha akiwa amebeba biblia
Rais Trump hana kanisa maalum analohusishwa nalo lakini uhudhuria ibada ya kanisa mara moja moja kukiwa na hafla maalum.
Amekuwa akitumia ishara na matamshi ya kidini...
Huu ndiyo ukweli wenyewe.
Wapinzani wakichukua nchi watatumia fimbo ile ile ambayo sisi CCM tumekuwa tukiitumia dhidi ya tusiowapenda, wakiwemo wa vyama vya upinzani.
Na tusijidanganye kuwa CCM tutakaa madarakani milele. Dalili zilizopo zinaonyesha tutaondolewa madarakani muda si mrefu...
Ni dhahiri kwenye hili la corona, Tanzania imeamua kutoendana na mataifa mengine duniani, yenyewe imeamua kupuuza hiki kirusi na kuendelea na maisha kama kawaida, bado wanasongamana kwenye vilabu vya pombe, kwa hili hakuna taifa lenye uhuru wa kuingilia maamuzi yao Watanzania maana wenyewe ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.