NCHI HII INAHITAJI RAIS MCHUMI NA MWENYE HURUMA NA WATANZANIA MKINICHAGUA KUWA RAIS NTAFUTA UMASIKINI KATIKA NYANJA ZOTE"PROF.LIPUMBA"
IRINGA MJINI
Ukuaji wa uchumi wa Tanzania haujaambatana na kasi kubwa ya kupungua kwa watu masikini. Idadi ya watu masikini kwa kutumia kipimo cha taifa cha...
Mkuu wa Chuo cha Usimamizi wa Wanyamapori Mweka (CAWMSO) amewaomba wanafunzi waliopo chuoni kushiriki kikamilifu katika kuzima moto katika hifadhi ya Kilimanjaro.
Mamlaka za Hifadhi za Taifa ilisema sehemu ya msitu wa mlima Kilimanjaro ilianza kuungua tangu jana mchana na waliendelea juhudi za...
Mheshimiwa Tundu Lissu aamuru Barabara ya Chato Kufungwa baada ya wafuasi wa CCM kushambulia kwa mawe msafara wake na kuharibiwa gari la vifaa vya muziki (PA).
Uchaguzi 2020 - Chato: Yaliyojiri Mapokezi ya mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu
Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA: Tundu Lissu amesema watatengeneza nchi huru na yenye haki. Nchi ambayo hakuna kiongozi atakayeogopwa kuliko Mungu.
Amesema kia mtu anahitaji haki na kila mtu anastahili kupata haki, awe askari mfanyabiashara, mkulima, mfugaji, mama lishe, bodaboda au kazi...
MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu ameendelea kuchanja mbuga kwenye mikoa ya Singida, Tabora na Shinyanga huku akisema uchaguzi huu hautakuwa rahisi kwa kuwa kura ya mwaka huu ni ya ukombozi wa nchi.
Akizungumza jana katika mikutano tofauti ya...
Kuna msemo wa wahenga usemao kuwa kizuri chajiuza na kibaya chajitembeza......................
Kwa namna CCM ilivyosambaza mabango nchi nzima, wakati wapinzani wao wa kisiasa, vyama vya upinzani, wakiwa hoi bin taabani, naweza ulinganisha usemi huo na hali halisi ya hivi sasa.
Hivi unawezaje...
MKUU wa Mkoa wa Singida, Dk. Rehema Nchimbi amesema serikali haitasita kumchukulia hatua mtu yeyote atakayehatarisha amani katika kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu.
Nchimbi ambaye alikuwa mgeni rasmi aliyasema hayo alipohutubia wananchi, wazazi na wanafunzi wakati wa sherehe za mahafali ya...
Naanza kwa kukiri kuwa mimi sio mwandishi mzuri ila uzi wa Pascal Mayalla umenifanya nijitutumue kuandika.
https://www.jamiiforums.com/threads/mebeberu-wana-malengo-na-tanzania-waanza-uzushi-wa-fujo-baada-ya-jpm-ccm-kush.
Nilitaka nitumie neno wazungu au mataifa ya Magharibi badala ya...
MKINICHAGUA OKTOBA 28, KUWA RAIS WA NCHI HII NITAWEKEZA KWA WATU, KISHA WATU WAWEKEZE KWENYE VITU"PROF. LIPUMBA"
DODOMA- CHEMBA
Tutahakikisha haki sawa na furaha kwa wote
Haki ya Elimu kwa kila Mtanzania
Haki ya Lishe Bora na uhakika kwa kila Mtanzania
Haki ya Afya Bora na ya uhakika kwa...
CCM kinajua kuwa siyo rahisi kushinda kwa sanduku la kura, sasa wapo tayari kwa lolote ilimradi warudi Ikulu upinzani wapende wasipende.
CCM kinajua kina Madudu mengi hasa kwenye miradi hasa kwenye miradi hii mimea ya STIGLERS, SGR na ununuzi wa ndege ambao hata CAG hakueleza ni vipi...
Wakuu habari,
Ni nchi gani ya Europe ambayo mtanzania akitaka kwenda kwa matembezi mafupi visa yake haina gharama kubwa sana. Nyingi naona zinahitaji insurance ambayo ni euro 30000 ambayo ni kubwa sana.
Tusaidiane wenye experience.
1. Kuna watu kujiandaa kukabidhi,
2. Kuna watu au viongozi kuhakikisha mahesabu na record zingine zimekaa sawa,
3. Kuna kuhakikisha atakaye kabidhiwa hata lipiza kisasi,
4. Kuna kuhakikisha familia zao na vizazi vyao viko salama au mahali salama kabla ya kukabidhi,
5. Kuna kujihakikishia future...
Ukiwa Rais wa nchi yoyote ile ni vema ukawa rafiki au karibu na wapinzani wote hata muda wa kufanya nao mazungumzo jitahidi uupate, dunia ya sasa hivi sio dunia ya kuwa na maadui bali kuongeza marafiki ila usalama wako unakuwa ni mkubwa sana.
Inaweza ikatokea mmoja akamhitaji mwingine ili...
Rais Magufuli ameshiriki kwa njia ya mtandao maombi ya kitaifa yaliyofanyika nchini Kenya kuliombea taifa hilo Mungu aliepushie ugonjwa wa Corona.
Maombezi hayo yaliyofanyika Ikulu ya Kenya yalishirikisha viongozi wote wakuu wa nchi hiyo na Rais Magufuli alishiriki akiwa nchini Tanzania...
"Kwa hali ilivyo sasa viumbe esp. jinsia pinzani waishio katika Tized hasa maeneo ya mijini wamegeuza swala la mapenzi kuwa kama ajira kwa maana wanadai stahiki zote a.k.a house allowance, transport allowance bila kusahau invoice za kujikimu a.k.a per diem yani misosi, saluni, vocha vocha hizi...
NICHAGUENI NIWE RAIS WA NCHI HII ILI NIWEZE KUTOKOMEZA NJAA KWA WOTE NA KUHAKIKISHA LISHE BORA KWA WAJAWAZITO NA WATOTO "PROF.LIPUMBA"
TANGA-KOROGWE MJINI
Nitahakikisha kuwa kila mwananchi anakuwa na uwezo au kuwezeshwa kupata milo mitatu kwa siku. Hatua za makusudi zitachukuliwa kuhakikisha...
Hello wanajamvi,
Mtu fulani ughaibuni anataka mahindi, tani 100 (kilo laki), ila kwa Tshs. 400 kwa kilo.
Kama hili linawezekana kwako, njoo tuongee. Mda huo unatupa kisogo...
Rais Donald Trump wa Marekani amesimamisha ghafla majadiliano na chama cha Demokratic juu ya mpango wa kusaidia kupunguza athari za kiuchumi zinazotokana na ugonjwa wa COVID-19, na kuhamishia maamuzi yoyote kuhusu mpango huo baada ya uchaguzi wa Novemba 3.
Trump ameichukuwa hatua hiyo licha ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.