nchi

  1. Global education link daraja kwa wanafunzi nje ya nchi

    Global Education Link yawakaribisha Wanafunzi wa ngazi mbalimbali za Elimu ya juu kutembelea katika Banda lao lililopo kwenye maonyesho ya 18 ya vyuo vikuu nchini Yanayoendelea katika viwanja vya mnazi mmoja Jiji Dar es salaam ili kupata nafasi yakuunganishwa na Vyuo Vikuu mbalimbali Duniani...
  2. Tanzania unaweza kusema uongo hadharani na usiwajibike popote. Sheria ya kulinda maadili itungwe

    Toka sakata la Bandari lianze nimepitia na kusoma sheria nyingi sana. Nikasoma na sheria mbalimbli za nchi nyingine. Nikagundua nchi haina sheria ya Uongo na upotoshaji wa umma. Kwa nchi ya Tanzania unaweza kwenye vyombo vya habari ukasema uongo tu ambao si wa kichochezi na usiwajibike popote...
  3. Kikwete: Rais Samia ni kiongozi asiye na papara na ni mtulivu

    --- Hivi Ndivyo Kikwete Anavyomfahamu Rais Samia, 'Anaongoza Nchi Vizuri, Ana UtulivuWakati wa kuahirisha kikao cha demokrasia kilichofanyika jijini Arusha, Rais Kikwete ameweza kukumbushia historia ya safari uongozi wa Rais Samia baada ya swali aliloulizwa na mwandishi wa habari wa The Chanzo...
  4. Namba Sita wa Yanga SC atakayetambulishwa Leo anatokea katika Moja ya hizi nchi Nne tajwa

    1. Congo DR 2. Afrika Kusini. 3. Ivory Coast 4. Burundi Ila Wenye 99% ya Kusajiliwa ni wa kutoka Congo DR au Afrika Kusini na Ivory Coast na sababu Kuu ya huyu wa Burundi kutohitajika sana ni kwamba si mzuri kivile kama tulivyokuwa tunadanganywa na Chawa wa Yanga SC Redioni, Runingani...
  5. CCM walishindwaje kumtibia Jecha nje ya nchi licha ya kuwabeba kwenye Uchaguzi Mkuu 2015?

    Nimekaa nikatafakari inakuaje mwandamizi kama Jecha Salum Jecha ndani ya CCM asipelekwe kutibiwa nje ya nchi licha ya mchango wake uliotukuka katika Uchaguzi Mkuu wa 2015 kule Visiwani. Ikumbukwe, Jecha ndio aliyekuwa mwenyekiti wa tume visiwani humo na alifuta uchaguzi baada ya kuona hali ya...
  6. Ripoti: Tanzania yashika nafasi ya 17 kwa nchi zenye amani Afrika

    Ripoti mpya ya Taasisi ya Uchumi na Amani (IEP) ya mwaka 2023 toleo la 17 imetoa takwimu ya nchi zenye amani zaidi barani Afrika ambapo utafiti huo unaonesha kuwa Tanzania imeshika nafasi ya 17 kwa amani na kushika nafasi ya 91 kidunia. IEP imesema Tanzania imeshika nafasi hiyo kwa kupata alama...
  7. R

    Unahitaji vitu VIWILI tu kutambua kuwa Hayati Magufuli na Mwalimu Nyerere ndio walikuwa marais bora kuwahi kutokea katika nchi yetu

    Habari jf , 1.Una hitaji uwe na akili kubwa sana -High IQ kama mfano wa Tundu lissu kutambua JPM alikuwa kiongozi bora na aliyeipenda Tanzania kutoka moyoni . Akili kubwa siku zote huielewa akili kubwa ,Mbali na kwamba TL katika nyakati tofauti aliwaza inawezekana JPM na Serikali yake...
  8. SoC03 Kwanini Tanzania haipigi hatua kimaendeleo kama inavyostahili

    Maendeleo, ni hali ya kutoka hatua moja hadi hatua nyingine ambayo ni bora kuliko ile ya awali. Hatua hizo ni zinaweza kuwa ni za kiuchumi,kijamii au kisiasa. Maendeleo hujumuisha maendeleo ya mtu mmoja mmoja,taasisi au nchi. ambapo maendeleo ya nchi au taasisi yanategemea sana maendeleo ya...
  9. L

    ‘Mtego wa madeni’ ni nyenzo ya propaganda inayotumika na jopo la washauri bingwa wa nchi za Magharibi

    Mwaka huu ni wa 10 tangu Pendekezo la Ukanda Mmoja, Njia Moja lilipotolewa na rais wa China Xi Jinping. Katika miaka hii 10, ushirikiano kati ya China na nchi zilizo katika njia ya Ukanda Mmoja na Njia Moja zimefaidika kwa kiasi kikubwa. Mwenyekiti wa Taasisi ya Ukanda Mmoja na Njia Moja ya...
  10. Nchi zilizoelimika sana Afrika; Tanzania tuko wapi?

    Nimeangalia video hii kuhusu nchi zilzoelimika sana Afrika na kugundua kwa nini Tanzania inapata mikataba mobovu miaka nenda rudi na kuishia kukamatwa ndege zake kama swala wanavyokamatwa na chui. Hata kama video imeskewa data, ukweli ni kuwa elimu ya Tanzania sasa hivi ni dhaifu sana. Wakati...
  11. L

    Kwanini BRICS inavutia sana nchi za Afrika?

    Mkutano wa 15 wa wakuu wa nchi za BRICS utafanyika Johannesburg, Afrika Kusini kuanzia tarehe 22 hadi 24 mwezi ujao. Ukiwa chini ya kaulimbiu ya "BRICS na Afrika: Ushirikiano wa Wenzi wa Ukuaji wa Kasi ya Pamoja, Maendeleo Endelevu na Utaratibu Shirikishi wa Pande Nyingi", mkutano huo utaangalia...
  12. SoC03 Ushirikiano wa Serikali na Jamii katika Usimamizi Bora wa Maliasili za Nchi

    Mada: Ushirikiano wa Serikali na Jamii katika Usimamizi Bora wa Maliasili za Nchi Imeandikwa na: MwlRCT 1. Utangulizi Tanzania ina utajiri mkubwa wa maliasili za nchi, kama vile madini, mafuta, gesi, misitu na wanyamapori. Maliasili hizi zina faida nyingi kwa uchumi, maisha, utalii, tiba...
  13. C

    Je, hii ni nchi au familia?

    Moja kwa moja kwenye mada, Kwa jinsi mambo yanavyoenda, najiuliza kweli hii tuliyomo ni "level" ya nchi kweli? Au ni familia ya mtu kaamua ajinywee pombe zake na kuamua chochote? Hebu tazama mifano michache hapa chini:- Hebu soma mtiririko hapo juu, Je, sisi wananchi ni "majuha"?! Au hii...
  14. Korea Kusini nchi yenye hifadhi kubwa ya silaha duniani wakataa kutoa silaha zaidi kwa Ukraine

    Raisi wa Korea Kusini Yoon Suk Yeol ameondoka nchini Ukraine kurudi Seul baada ya kufanya ziara ya kustukiza akitokea Vilnius nchini Lithuania. Raisi huyo wa Korea Kaskazini alikuwa alihudhuria kikao cha NATO kilichokutana kujadili masuala mbaimbali likiwemo suala lla misaada zaidi kwa Ukraine...
  15. Maazimio ya Kamati Kuu ya CHADEMA kuhusu suala la Bandari

    MAAZIMIO YA KAMATI KUU JUU YA MKATABA WA BANDARI. 1) Kamati Kuu inalitaka Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kufuta azimio lake la kuridhia mkataba wa uendeshaji wa Bandari nchini kwa sababu mkataba huo hauna maslahi yoyote kwa nchi yetu. 2) Kamati Kuu inaitaka Serikali kuwachukulia hatua...
  16. Hii nchi kwa sasa inakosa viongozi wenye maono na tunakoelekea hali itakuwa mbaya zaidi

    Kwa sasa tuna uhaba mkubwa sana wa watu wenye maono na fikra, wengi waliopo kwa sasa kizazi hiki ni wale ambao hawaijui kuwaza ya kesho na hawana maono ya kesho. Wao wanaiwaza leo tu na mawazo yanaishia hapo na ndio maana hakuna kitu kipo katika mpangilio mzuri wa baadae kila jambo linafanyika...
  17. Kwa kukabidhi bandari tumemkufuru Mungu. Awezaye kuomba na aombe sasa maana ghadhabu ya Mungu ipo juu yetu

    Mwenyezi Mungu alitupa nchi takatifu. Akatupatia waasisi. Akawapa elimu na utambuzi na akaamuru tuwe taifa huru. Watu mtakaoishi humo mpate hifadhi ya makazi na ardhi nzuri ya kuzalisha kila aina ya bidhaa. Ardhini akawawekea wanyama ili mkiwatumia na kuwahifadhi mpate fedha za kuishi...
  18. Mbunge Ngassa: Miundombinu ni Uti wa Mgongo Kwenye Uchumi wa Nchi

    ".. Serikali yetu imeweka nguvu kwenye Miundombinu ya uchumi kwa kuwa miundombinu ni uti wa mgongo kwenye kukuza uchumi wa Taifa na mtu mmoja mmoja. Barabara, Umeme, Mawasiliano na Huduma za kifedha ni muhimu sana katika kukuza uchumi jumuishi na shindani..." "...Hivyo tunapoona wakandarasi...
  19. Nembo kwenye mimbari ya Rais imebadilika?

    Wadau naomba msaada kwenye hii picha hapa. Mbona simuoni Bibi & Bwana? Pia soma > UTATA: Ni muda gani na wapi Rais anatumia Nembo ya Taifa, au Nembo ya Rais, kwenye mimbari?
  20. V

    Mkataba hauifungi DP World isiwekeze Congo na Rwanda. Waliizunguka Djibouti mizigo ya Ethiopia na Somalia ikawa kesi

    Associated Press Djibouti walicheza ngoma bandarini siku ya kwanza. Leo Djibouti wanalia machozi, DP World wamefukuzwa, Djibouti wanasema wameibiwa, wamelipa madola ya mafaini na magharama ya kesi za kimataifa. Hukumu ya siku za karibuni ilitoka mwezi May 2023 Washington DC. Kesi mahakamani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…