Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 18,059
- 25,114
Nimeangalia video hii kuhusu nchi zilzoelimika sana Afrika na kugundua kwa nini Tanzania inapata mikataba mobovu miaka nenda rudi na kuishia kukamatwa ndege zake kama swala wanavyokamatwa na chui. Hata kama video imeskewa data, ukweli ni kuwa elimu ya Tanzania sasa hivi ni dhaifu sana.
Wakati ninamaliza form 6, Tanzania ilikuwa ni moja ya nchi zilzoelimika sana na ndiyo maana intellectuals wengi kama Walter Rodney, Ali Mazrui na Mahamud Mamdani walikuwa wanajiona nyumbani. Pale Nkurmah Hall ikilikuwa kijiwe cha kuwekana nondo. Leo hii Tanzania hap[o kabisa kweli list ilhali Form six Div1 zetu ni lukuki sana. Tunakwenda wapi kama taifa?