nchi

  1. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Hakuna Nchi iliyowahi kufanikiwa kwa Teuzi za kulenga Chaguzi badala ya Maendeleo

    Kichwa cha Habari Chajieleza , Uongozi wowote wa Umma Duniani kote ni dhamana ya muda mfupi sana , tena ni dhamana ya kusaidia kuboresha maisha ya jamii husika (BOTTOM UP) , ni fursa kwa aliyechaguliwa kuongoza kuonyesha Uwezo wake wa kuisaidia jamii yake . Maana yake ni kwamba viongozi wa...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Siku Rais wa nchi akianzisha wadhifa wa Mfalme au Malikia na akamteua mkewe au mumewe kuwa Mfalne/ Malkia, si pia atakuwa sahihi?

    Kama Raia wa nchi anaweza kuanzisha ofisi yoyote na ikawa halali kikatiba, vipi siku Rais akiamua kuanzisha wadhifa wa Mfalme au Malikia na akamteua mwenza wake au mtu mwingine yoyote yule kushika wadhifa huo, si pia atakuwa sahihi? Hata kama Katiba yetu inatambua Tanzania sio nchi ya kifalme...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Zimbabwe: Upinzani waitisha Maandamano Nchi nzima kupinga Matokeo ya Uchaguzi

    Kiongozi cha Chama Kikuu cha Upinzani cha Citizens Coalition for Change (CCC), kimetangaza kuchuka hatua hiyo kwa maelezo kuwa Matokeo ya Uchaguzi Mkuu yaliyompa Ushindi Rais Emmerson Mnangagwa ni Batili. Maandamano hayo yatafanyika katika Majimbo 10 huku CCC ikiwaomba Wanaharakati kusambaza...
  4. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Alipotumbuliwa kwa fitina na Zengwe mlifurahia na kumkebehi Ayubu Ndugai. Leo hii mnazunguka majukwaani na kumuona Shujaa aliyetabiri nchi kuuzwa.

  5. L

    JamiiForums Tanzania Visiwa na nchi zinazopakana na bahari zaingiwa na taharuki baada ya Japan kumwaga majitaka yenye sumu ya nyuklia baharini

    Hivi majuzi Japan ilianza kuyaachilia maji taka yanayotoka kwenye kituo cha nyuklia cha Fukushima na kuyamwaga kwenye baharini ya Pasifiki, licha ya kwamba nchi zake nyingi jirani zilionesha wasiwasi mkubwa juu ya hatua hii, na hata kupinga kitendo hicho. Japan inadai kwamba eti maji haya...
  6. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Tuombe Nchi ya Marekani Ituletee Watu 100 kuja kuongoza Nchi yetu

    Maendeleo hayana ubaguzi, kwakuwa ndani ya miaka zaidi ya 60 tumeshindwa kufanya mapinduzi kwenye sekta hata 1 niombe kwa heshima na taadhima tuiombe nchi ya Marekani itupatie vichwa 100 vitusaidie kutengeneza mfumo utakaoleta matokeo haraka na kutengeneza katiba mpya yenye tija. Kwanza hao...
  7. DR Mambo Jambo

    JamiiForums Tanzania Nini kimejificha kwenye Uteuzi wa Dotto Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu? Nini maana yake kihistoria na upi mwelekeo wa Nchi baada ya Uteuzi huu?

    Baada ya kufatilia mjadala huu kwa ukaribu Sana na kuona wengi Wakitoa Presidential Decree mbalimbali zinazolindwa na katiba nimeona sio vibaya kama na mimi nitakuja na Historia kwa sababu historia huwa haidanganyi na ndio suluhisho Lini Hiki cheo kilikuwepo na watu walioteuliwa,Na nani...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Serikali ina la kuwaambia wananchi juu ya kutokupatikana kwa mtandao kipindi cha Uchaguzi 2020?

    Mmoja wa washiriki kwenye Kongamano la Maendeleo ya Sekta ya Habari 2020 amerusha swali kwa wawasilishaji Mike Mushi na Ayoub Rioba pamoja na meza ya Mgeni Rasmi Waziri Nape Nnauye kwanini serikali haijatoa ufafanuzi juu ya kupotea kwa internet kipindi cha uchaguzi mwaka 2020 kama serikali hivi...
  9. L

    JamiiForums Tanzania BRICS yaibua shauku ya nchi nyingi zinazoendelea kutaka kujiunga nayo

    Viongozi wa nchi wanachama wa BRICS ambazo ni kundi la nchi zinazoibukia kiuchumi, wamemaliza mkutano wao kilele wa 15 wa kila mwaka uliofanyika huko Afrika Kusini. Katika mkutano wa safari hii ambao umeanza Agosti 22 na kuendelea hadi Agosti 24, umekuwa ukifuatiliwa zaidi na watu mbalimbali...
  10. Webabu

    JamiiForums Tanzania Gabon: Jeshi limechukua madaraka baada ya Ali Bongo kutangazwa mshindi wa Urais

    Kikundi cha Wanajeshi 12 kimechukua uamuzi huo ikiwa ni siku chache tangu Tume ya Uchaguzi kutangaza kuwa Rais Ali Bongo ameshinda tena Kiti cha Urais Wanajeshi hao wametangaza kupitia Televisheni ya Taifa kuwa wanafuta matokeo yaliyoyangazwa na kuzifuta Taasisi zote za Umma pamoja na kulinda...
  11. Webabu

    JamiiForums Tanzania Jeuri za Ufaransa ni kama hizi kwenye nchi walizowahi kuzitawala

    Raisi Macron wa Ufaransa amesema balozi wake nchini Niger, Sylvain Itte ataendelea kubaki nchini humo japo muda aliotakiwa kuongoka na watawala wa kijeshi kumalizika.na kwamba hata matamshi yake hayo balozi huyo alikuwa akiyasikiliza akiwa yumo ndani ya Niger. Akaongeza kwamba nchi yake itaunga...
  12. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Lucas Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yake

    Kwa siku za hivi karibuni nimekuwa nikisoma nyuzi nyingi za huyu kijana mzalendo na kupata moyo kwamba nchi bado ina vijana wazalendo. Komredi Lucas mwashambwa bila kuchoka amekuwa akishusha nondo nzito nzito na kuwaacha wapinzani wa Dr Samia Suluhu Hassan wakitapatapa. Hii inaashiria nini...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Afrika tunashindwa na nchi za Asia tulizopata uhuru muda sawa. Shida ni nini?

    Jamani tuongee serious, nchi Kama India, Singapore, Malaysia, Indonesia zimepata uhuru almost the same time na nchi za kiafrika. Cha ajabu wenzetu wameendelea Sana halafu sisi bado tuna umaskini wa kutupa. Afrika jamani shida ni nini?
  14. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia apongezwa kila kona ya nchi kwa msimamo wake wa kupeleka maendeleo kila mahali pasipo ubaguzi wala chuki

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Samia anaendelea kujizolea sifa, kuandikwa jina lake kwa wino wa dhahabu katika mioyo ya Watanzania, kuacha alama za kukumbukwa na Watanzania kutokana na misimamo yake ya kizalendo na kibinadamu kwa Watanzania. Rais Samia kwa ujasiri, uchungu, ushupavu, uzalendo na...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hii nchi kuwa katika Sintofahamu nyingi halafu GENTAMYCINE anajiandalia UZANAKINI WEEK siyo Kuwasanifu na Kuwadharau Watanzania?

    Sijui ni kwanini akina GENTAMYCINE tukipata tu Vyeo na Kulambishwa KEKI RASILIMALI TANZANIA ( KRT ) huwa tunabadilika Kitabia na kuwa Watu tusiojali, wenye Dharau, Wababe, Wajeuri, Wezi / Mafisadi halafu ni Wanafiki sana kujifanya tunawapenda Watu na Kuwaonea Huruma wakati kumbe Kiuhalisia Wao...
  16. President of China

    JamiiForums Tanzania Ukweli usemwe: Aliyeharibu nchi hii ni Mwalimu Nyerere kwa kushindwa kuwapa Watanzania Elimu

    Nawasalimu wanaJF. Leo nimeamua niseme ukweli kuhusu nchi yetu hii ya Tanzania. Katika miaka 24 ya utawala wa Mwalimu Nyerere, alitangaza maadui wakubwa wa watatu wa watanzania:- 1. UJINGA 2. UMASKINI 3. MARADHI Mwalimu Nyerere hakuwa visionary leader alikuwa mwanaharakati, badala ya kujenga...
  17. Troublemaker

    JamiiForums Tanzania Kuna faida kwa nchi au wanasayansi kupeleka chombo mwezini....

    Hello guys; Wale wanaofuatilia maswala ya anga tunaomba tuelimishane wakuu... Leo habari kubwa nimekutana nayo mtandao wa Twitter ni juu ya India kufanikiwa na wao kutua mwezini. Wakitanguliwa na USA na USSR 1966 na China 2013 Sasa nikajiuliza kichwani lengo linakuwa ni nini? Kufanya utafiti...
  18. K

    JamiiForums Tanzania UK inaweza kuwa nchi ya kwanza na ya mwisho kupigwa na kombola la Nuclear la Urusi, kaingia kwenye mtego mazima.

    Baada ya kusoma habari hiyo, ni wakati sasa wa kuamini kwamba UK kaingia kwenye mtego wa Urusi na inaweza kuwa ni nchi ya kwanza na ya mwisho kutupiwa bomu la Nuclear kutoka Urusi. Kuitambua Wagner kama kikundi Cha kigaidi maana yake ni kwamba: 1) watataka kuingia mpaka ndani ya Urusi kuwasaka...
  19. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Marekani: Demokrasia inabidi iangalie mazingira ya nchi

    Katika mkutano wa wadau wa Demokrasia ulioandaliwa na TCD, Balozi wa Marekani Nchini Tanzania, Michael Battle amesema demokrasia sio lazima ifanane kwa kila nchi, lazima kila demokrasia izingatie mazingira yake. Amesema demokrasia ya Tanzania, inabidi izingatie mazingira ya Tanzania, ifanane na...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa BRICS+ wapongezwa na nchi za Afrika

    Mkutano wa 15 wa viongozi wa nchi za BRICS unafanyika nchini Afrika Kusini, ambapo viongozi wanaohudhuria mkutano huo wanajadili kwa kina mada mbalimbali ikiwemo kuimarisha ushirikiano na kupanua mfumo wa BRICS kuwa BRICS+. Afrika Kusini, ambayo ni nchi mwenyeji wa mkutano huo, imewaalika...
Back
Top Bottom