Mbunge Ngassa: Miundombinu ni Uti wa Mgongo Kwenye Uchumi wa Nchi

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,903
945
".. Serikali yetu imeweka nguvu kwenye Miundombinu ya uchumi kwa kuwa miundombinu ni uti wa mgongo kwenye kukuza uchumi wa Taifa na mtu mmoja mmoja. Barabara, Umeme, Mawasiliano na Huduma za kifedha ni muhimu sana katika kukuza uchumi jumuishi na shindani..."

"...Hivyo tunapoona wakandarasi wanapisha huku vijijini mjue Serikali ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ipo kazini kuimairisha uchumi wa Taifa na uchumi wa mtu mmoja mmoja. Tuongeze bidii kwenye uzalishaji mali na kulinda maliasili zetu ambazo Mwenyezi Mungu ametujalia kwenye maeneo yetu hasa ardhi tunayotumia kwa kilimo na ujenzi wa makazi..."

Nicholaus George Ngassa
Mbunge wa Jimbo la Igunga

WhatsApp Image 2023-07-15 at 12.49.51.jpeg
WhatsApp Image 2023-07-15 at 12.49.51(1).jpeg
WhatsApp Image 2023-07-15 at 12.49.52.jpeg
WhatsApp Image 2023-07-15 at 12.49.52(1).jpeg
WhatsApp Image 2023-07-15 at 12.49.53.jpeg
WhatsApp Image 2023-07-15 at 12.49.54.jpeg
 
Back
Top Bottom