Namba Sita wa Yanga SC atakayetambulishwa Leo anatokea katika Moja ya hizi nchi Nne tajwa

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,699
109,135
1. Congo DR
2. Afrika Kusini.
3. Ivory Coast
4. Burundi

Ila Wenye 99% ya Kusajiliwa ni wa kutoka Congo DR au Afrika Kusini na Ivory Coast na sababu Kuu ya huyu wa Burundi kutohitajika sana ni kwamba si mzuri kivile kama tulivyokuwa tunadanganywa na Chawa wa Yanga SC Redioni, Runingani, Mitandaoni na Magazetini.

Akiwa ni Makabi Lilepo nitajisikia vibaya mno kwani ni Mchezaji mzuri, mahiri na ana kila Kitu ambacho Mchezaji wa Kisasa anatakiwa awe nacho na nilitamani zaidi aje Kuichezea Simba SC yangu na angetusaidia sana kuliko Watu wanavyodhani na matokeo yake tunamrudisha Mchezaji aliyefeli Misri na Uarabuni tukihisi kuwa atakuwa ni yule yule wa Kuteleza na Kutambaa na Chaki.
 
Hakuna timu yenye Uwezo hapa Tanzania ya kumchukua mchezaji tegemezi wa Al Hilal ya Sudan.
 
Back
Top Bottom