Kwa mara nyengine nchi za kiarabu ambazo zina udugu wa damu na kiimani na wapalestina wamekutana mjini Dubai na kutoa maneno yale yale ambayo wameshayasema mara nyingi.
Safari hii wamekutana katika wakati mgumu kuliko miaka yote tangu mzozo baina yao na Israel uanze. Katika hali hiyo wametoa...
Siku chache zilizopitanilingia matatani baada ya kumtandia ngumi "mlevi" mmoja aliyekuwa anatukana hovyo matusi ya nguoni Wachezaji kwenye Luninga huku akijua fika kuwa hawamsikii bali anatusumbua tu sisi tuliopo pale kufuatilia mechi.
Utashangaa Mtu anavyomkosoa Kocha mpaka unajiuliza hivi...
Tanzania nadhani tunashindwa kuelewa kwamba nchi yetu ili iendelee lazima wafu wetu wasafiri nje . Tunashindwa kuelewa ili nchi iweze kupunguza changamoto za ajira lazima watu wake wakatafute fursa Sehemu nyingine
Tumekuwa wepesi sana kutetea wageni badala ya kutetea watu wetu. Raia wa Kongo...
Nimefuatilia kila mtu anashangaa inakuwaje nchi ya kidemokrasia Raisi ana nguvu hivi. Ndiyo maana ni muhimu kubadilisha katiba
https://www.youtube.com/live/IYfoTqmzPv0?si=LhXMtnbTxR3ff56N
Kila eneo tunapotegemea kwenda kitaifa kufanya majadiliano ya kiuchumi Rostam anakuwa mstari wa mbele. Je, hakuna wafanyabiashara wengine wanaoweza kupewa hizi fursa? Nini faida ya huyu bwana kutangulia kwenye mataifa anayokwenda mkuu wa nchi kiuchumi?
Anakwenda kutangaza biashara binafsi kwa...
Nae Baba Nyerere ndie wetu muhifadhi nae ndie alieleta Uhuru, Tanzania Yetu Ndio Nchi Ya Furaha.
Huu wimbo sijui ni nani waliimba haichuji aise, unaishi na maana yake ileile. Wimbo una historia pana ya nchi yetu kwa ufupi.
Leo hii tuna Demokrasia siasa ya vyama, tuna fedha yetu wenyewe na...
💥SOKO LETU LEO ONLINE💥
🔥🔥MADA YA LEO🔥🔥
Fursa za kuanzisha biashara mbalimbali
Habari wakuu kwa mujibu wa ratiba yetu leo kila Jumanne. Tunajadili Fursa mbalimbali za kiuchumi ambazo unaweza kuzifanyia kazi ndani ya nchi yetu kulingana na Mazingira uliopo.
Wakuu kutokana na changamoto ya...
Nchi hii hasa serikali na mamlaka zake Mungu anawaona, naandika nikiwa na hasira sio NIDA wala Uhamiaji, au Polisi kote kumeoza.
Wahamiaji haramu wametapakaa sio kwenye bar, shambani, kwa house girls, vibarua wa kufuga mbuzi, nguruwe, kuku ambao wako nchini kwenye maeneo mbalimbali wasio na...
Ujerumani inampango wa kuanza kuwarudisha kwao wahamiaji waliotoka nchi za kiislamu nchini kwao
haya yamejili baada ya channellor wa ujerumani kutembelea nchi ya Israel na kushuhudia mauji ya raia wa Israel waliouliwa na magaidi wa kundi la HAMAS linalopewa support na Palestina pamoja na...
Kwa sasa serikali ina wastani wa watumishi 700k, sekta binafsi wenye mikataba ya maana ni kama millioni 1 tu.
Tuseme hivi waajiriwa wenye maslahi angalau hapa nchini ni kama millioni 2 tu.
Wengi ni vibarua, nikimaanisha wengi wana mikataba mifupi .
Idadi ya wasomi inaongezeka kila leo.
Zamani...
Tunakuwa na mgawo wa umeme wa kutisha na unaodhoofisha uchumi wa wananchi huku tukiwa na:-
1. Gesi asilia ya kutosha
2. Makaa ya mawe ya kutosha
3. Mwanga wa jua wa kutosha
4. Nk nk
Leo tunaishia kubadilishiwa viongozi bila kuelezwa aliyetolewa ameharibu nini na kwa nini hapelekwi mahakamani...
Salaam, Shalom!!
Nimelazimika kupandisha mada hii baada ya kusoma comment ya mdau wa JF aitwaye Voice of Tanzania alipokuwa akichangia mada katika thread isomekayo,
Ni Lini Serikali ya CCM itanunua laptop Kwa Kila mwanafunzi kuanzia shule za kata?
Nilipotoa mfano wa Nchi ndogo ya Rwanda...
Kisiwa cha Patmo kipo nchi ya Ugiriki kwa sasa…Kisiwa hicho kipo mashariki mwa Taifa la Ugiriki na magharibi mwa nchi ya Uturuki, kama vile Zanzibar ilivyo mshahariki mwa nchi ya Tanzania ndivyo kilivyo hichi kisiwa cha Patmo kwa Ugiriki.
Kisiwa hicho ndicho Mtume Yohana, ambaye alikuwa...
Tanzania kukubali kuwa mwenyeji katika ufunguzi wa mashindano haya ya Caf ni heshima kubwa sana. Hivyo haiwezekani uongozi wa Caf ukubali Simba ifungwe game hii ya ufunguzi.
Hivyo itakuwa tayari mkakati wa kuiomba Al Ahly umeshafanyika kukubali kuachia .
Simba leo tule raha zetu mwanzo...
Ni jambo rahisi sana kuwaambia na kuwaaminisha waafrika kuwa kuna nchi pale mashariki ya kati imebarikiwa na jamaa anaye itwa Mungu wakakuelewa na kukubaliana nawe na wakaipenda na kuijali kuliko nchi zao.
Ila ni jambo gumu kupita maelezo kuwa ambia na kuwaaminisha wachina upuuzi huu kuwa kuna...
Wachina wana wazo moja kwamba ukitaka kuendelea na kukuza uchumi wa nchi basi lazima kuwe na miundo mbinu mizuri na imara. Wazo hili ndilo lililopelekea China kuziacha nyuma nchi nyingi ambazo hapo awali zilikuwa zinaonekana ziko sambamba na nchi hii katika umasikini. Kupitia ujenzi na...
Eran alikuwa aki serve kama bodyguard wa Swift katika tour yake ya kimuziki iitwayo Eras.
Viva Israel, Viva nchi ya ahadi.
=============
Taylor Swift‘s security guard who protected her during The Eras Tour has gone back to his home in Israel to fight against Hamas, according to Israel...
Nimesoma taarifa ya UNESCO inayoeleza kuhusu mazoezi ya Tsunami kwa nchi zilizo katika mwambao wa Bahari ya Hindi. Mazoezi haya yalitaka kupima uwezo wa nchi katika kuhakikisha jamii inakuwa tayari na kuangalia uwezo wa mawasiliano. soma taarifa hiyo hapa Indian Ocean Countries Get Ready for...
Nimefarijika sana kuona kile nilichokuwa natamani kifanywe muda mrefu sasa kinakwenda kufanywa na kikiwa kimesemwa na viongozi wa kiroho na kiimani, ni ishara jambo hilo ni la kiimani zaidi.
Ni muda mrefu nilikuwa nawaza Kwa mazuri anayofanya Rais Samia ni vyema atambuliwe rasmi kama Mama wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.