Vipigo vya AFCON ni machozi ya wachezaji wazalendo waliopambana kuipigania nchi kufuzu kisha wakawekwa pembeni kuwapisha wapya

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,033
Na nisiwe mnafki naomba hili liwe fundisho kwa nia ya dhati kabisa natamani tujifunze kwa maumivu maana wagebga walisema kusikia kwa kenge ni mpaka apigwe na kitu kizito kichwani famu zimtoke masikioni, haya maamuzi yaliyofanyika ya kuleta wachezaji wengine hayana tofauti sana na ukenge.

Mechi zooooote tupigwe, hizi mbili zilizobaki kina Mayele wateteme na kina Chama wafanya non stop target practice.

Kuna wachezaji waliwinda nyama mlimani ajabu wameshuka nayo, ajabu wanaoila ni wachezaji wengine kisa wanacheza nje, hao walikuwa wapi mda wenzao wanapambana ? wanujua uchungu waliopata wenzao ? wana ule moto waliokuwa nao wenzao ?.

Wachezaji waliopitia msoto wa kutafuta nafasi ya kufuzu AFCON ndio walikuwa na usongo wa kuendeleza mapambano ya kumaliza deni ya safari waliyoanza, kuwaleta wengine matokeo yake ni vipigo tu. hata hao waliobakizwa wanakosa chemistry nzuri na hao wapya maana kisaikolojia wapo tofauti.

Kwa akili ya kawaida hata punda akipandisha mlima na mizigo akiona anakaribia kileleni anaongeza bidii sababu anaujua msoto aliopitia na kuwa na usongo wa kumaliza kazi, hio bidii huwezi ipata kwa kumbembesha mizigo punda mwengine na pengine anaweza kuporomoka.

Kwa kauli alizotoa kocha jana nikahitimisha without doubt kocha ni wa mchongo.

Nachoona wachezaji hawa wengi walioletwa wamebebwa, hawana uchungu wala hawajui mziki wa kutafuta from scratch, wanachukulia poa haya mashindano.
 
Mkuu, kwahiyo Tanzania tulishawahi kuwa na mipango endelevu ktk mpira tukea lini?

Km taifa tunao wachezaji wangapi ambao unaona tuliwakuza na kuwalea kimkakati toke miaka 6,11,15 mpaka leo kwenye kikosi hicho?

Kweli,huyo mzungu kocha kakosea kabisa kwenda naye huko,kaaribu vya kutosha.
 
Na nisiwe mnafki naomba hili liwe fundisho kwa nia ya dhati kabisa natamani tujifunze kwa maumivu maana wagebga walisema kusikia kwa kenge ni mpaka apigwe na kitu kizito kichwani famu zimtoke masikioni, haya maamuzi yaliyofanyika ya kuleta wachezaji wengine hayana tofauti sana na ukenge.

Mechi zooooote tupigwe, hizi mbili zilizobaki kina Mayele wateteme na kina Chama wafanya non stop target practice.

Kuna wachezaji waliwinda nyama mlimani ajabu wameshuka nayo, ajabu wanaoila ni wachezaji wengine kisa wanacheza nje, hao walikuwa wapi mda wenzao wanapambana ? wanujua uchungu waliopata wenzao ? wana ule moto waliokuwa nao wenzao ?.

Wachezaji waliopitia msoto wa kutafuta nafasi ya kufuzu AFCON ndio walikuwa na usongo wa kuendeleza mapambano ya kumaliza deni ya safari waliyoanza, kuwaleta wengine matokeo yake ni vipigo tu. hata hao waliobakizwa wanakosa chemistry nzuri na hao wapya maana kisaikolojia wapo tofauti.

Kwa akili ya kawaida hata punda akipandisha mlima na mizigo akiona anakaribia kileleni anaongeza bidii sababu anaujua msoto aliopitia na kuwa na usongo wa kumaliza kazi, hio bidii huwezi ipata kwa kumbembesha mizigo punda mwengine na pengine anaweza kuporomoka.

Kwa kauli alizotoa kocha jana nikahitimisha without doubt kocha ni wa mchongo.

Nachoona wachezaji hawa wengi walioletwa wamebebwa, hawana uchungu wala hawajui mziki wa kutafuta from scratch, wanachukulia poa haya mashin
 
Kocha amezingua Mpaka afcon imeanza Hana first eleven yake .
 
Attachments

  • 4C40FFF6-7218-446D-A049-8427383EED35.jpeg
    4C40FFF6-7218-446D-A049-8427383EED35.jpeg
    95.3 KB · Views: 4
  • 9FC37D8B-CF3D-440C-BFC0-CA6E39C0C38C.jpeg
    9FC37D8B-CF3D-440C-BFC0-CA6E39C0C38C.jpeg
    113.2 KB · Views: 2
Nimeona leo mpaka mchezaji muhindi tanzania? Nikashangaaaaa
Ila drc na zambia tunawamudu
Tunawamudu wakati hao wachezaji wa nje hata control ya Mpira na kulenga mashuti golini ni shida .
Sehemu isiyo hitaji chenga Bali kupiga shuti anapiga chenga.
 
Back
Top Bottom