Rais Kagame: Hakuna chombo chochote nje ya nchi kinachoweza kuiamuru Rwanda nini cha kufanya katika uongozi

mwanamwana

JF-Expert Member
Aug 1, 2011
1,076
4,113
Akiongea wakati wa maombi ya Kitaifa Nchini humo, Kagame amesema “Watu wote tupo sawa mbele za Mungu hakuna Mtu ambaye yupo juu kuliko mwingine, ukweli huu uwe chanzo cha kuwapa hamasa na msukumo utakaowapa mwongozo wa matendo yenu kwenye masuala mbalimbali”

“Kwa kuizingatia historia ya Rwanda, changamoto tunazozipitia sasa na malengo yetu ya baadaye, ni dhahiri kwamba hakuna Chombo chochote kutoka nje bila kujali asili yake ambacho kinaweza kutuamrisha njia ipi Nchi yetu ipite, kutuamrisha Uongozi wetu uweje na wapi tuelekee, jukumu hilo ni letu sisi Watu wa Rwanda wenyewe”

“Haijalishi unatokea wapi lakini kama una maoni mazuri ambayo yanatofautiana na yangu nitakusikiliza na tutafanya mazungumzo lakini siwezi kukubali amri ya Mtu yoyote kutoka kwa wale wanaodhani ni bora kuliko sisi sote na wanaodhani wana haki kwenye huu utawala, siwezi kukubali “

-----


Kigali, January 14, 2024 – President Kagame joined hundreds of leaders at the Kigali Convention Centre for the 29th National Prayer Breakfast. This event, organized by the Rwanda Leaders Fellowship under the theme “Serving God’s People for Lasting Change,” gathered notables from the private sector, civil society, the faith sector, government officials, and international guests. Rev. Dr. Goodwill Shana, Founder and Senior Pastor of Word of Life International Ministries, delivered the day’s sermon.

Emphasizing self-reliance and rejecting global inequality, President Kagame highlighted the importance of making conscious choices for Rwanda’s development. He stressed the convergence of faith, religion, and politics in their common purpose: to serve people and build nations. Kagame urged leaders to unite, make informed choices for the country, and underscored the significance of peace, strength, collaboration, and mutual respect.

Addressing the challenges faced by countries in the Global South, President Kagame remarked, “It’s not a problem caused by God, but by us. God did His part; we squandered what was given to us.” He attributed the poverty in the Global South and the wealth in the Global North to their respective uses of divine gifts.

Reflecting on Rwanda’s journey, Kagame said, “No one, from anywhere in the world, can decide Rwanda’s path or destiny, except Rwandans themselves.” He emphasized the nation’s right to self-determination and autonomy in decision-making.

Kagame also spoke on faith, viewing it as a source of strength and guidance in making the best choices for oneself, while rejecting external imposition and dominance. He affirmed the equality of all people before God and the necessity of living by this principle.

Addressing perceived external judgments, Kagame stated, “When this nation was on fire, it was left alone. Now, we insist on making our own decisions about how to live our lives.” He welcomed differing opinions for constructive dialogue but rejected any form of external dominance or superiority.

Observers and experts on Rwanda and the Great Lakes region believe Kagame’s words are directed at the international community and human rights organizations that accuse him of human rights violations and political repression. These concerns include imprisoned journalists, alleged political assassinations, and Rwanda’s aggressive policies towards neighboring countries, especially the Democratic Republic of Congo, where, according to United Nations experts, Rwandan soldiers are extensively supporting M23 rebels.

The Rwandan opposition labels Kagame as a dictator who has monopolized power for 30 years. They criticize his rhetoric as hypocritical, citing human rights reports and the lack of democracy, evidenced by the imprisonment of presidential rivals and Kagame’s overwhelming electoral victories.

Source: President Kagame Advocates for Self-Determination at the 29th National Prayer Breakfast in Kigali
 
Mjomba nadhani muda umefika iandae Rwanda mpya bila wewe kuwa madarakani!

Andaa namna nzuri ya uchaguzi na dola imara itakayosimamia ukiukwaji was haki za watu!!

Hivyo tu,huwezi uka survive bila uungwaji mkono na mataifa jirani utaangukia pua japo unajiona unaweza!!!

Shupaza shingo wakukate kichwa hao unaodhani wanakupangia!
 
Sawa, lakini na yeye asipekue nchi jirani maana wameshamsoma sana muda si mrefu ataangushwa tena kutoka Mashariki yake
 
Muuaji nguli hataki kupangiwa! Alimfundisha bwege mmoja ukatili nalo lilivyokuwa jinga liliingia kichwa kichwa sasa hivi linajiozea ardhini.

heri utayeishi milele maana sasa mnafaidi nchi yenye umeme tele, usiyo na rushwa, yenye sukari na mafuta bei chee,,isiyo na mauaji wala polisi wake hawasweki wenye haki ndani
Nchi isiyoongozwa na sultani
Nchi ya maziwa na asali!!

Utaishi milele!!
sisi ambae tulichukia Tanzania yenye usawa na haki wacha tuozee udongoni.
 
Back
Top Bottom