Je, ni kweli Mfalme wa Nchi ya Jordan anatoka kwenye Bloodline ya Mtume Muhammad?

FRESHMAN

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
8,822
33,529
Je ni kweli utawala wa nchi ya jordan ni ndugu wa Mtume Muhammad.

Na pia Familia ya kifalme inayotawala Morocco mpaka leo hii inadai ina undugu na Mtume.
Familia ya Kifalme ya Alaouite ya Morocco inadai kuwa nasaba ya Mtume Muhammad katika ukoo wa Imam Hasan ibn Ali.

KINACHONISHANGAZA FAMILIA HIZI ZA KIFALME KWENYE NCHI ZA KIISLAMU HAZIVAI HIJABU WALA BURKA.

162233601_1678513585661744_3619516540358805529_n.jpg
JORDAN.jpg
 
Umenifungua akili. Wanalinda madaraka yao kwa kusingizia wameandikwa kwenye Quran watawale wao
Karibu wote wanasema hivyo. Jordan, Morocco, hata Haile Selassie wa Ethiopia alisema ukoo wake umetoka kwa Mfalme Suleiman.

Ni trick ya siku nyingi sana hii.
 
Morocco ndiyo baba wa uislam,misikiti ya kale kabisa iko petra na kibla zake zimeangalia Yerusalem. Utawala wa Abbasids ndiyo ulihamishia centre ya Uislam Mecca. Kama wao wanasema ni boodline ya Muhammed basi inaweza kuwa kweli.
 
Mbona Morocco hawafati sheria za kiislamu

Wanawake hawavai Hijab wala Burka.na hata mfalme wao familia yake haivai Hijabu
 
Back
Top Bottom