nataka

Nataka is a village in Mirzapur, Uttar Pradesh, India.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Nataka single movie ya kunitoa machozi

    Yaani nikiwa naitazama ifike hatua mpaka nitoe machozi ni movie gani inaweza nitoa machozi.
  2. JamiiForums Tanzania USHAURI: Nataka kununua simu 'Xiaomi Redmn Note 10 Pro'

    Wanaoijua hii simu nahitaji msaada wenu, Je, ni simu nzuri? nimeifuatilia mtandaoni inaonekana nzuri ila nahitaji wazoefu ambao wamewahi kuitumia kabla sijajilipua kuinunua.
  3. JamiiForums Tanzania USHAURI: Nataka kuacha kazi ila nina mkopo Benki

    Habari za asubuhi? Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza nimeajiriwa na serikali taaluma yangu ni Daktari wa binadamu (medical doctor) kuna mkopo nimechukua wa thamani ya mil 35. Nimefungua pharmacy pamoja na maabara. Nataka niache kazi nisimamie biashara zangu. Je, nikikimbia serikali...
  4. JamiiForums Tanzania Nataka kuigeuza Tsh. 2,000 itengeneze zaidi ya Tsh. Million 1 kila mwezi

    Nimewaza kutafuta biashara nitayopata faida sh 2000 kwa kila item. Nimepiga hesabu nitatengeneza million na zaidi kwa mwezi. Hesabu ipo hivi, niweze kuuza bidhaa 500 ndani ya mwezi, nipate shilingi 2,000 faida kwa kila bidhaa. Kwa siku niuze bidhaa 20 na kila bidhaa niuze kwa faida ya Tsh 2000...
  5. JamiiForums Tanzania Nataka kumiliki kiwanja ila kipato changu ni cha kwa siku...

    Khabari zenu ndugu zangu. Naomba mnipe mawazo katika Hili. Mimi ni kijana miaka 28 hivi, kipato changu sh 30k kwa siku but nikifanya matumizi yangu katika familia Yaweza baki 10 au 15 inategemea na siku. Nataka kununua kiwanja nina mawazo na kiwanja huu ni mwaka sasa kinanitia mawazo. Nawaza...
  6. JamiiForums Tanzania Nataka nianze biashara ya kuuza ugali na dagaa mchele

    Wakuu, Nataka nianze kuuza ugali na dagaa mchele wale wa kukaanga, nitaweka na kachumbari kunogesha au mboga za majani. Nimefikiria ugali na nyama ya kukaanga lakini nimeona itanikost sana kwenye nyama. Kwahiyo mbadala nimeona ni dagaa mchele ambao kuwapata ni hapa hapa Kigamboni. Kuna mwenye...
  7. JamiiForums Tanzania Nimeandaa milioni 1, nataka kujenga chumba na Sebule

    Habari wa nzengo (salaam kutoka Jijini Mwanza) Mimi ni kijana mpambanaji. Nimekua katika hustles kwa muda mrefu sasa naona milango ya baraka inafunguka na mimi sitaki kuchezea nafasi. Mwisho wa mwezi uliopita nilibahatika kununua kiwanja kwa bei ya kugalaliza vibaya sana. Size ya kiwanja ni...
  8. JamiiForums Tanzania Nataka kuagiza mzigo Alibaba

    Wadau habari za leo naomba kupata majibu. Nina mpango wa KUAGIZA MZIGO wa mashine ya kusaga karanga. Je, nitaibiwa au ni salama mizigo itafika?
  9. JamiiForums Tanzania Mwanamke kama wa Sabaya ndio namtaka, anayehangaika na wewe hadi kwenye changamoto

    Huyu Jamaa kapata mwanamke mzuri na mimi i wish to get such Woman. Mwanamke anayekomaa na we A part of challenges u face she is right woman. Nb simpendi Sabaya ila napenda nipate mwanamke kama wake. Sabaya hela zake zipo with-held zote since awe under custody (Arrested) so Mtu asinimbie habari...
  10. JamiiForums Tanzania Nataka Jeans Kali niende Kariakoo au Maduka ya Sinza?

    Wakuu. Nataka jeans kali kama 5 hivi. Budget ya 20,000 mwisho. Najiuliza, niende Kariakoo au nikaoambane maduka ya Vunjabei na Boss Kalewa?
  11. H

    JamiiForums Tanzania Mimi ni Mkristo nataka kufunga ndoa ya mitala nafanyaje?

    Habari wanajf Mimi ni mkristo moja kati ya ndoto zangu ni kuwa na wake wawili mmoja muislamu mwingine mkristo. Hii kitu imekuwa ikija kichwani hivi karibuni kwasababu nimekuwa na bahati ya kupata mabinti wa kislamu tena unakuta ni wife material wanastahili kuwekwa ndani na nimekuwa nikidumu nao...
  12. JamiiForums Tanzania Nataka nimfungulie kesi aliyejitambulisha kama Customer care wa Halotel kwa kunitukana bila sababu

    Habari zenu watoto wa mama (SSH) Nimejikuta wiki nzima imeharibika baada ya kupokea matusi kutoka kwa mtu ambaye amejitambulisha ni mtoa huduma kwa wateja (customer care). Nilikuwa nimepumzika zangu majira ya asubuhi ghafla nikapokea simu kutoka kwa mtu aliyejitambulisha kuwa anatoka kitengo...
  13. JamiiForums Tanzania Nataka kuanza kutengeneza marembo kwenye madirisha na nguzo, napataje vifaa mafundi wenzangu kama mpo humu?

    Ndugu zangu tunajaribu kupambana na maisha ili siku ziende, ukishika hapa unajaribu na pengine, naomba wenye kujua namna ya kupata vifaa vya kucholea marembo kwenye nguzo na madirisha anisaidie tafadhali.
  14. JamiiForums Tanzania Nina wiki ya pili kazini, ila nataka kuacha kazi

    Mazingira ya hii kampuni tu hayajanivutia. Ni kazi ya mkataba wa mwaka mmoja(renewable). So naona siwezi kuendelea nao mbele. Ndio kwanza nina week ya pili kazini ila nataka kuacha. Mnanishaurije?
  15. JamiiForums Tanzania Nataka kuanzisha App ya kukopa ,kununua bidhaa za majumbani

    Wasalaam Nilikuwa nadiscuss na dada angu wa faida kuhusu kuanzisha platform ya kuakutanisha watu wenye vipato mbali mbali hasa kipato cha kati na chini ,ila wana uhakika wa kipato hata kiduchu na ni waaminifu, Hii platform itaenda na wakati mtu akijisajili anajisajili na details zake ikiwemo...
  16. JamiiForums Tanzania Nataka Kununua Kiwanja Zanzibar

    Nimemuuzia Mpemba mmoja Kiwanja hapa Kihonda Morogoro, hakuna kikwazo chochote alichopata kipindi cha kubadili umiliki wa kiwanja toka kwangu kwenda kwake. Sasa nataka namimi niende Unguja nikanunue kiwanja kwaajili ya makazi na biashara... Naamini sitakutana na kikwazo chochote maana hii ni...
  17. JamiiForums Tanzania Nataka kufungua ad network

    Oy wazee wa tech nilikua na wazo la kufungua ad network ambayo ni special sana kwa blogu za kuswahili ila lugha nyingine nitalipa pia japo bado nipo kwenye mawazo wapi nitapata matangazo au publishers Haya nimelileta kwenu vipi mtanisapoti au ?????? Wenye blog/tovuti N.B NATENGENEZA BLOGU...
  18. JamiiForums Tanzania Nataka kununua nokia g10 zinafaa kwa matumizi ya picha

    kuna hizi simu za nokia g10 nimeona review ziko vizuri kutoka na review nilizoangalia je nyinyi watumia wa nokia g10 ni nzuri kwa picha za mchana na usiku bei nimeona around 370k za bongo
  19. JamiiForums Tanzania Sitakula kwa mama nitilie labda nione nataka kufa na hakuna namna nyingine

    Hi! Naweza nikaonekana nakufuru au naringa. Hapana, huo ni msimamo wangu tu kama wewe msomaji ulivyojiapiza kwenye baadhi ya mambo. Mimi sili kwa mama nitilie.
  20. JamiiForums Tanzania Msaada nataka kufungua day care je nianzie wapi?

    Habari wana Jf nimeamua kufungua daycare baada ya kuhitimu diploma ya childhood education nimeamua nijiajiri,hivyo ninaomba mwenye uelewa wa taratibu za kufuata anielekeze tafadhali.Ushauri
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…