Ndugu wana jamii wa Jamii Forums, naombeni ushauri wenu katika hili.
Nilipokuwa A-Level nilikuwa nina matatizo fulani shuleni na matokeo ya form 6 yalipotoka sikupata matokeo mazuri na naamini mpaka leo kuwa kuna kamchezo kalifanyika. Hili jambo limekuwa linaniuma sana kwa sababu naona kama...
Habari wanaJF,
Nawaza kujenga shule ya chekechea, sio Dar, ni mkoani, eneo ni la kutosha na sehemu hiyo ni mji ambao unakaribia hadhi ya makao makuu ya wilaya. Je, nizingatie mambo gani muhimu ?
Ahsanteni.
Bibi yangu mzaa mama ana kaka yake mdogo ambaye ana binti mzuri sana na nahisi tunapendana, kwa ufupi ni binamu yake mama.
Je, kiafrika naruhusiwa kumpelekea moto au ni mama yangu mdogo?
Habari zenu wakuu.
Pasipo kupiga chenga nyingi ni kwamba ninataka kuweka mifugo shambani hasa Kanga na Bata Mzinga, Nipo Dar ila kwa wauzaji wa Dar bei zao zipo juu sana nataka kwa Bei ya shamba.
Kama wewe unao kimojawapo au unaweza kuniunganisha na wauzaji wa bei ya chini kabisa nipatie tafadhali.
Natumain wazima kama kichwa Cha habari kinavojieleza.
Nilikuwa kwenye mahusiano na mtu lakini nilikuta tayari anamtoto wa miaka 5 mwenzangu hakuwai Kuishi na mzazi mwenzio na mtoto analelewa Kwa bibi yake, baada ya kunitambulisha yule mtoto kiukweli nilikuwa nampenda sana na mtoto alikuwa Yuko...
Habari wana jf, asalaam aleykum Muslimina.
Nianze moja kwa moja suala langu, nimekuwa na utaratibu wa kuomba overdraft miaka 4 iliyopita kiasi cha shilingi million 15.
Nimekuwa nikichukuwa kutumia fedha hizo kwa shughuli zangu za biashara ya mpunga na mahindi pamoja na korosho, kama kawaida...
Habari wakuu,
Naomba kuelekezwa sehemu wanazouza sigara kwa bei nafuu ya jumla ambayo na mimi nitakwenda kuuza jumla.
Pia na bidhaa nyingne kama k vant, konyagi nk
Wakuu kwenye misele yangu Dubai Mimi sio mfanyabiashara wa simu ila nimezikuta hizi simu OPPO A 57 bei zake imenivutia nizibebe kadhaa kupatia uchakavu bongo, je ubora wa hizi simu ukoje? Nisije kwenda kuwauzia watu simu Bomu nikaitwa tapeli, binafsi Mimi sizijui simu hizi.
Habari zenu ndugu zangu wa damu,pongezi nyingi kwa kuamka salama
Nimepata hela kidogo nataka ninunue Infinix hot 12i au 10i ipi nzuri zaidi na kama au bora zaidi ?
Karibuni sana
Habari ndugu zangu...
Nahitaji boss wakunipa gari yake niendeshe nimletee hesabu.
Naahidi tutaenda vizuri tu wala aside na wasiwasi.
Napatikana kerege chama ipo mkoa wa pwani nje kidogo ya mkoa wa Dar es Salaam
Tuwasiliane whatsapp 0679194505
Habari zenu wana Jamii forums.
Jumapili hii tulivu ya leo nimechekecha kichwa kidogo nimepata wazo la kuandika kitabu kisha nikipeleke kampuni ya ucapishaji na usambazaji kiwe kinnapatikana kwenye stationary na naduka ya vitabu.
Kabla sijaanza kukiandika nimeona ni vema niyajue kwanza...
Mambo vipi wakuu kichwa kinajieleza hapo juu nataka kwenda kwenye hiyo biashara. Mada kuu nikujua bwawa la mtera linafanya kazi kwa sasa? Mimi Nipo nje ya nchi
Na je mtaji wake wa kuanzia changamoto zake n.k Zaidi sehemu ya kupata hao samaki nimeona ni bwawa mtera ndio pata nifaa.
Onyo:
BIDADA wale wa" Mkaka gani Unatuletea inshu hizi humu , Hawa ninawaambia, Achen Wivu , sijakutongoza na Sina mwanamke JF na kwakua sitegemei kupata mwanamke humu, Tulia am free ndio maana naandika ili ikitokea nmeingiwa na Tamaa Kwa mdada wa JF, basi apitie post zangu. .
KWA JAMAA ZANGU...
Utangulizi.
Maarifa ni elimu ambayo mtu huitaji ili aweze kuitumia katika maisha yake au kusaidia wengine kwa changamoto ambazo hawawezi kuzitatua kutokana na ufinyu wa maarifa. Maarifa unaweza kuyapata kwa kutumia elimu rasmi hiisiyo rasmi mfano mtaani. Tukiongelea neno mtu wa maarifa ni yule...
Ma legends,
Nimepata changamoto ya kusafiri na huyu wife material!
Changamoto ninayopitia ni kuwa kila tukianza safari ya utalii wa ndani, huwa tunaanza kwa pamoja, kanda ya kaskazini. Tunapotoka kanda ya kaskazini mimi huwa niweke pozi kanda ya ziwa. Hapo nitakaa muda kadhaa nikirukaruka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.