nataka

Nataka is a village in Mirzapur, Uttar Pradesh, India.

View More On Wikipedia.org
  1. deemax11

    JamiiForums Tanzania Aliesoma Short Course za VETA anaruhusiwa kuendelea vyuoni

    Wakubwa samahani sana ..kama title inavyojieleza hapo juu nilikuwa nataka kujua je kwa aliesoma short course veta mfano ya electronics anaruhusiwa kuendelea kusoma vyuoni kwa ngazi tofauti kama certificate na diploma? Naombeni majibu wakuu
  2. 24 Hours

    JamiiForums Tanzania Nataka ninunue bidhaa online lakini sina kitambulisho chochote, inawezekana?

    Habari, Nataka kuagiza bidhaa online kwenye site kubwa kama amazon, ebay, aliexpress n.k lakini sina kitambulisho chochote kile, ila nina namba ya simu tu ambayo ni ya mtu. Sitaki yeyote aniagizie wala sitaki kutumia sanduku la posta la mtu mwingine. nachotaka nikiagiza bidhaa inifikie pasipo...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Nataka niwe na kampuni

    Kama thread inavojionesha ! Kama tunavojua ,sisi sote ni ndugu!! Basi naomba tusaidiane kwa hili!! Ndoto yangu ni kufanya kazi chini ya kampuni langu, ndiyo furaha nayoiwazia saana saana kwani naimani ya kua ,nikifanikisha kua na kampuni ,basi nitaweza KUJINYIMA USINGIZI kwa ajili ya kampuni...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Nataka kuhamia Bariadi Mjini kufanya biashara ya nafaka

    Kwema wadau mimi kijana mfanyabiashara mdogo wa vinywaji baridi kama soda, maji n k. Lengo kuu la kuandika uzi huu ni kuomba ushauri wa kibiashara na kimaisha. Nimepata wazo la kutaka kuhamia mjini Bariadi ili niendeleze maisha huko pamoja na biashara zangu Kwa ambaye anapafahamu vizuri...
  5. brave Mwafrika

    JamiiForums Tanzania Nataka kujenga naomba kujuzwa gharama za mambo haya

    Naomba kujua ndugu zangu, idadi ya MATOFARI, MABATI, MBAO, NA CEMENT, Ambayo yataniwezesha kumaliza ujenzi wa vyumba viwili na sebule.
  6. Fall Army Worm

    JamiiForums Tanzania Nataka kuanzisha biashara ya kuuza soda, naomba ushauri

    Wapendwa sana wanaJF, habari za asubuhi... Siku chache zijazo nimefikiria kuanzisha biashara ya kuuza soda za chupa na za kopo (take away) kwa bei ya jumla na rejareja. Mwenye uzoefu na biashara hii naomba anijuze kuhusu mtaji, faida na changamoto za biashara hii. Aidha kama kuna maujanja...
  7. IBRA wa PILI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nataka kuagiza simu ali express

    Mambo vipi wakuu nataka kununua simu ya nokia 6.1 plus kutoka ali express ni refubrished kwa wale wataalamu hii kibongo inaweza piga kazi vizuri upande wa mtandao mawazo yenu tafadhali.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Nataka kumfungulia kesi Hayati Dkt. Magufuli kwa madhila aliyowafanyia Watanzania

    Magufuli amewatendea mabaya watanzania ktk mambo mengi Sana. Tumewasikia viongozi mbalimbali wakitoka hadharani na kulalamika. Mifano hii hapa:- 1. Zitto ...shamba lake la korosho lilitaka kuchomwa 2. Askofu Mwingira amenusurika mara 3 kuuawa 3. Padre Pascal Luhengo wa Mahenge Morogoro ambaye...
  9. Mark Francis

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu biashara ya kuuza chakula (Mgahawa)

    Nimefungua biashara ya Mgahawa sehemu flani hapa jijini Dar es Salaam, nimeweka wafanya kazi 3; mmoja kwa ajili ya chips na wa2 kwa ajili ya chakula kwa sababu biashara yenyewe bado changa. Eneo ambalo nafanyia biashara lina population kubwa na halina competition kubwa sana. Mimi napitia mida ya...
  10. sanalii

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hili bando nimenunua 35,000 gb 25 voda, nataka niirudishe hii hela online

    Leo nimetoa shilling 35,000 kununua bando la internet Vodacom nikapata gb 25, hii hela inabidi izalishee hela nyingine kwa kupitia mtandao, nitaletaa mrejesho hapa
  11. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Chimamanda Ngozi Adichie:‘Nataka kusema kilicho fikrani mwangu’

    Kwa wengi, Chimamanda Ngozi Adichie alipata umaarufu wakati mazungumzo yake kwenye TED Talk, “We should all be feminists” iliposhirikishwa katika wimbo wa Beyoncé Flawless, lakini vitabu vyake vimetafsiriwa katika lugha zaidi ya 30 duniani kote. Mwandishi huyu maarufu wa Nigeria anazungumzia...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Nataka nitumie mbinu hii kupata ajira

    Nataka nijitoe ufahamu kwa kuandaa CV yangu vizuri, halafu nitaandika barua moja kwa moja kwa Rais ikulu, nitaambatanisha vyeti vyangu vyote kisha nitavizia siku rais yuko Dar. Ntapeleka barua yangu pale geti la ikulu, ntawakabidhi walinzi kisha nitawaomba wamfikishie mheshimiwa hiyo barua...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kujenga chumba na sebule ya dharura

    Wakuu habari za hapa jamvini? Nitumbukie kwenye mada yenyewe. Ni hivi nilijenga msingi wa nyumba ya vyumba vitatu moja master, sebule, dining, stoo na public toilet katika plot mbili tofauti na sehemu tofauti pia moja wilayani kwetu na nyingine katika kata yangu. Sasa kote nimeshindwa...
  14. M-FINANCE

    JamiiForums Tanzania Nataka Gari Nina Tsh 10M Madalali karibuni

    Hey nataka gari aina moja wapo KAti y’a hizi Usajili iwe namba D njoo tumalize Biashara mapema 1. Kluger 2. Harrier 3. Murano 4. Dualis
  15. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nataka nifunge zuku fiber ofrisin vipi speed yao ipo poa au wanga tu

    Habari wadau Zuku wamekuja ofisin leo wametuambia tulipie 69000 ili watuunge na fiber ya 10MB/S vp speedd yao nzur au utopolo Nasubiri ushauri wenu wadau
  16. MwanawaMUNGU41

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Kisasa cha Mahindi: Mbegu bora, Mbolea bora na magonjwa

    Habari wadau, Baada ya kuwa kwenye ajira kwa miaka 10 na kuona msoto uko pale pale,nimeamua kuingia kwenye kilimo kama njia ya kuongeza kipato cha ziada. Nimeanza kwa kukodi shamba Ruvu kwani mimi niko Dar na niko kamili kwa kuanza na heka 2. GHARAMA Nimekodi shamba laki 3(@150,000),nikafyeka...
  17. ommytk

    JamiiForums Tanzania Nataka gari aina ya Toyota IST, bajeti 5 to 6m

    Nahitaji gari aina ist bajeti yangu ni 5 to 6m gari iwe yako sio dalali sinunui kwa dalali
  18. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nataka hawa ndiyo wawe katika Benchi la Ufundi la Taifa Stars na siyo 'Goigoi' walioko sasa

    1. Mecky Mexime Kocha Msaidizi 2. Ally Mayai Meneja wa Timu 3. Juma Kaseja Kocha wa Makipa Kocha Mkuu Kim Poulsen hatufai ila awe Mkurugenzi wa Ufundi wa Timu za Taifa na atafutwe Kocha mwenye Viwango wa Kimataifa na anayejua Kucheza Soka la Kimalengo na siyo Soka la Hamasa, Siasa na Upuuzi...
  19. Mayova

    JamiiForums Tanzania Nataka kuanzisha biashara ya kuuza dawa za kuua magugu (nyasi), naombeni uzoefu

    Jamani wapendwa nataka kuanzisha biashara ya kuuza dawa za kuua nyasi kama vile round up kalachi nk. Naombeni mwenye uzoefu anipe faida na hasara za biashara hii. Asanteni sana
  20. Superbug

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nataka kuanza kula nyama ya kenge

    Nyama ya mamba inaliwa na inauzwa ghali Sana kg 1 ni 30,000/= pale kibaha kwa mzungu Sasa mamba na kenge ni ndugu je Kuna tatizo naomba ushauri. Naishi pembeni ya mto Kuna kenge wengi Sana.
Back
Top Bottom