Nataka Kununua Kiwanja Zanzibar

Boss la DP World

JF-Expert Member
Dec 12, 2021
1,997
7,539
Nimemuuzia Mpemba mmoja Kiwanja hapa Kihonda Morogoro, hakuna kikwazo chochote alichopata kipindi cha kubadili umiliki wa kiwanja toka kwangu kwenda kwake. Sasa nataka namimi niende Unguja nikanunue kiwanja kwaajili ya makazi na biashara... Naamini sitakutana na kikwazo chochote maana hii ni nchi yetu sote. Vinginevyo muungano wetu utakuwa na tatizo la kiufundi.
 
Kwani wewe ni muislamu? Kama sio thubutu ndo utajua kwamba Nyerere ndo alie jipendekeza kwa Zanzibar
 
Penye wakristo muislamu anaishi freshi lakini penye waislamu mkristo ni mtihani kuishi.
Darul s salaam(dar es salaam) ni mji wa waislam,na una jina la kiarabu,nyerere alipoacha ualimu na kujiunga na siasa,waislam wakampa nyumba magomeni na kuhudumia familia yake mpaka aliposhika hatamu,wakiristo wengi wa dar walipanga majumba ya waislam kabla ya kujenga yao,unaposema penye waislam mkiristu kuishi shida unamaanisha nini!?..jaji agustino ramadhani ni mkiristu wa zanzibar
 
Waislam wa Tanganyika nitofauti na Waislamu wa Zanzibar mfano Hussein juzi alipewa muhariko kanisani akaenda kwasababu yeye ni muislam wa Tanganyika, lakini angekuwa Muislamu wa Zanzibar hasinge kajanga kanisani, sikukuu ya idd waislamu wa bara Wana pika chakula tunakula nao pamoja tuna wapa kuku wachinje tofauti na waislam wa Zanzibar sikuku ya idd hawa kukaribishi mtu ambaye siye wadini Yao kusherekea sikukuu ya dini Yao Kwa kifuti waislam wa Zanzibar Wana ubaguzi mkubwa Sana
 
Idris abdulwakil,rais wa Zanzibar aliingia kanisani kujionea makanisa yanajaa kiasi gani jumapili..unaishi Zanzibar mji gani!?
 
Waislam wa Tanganyika nitofauti na Waislamu wa Zanzibar mfano Hussein juzi alipewa muhariko kanisani akaenda kwasababu yeye ni muislam wa Tanganyika, lakini angekuwa Muislamu wa Zanzibar hasinge kajanga kanisani, sikukuu ya idd waislamu wa bara Wana pika chakula tunakula nao pamoja tuna wapa kuku wachinje tofauti na waislam wa Zanzibar sikuku ya idd hawa kukaribishi mtu ambaye siye wadini Yao kusherekea sikukuu ya dini Yao Kwa kifuti waislam wa Zanzibar Wana ubaguzi mkubwa Sana
Sema hivi waislamu wa bara ni wanafiki tu, ila hawawapendi wa kurustu majumbani kwao, ni kwasbb ya ujilani na mambo ya kazi, ila baadhi ya wa kuristu wana chuki ya kudumu na dini ya uislamu
 
Ardhi syo Mali ya muungano ujue!

Alaf population ya watu huko sjui kama wanazid mln 5,sasa watu toka bara huku mkisema mkanunue ardhi huko si mtawamaliza?

Ila bado unaweza miliki ardhi huko
Kwa wazungu,wageni wamilikije huko
Wageni wote wanaomiliki maeneo huko hawakosi madem,wake toka huko

Ova
 
Cha kwanza hadi upate kibali cha Mzanzibar Mkaazi na ukae huko kwa muda wa miaka mi5 ndio utapewa kibali cha Mzanzibar Mkaazi. Hapo utamiliki ardhi.Kiufupi nakushauri nunua ardhi hukuhuku Bara
 
Sema hivi waislamu wa bara ni wanafiki tu, ila hawawapendi wa kurustu majumbani kwao, ni kwasbb ya ujilani na mambo ya kazi, ila baadhi ya wa kuristu wana chuki ya kudumu na dini ya uislamu
Waislam wa bara wanatofauti kubwa na waislam wa Zanzibar kwenye mambo yaki jamii hasa kwenye kushiriki mambo yaki jamii
 
Waislam wa Tanganyika nitofauti na Waislamu wa Zanzibar mfano Hussein juzi alipewa muhariko kanisani akaenda kwasababu yeye ni muislam wa Tanganyika, lakini angekuwa Muislamu wa Zanzibar hasinge kajanga kanisani, sikukuu ya idd waislamu wa bara Wana pika chakula tunakula nao pamoja tuna wapa kuku wachinje tofauti na waislam wa Zanzibar sikuku ya idd hawa kukaribishi mtu ambaye siye wadini Yao kusherekea sikukuu ya dini Yao Kwa kifuti waislam wa Zanzibar Wana ubaguzi mkubwa Sana
Ulishawahi kwenda yakakukuta haya unayosema?
 
Acha uongo kijana. Uongo sio dili.
Kanisa la KKKT lililopo Mwanakwerekwe wamepewa kiwanja na Serikali na Rais wa wakati huo Dr. Salmin Amour Juma ni Mzanzibari asie na chembe ya Utanganyika ndie aliefungua kanisa.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom