Nataka single movie ya kunitoa machozi

Mkuu kuna movie sema nimeisahau jina lake. Ni movie ya kidini, kuna jamaa, mwanaume kama ana matatizo ya akili ila ana mtoto wa kike na mama yake(bibi yake mtoto). Kuna wakati atapelekwa jela kwa kusingiziwa kumuua mtoto wa jeneral wa jeshi. Katika jela atakutana na waislamu ambao wataishi naye vizuri na wakimsaidia kutoka jela.

Note; Movie ya kikristo.
 
Mkuu kuna movie sema nimeisahau jina lake.Ni movie ya kidini,kuna jamaa,mwanaume kama ana matatizo ya akili ila ana mtoto wa kike na mama yake(bibi yake mtoto).Kuna wakati atapelekwa jela kwa kusingiziwa kumuua mtoto wa jeneral wa jeshi.Katika jela atakutana na waislamu ambao wataishi naye vizuri na wakimsaidia kutoka jela.

Note;movie ya kikristo.
Miracle in the cell
 
Kuna movie ya Suniel Shetty inaitwa Dhadkan. Jaribu hii movie ila ili ulie unatakiwa uwe na concentration na ukimya wa kutosha. .

A uangalie nyimbo za kumuomboleza Magufuli na movie ya msiba wake utalia sana unaweza lia mpaka ukakauka maji mwilini. .
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom