Nataka kununua nokia g10 zinafaa kwa matumizi ya picha

Richmoto Kushmoto

JF-Expert Member
Jan 18, 2021
549
557
kuna hizi simu za nokia g10 nimeona review ziko vizuri kutoka na review nilizoangalia je nyinyi watumia wa nokia g10 ni nzuri kwa picha za mchana na usiku

bei nimeona around 370k za bongo
 
Trust me hakuna sim kali ya picha around hiyo hela, labda uvute nguvu upate midrange za Xiaomi zina afadhali.
 
Kama unahitaji simu kwa ajili ya picha kwa hiyo bajeti nadhani Google pixel 3a itakufaa, tena na chenji inabaki
Sasa mkuu tangu Pixel 3a moaka saivi miaka mingapi imepita na probability kupata mpya tizi, anaenda kuoambanishwa ma refurbished.
 
Back
Top Bottom