nataka

Nataka is a village in Mirzapur, Uttar Pradesh, India.

View More On Wikipedia.org
  1. Ali Nassor Px

    JamiiForums Tanzania Sitaki nifike mbali leo nataka niongee na mzee nimwambie jambo

    nimemaliza chuo mwaka 2005 . nikafanya kazi maeneo kadhaa wakinizingua naacha. huwa sipendi kuzinguliwa kazini. kwahiyo usitegemee uniajiri alafu ulete za kuleta eti nikuache kama sijakuwamba makofi basi naweza kukupa maneno hauwezi kunisahau maisha yako yote mpaka unadead. so kuna sehemu...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nataka leo kwenda kusali free church

    Mzuka Wanajamvi! Kanisa la Feel Free Church liko wapi Dar na mtaa gani? Nataka kwenda kusali hapo leo. Ratiba ya ibada ikoje? Msaada kwa yotote anayejua.
  3. 4

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu nataka majibu katika mambo haya

    Waziri utukufu wa mungu ukawe juu yako, na nakupa pole na majukum yako kwa mbali sana maana ni kazi yako na ujira unalipwa hufanyi bure. Naja kwenye dhumuni la andiko hili, moja kwa moja maana u waziri mwenye dhamana kwa hili. Ndugu waziri chini ya wizara yako vipo vitengo vingi ambavyo kwa...
  4. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Mwezi ujao nataka nifunge adsl ya ttcl nipunguze gharama a internet, naombeni muongozo wenu wakuu..

    Mimi ni fundi seremala huwa napenda sana kutumia internet hasa youtube kuongeza ujuzi. Nimejikuta natumia wastani wa shilingi laki moja na elf 30 kila mwezi kwajili ya internet kwenye kucheki youtube, netflix, kudownload cartoon za watoto, kushare internet, n.k. Nataka nipunguze gharama hio...
  5. MR LINKO

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nataka kumfungulia biashara ya Salon

    Habari wana jukwaa wa jamii forums Niende kwenye mada moja kwa moja nina idea ya kumfungulia dogo salon, nina maana salon ya kiume simple tu wala sio ya gharama. Namchukulia vitu vya kawaida tu kama mashine za kunyolea mbili na vitu vidogo vidogo, kiti ataanza nacho kimoja na kochi la wateja...
  6. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Utofauti wa dini ulivyonifanya nikamkosa wife material, nataka kubadilisha dini je, nimerogwa?

    Pamoja na kuzurura koote nikadondokea babati mjini nikakutana na binti age 22, binti fulani Mwenye asili ya kigoma but baba yake kazaliwa hapo babati na mama ake pia, Aisee binti anazo sifa zote za kua wife material mda mwingi amekulia kwa bibi yake maana wazazi wake wako endasaki (ni mji...
  7. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Nataka kuappeal matokeo yangu ya A-Level ya zaidi ya miaka 10 iliyopita

    Ndugu wana jamii wa Jamii Forums, naombeni ushauri wenu katika hili. Nilipokuwa A-Level nilikuwa nina matatizo fulani shuleni na matokeo ya form 6 yalipotoka sikupata matokeo mazuri na naamini mpaka leo kuwa kuna kamchezo kalifanyika. Hili jambo limekuwa linaniuma sana kwa sababu naona kama...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Ni mambo gani ya kuzingatia kama nataka kujenga shule ya chekechea?

    Habari wanaJF, Nawaza kujenga shule ya chekechea, sio Dar, ni mkoani, eneo ni la kutosha na sehemu hiyo ni mji ambao unakaribia hadhi ya makao makuu ya wilaya. Je, nizingatie mambo gani muhimu ? Ahsanteni.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni sawa kumpelekea moto mtoto wa kaka yake na bibi?

    Bibi yangu mzaa mama ana kaka yake mdogo ambaye ana binti mzuri sana na nahisi tunapendana, kwa ufupi ni binamu yake mama. Je, kiafrika naruhusiwa kumpelekea moto au ni mama yangu mdogo?
  10. De Professor

    JamiiForums Tanzania Nitapata wapi Muuzaji wa Kanga na Bata mzinga kwa Bei ya Shamba?

    Habari zenu wakuu. Pasipo kupiga chenga nyingi ni kwamba ninataka kuweka mifugo shambani hasa Kanga na Bata Mzinga, Nipo Dar ila kwa wauzaji wa Dar bei zao zipo juu sana nataka kwa Bei ya shamba. Kama wewe unao kimojawapo au unaweza kuniunganisha na wauzaji wa bei ya chini kabisa nipatie tafadhali.
  11. Aaliyyah

    JamiiForums Tanzania Nataka kukaa mbali na mtoto

    Natumain wazima kama kichwa Cha habari kinavojieleza. Nilikuwa kwenye mahusiano na mtu lakini nilikuta tayari anamtoto wa miaka 5 mwenzangu hakuwai Kuishi na mzazi mwenzio na mtoto analelewa Kwa bibi yake, baada ya kunitambulisha yule mtoto kiukweli nilikuwa nampenda sana na mtoto alikuwa Yuko...
  12. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Nataka kuweka stop order kwa benki inayotaka kuuza nyumba yangu Mbeya Mjini

    Habari wana jf, asalaam aleykum Muslimina. Nianze moja kwa moja suala langu, nimekuwa na utaratibu wa kuomba overdraft miaka 4 iliyopita kiasi cha shilingi million 15. Nimekuwa nikichukuwa kutumia fedha hizo kwa shughuli zangu za biashara ya mpunga na mahindi pamoja na korosho, kama kawaida...
  13. PANTHERA LEO

    JamiiForums Tanzania Msaada: Biashara ya sigara

    Habari wakuu, Naomba kuelekezwa sehemu wanazouza sigara kwa bei nafuu ya jumla ambayo na mimi nitakwenda kuuza jumla. Pia na bidhaa nyingne kama k vant, konyagi nk
  14. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Mwenye ufahamu kuhusu hizi simu za Oppo ,A57 hebu tujuzane, nimezikuta Dubai nataka nizizowe ila sina ufahamu nazo.

    Wakuu kwenye misele yangu Dubai Mimi sio mfanyabiashara wa simu ila nimezikuta hizi simu OPPO A 57 bei zake imenivutia nizibebe kadhaa kupatia uchakavu bongo, je ubora wa hizi simu ukoje? Nisije kwenda kuwauzia watu simu Bomu nikaitwa tapeli, binafsi Mimi sizijui simu hizi.
  15. JITU LA MIRABA MINNE

    JamiiForums Tanzania Nataka ninunue Infinix hot 12i au 10i wazee vipi ubora wake kwa wale walioinunua

    ufanisi wake ukoje?
  16. JITU LA MIRABA MINNE

    JamiiForums Tanzania Nataka ninunue Infinix hot 12i au 10i wazee vipi ubora wake kwa wale walioinunua

    Habari zenu ndugu zangu wa damu,pongezi nyingi kwa kuamka salama Nimepata hela kidogo nataka ninunue Infinix hot 12i au 10i ipi nzuri zaidi na kama au bora zaidi ? Karibuni sana
  17. Ephraim fundi umeme

    JamiiForums Tanzania Nataka gari nifanye tax driver

    Habari ndugu zangu... Nahitaji boss wakunipa gari yake niendeshe nimletee hesabu. Naahidi tutaenda vizuri tu wala aside na wasiwasi. Napatikana kerege chama ipo mkoa wa pwani nje kidogo ya mkoa wa Dar es Salaam Tuwasiliane whatsapp 0679194505
  18. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Nataka kuandika kitabu nikipeleke kampuni ipi nzuri kwajili ya uchapishaji na usambazaji? Malipo yapo vipi? Kuna uaminifu katika kunipa mgao wangu?

    Habari zenu wana Jamii forums. Jumapili hii tulivu ya leo nimechekecha kichwa kidogo nimepata wazo la kuandika kitabu kisha nikipeleke kampuni ya ucapishaji na usambazaji kiwe kinnapatikana kwenye stationary na naduka ya vitabu. Kabla sijaanza kukiandika nimeona ni vema niyajue kwanza...
  19. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Nataka kuandika kitabu, nikipeleke kwenye kampuni ipi nzuri kwajili ya uchapishaji na usambazaji ? malipo yapo vp ? kuna janja janja zipi za kukwepa ?

    moved
  20. A

    JamiiForums Tanzania Nataka kuconnect na Wataalamu wazoefu wa Interior design

    Kwa wale wataalamu na wazoefu wa interior design (commercial na villas) tuwasiliane, kampuni au freelancer
Back
Top Bottom