nataka

Nataka is a village in Mirzapur, Uttar Pradesh, India.

View More On Wikipedia.org
  1. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Unaweza kuzalisha ajira kwa ajili ya vijana 5 wa kitanzania?

    Habari za wakati Kufikiria sio kazi rahisi,ni kazi ambayo ina ugumu wake. Je unafikri unaweza kuzalisha ajira kwa ajili ya vijana 5 wa Kitanzania katika eneo ulipo?Je ajira utakayowapatia itakuwa na sifa gani,utawalipa kiasi gani,itakuwa na faida gani kwa jamii inayokuzunguka? Zingatia kwamba...
  2. JamiiForums

    JamiiForums Tanzania Shindano: Uandishi wa Mtandaoni wenye kuleta tija (Stories of Change)

    Jamii Forums (JF) ni Asasi ya Kiraia inayoratibu mtandao wa JamiiForums na kuhamasisha Haki za Kidigitali, Demokrasia, Uwajibikaji na Utawala Bora. Jamii Forums imekuwa mstari wa mbele katika kuhamasisha uandishi wa maudhui bora na yenye tija mtandaoni kwa zaidi ya miaka 15 kwa kutoa jukwaa la...
  3. Mwakitombeo

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria: Mazingira anayolelewa mwanangu wa mwaka mmoja si salama nataka nimchukue

    Mwaka 2019 mwezi wa tano nilibahatika kuzaa na binti mmoja ambae nilimpenda sana ila tulikuja kushindwana baada ya kuwa na tabia za kiswahili na kuwa mtu wa starehe yale maisha yalinishinda tukatengana. Nikawa natoa huduma za mtoto kipindi yupo kwao kitu kilicho nifanya mpaka naandika uzi...
  4. Deadbody

    JamiiForums Tanzania Nataka kung'oa mzungu, naomba msaada kwa hapa Dar wazungu wanashinda mitaa ipi?

    Waswahili nimewashindwa,kila demu wa kibongo anataka na ya kutolea. Makato yamezidi, watanifilisi hawa. Hivyo Ni mitaa ipi nikihudhuria sana naweza pata Toto la mbele huko, haijalishi mjapani au mzungu. Natanguliza shukrani
  5. ommytk

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nataka kutumia mchango wa harusi kujenga nyumba

    Wadau ebu naomba ushauri wenu nitarajia kuchukua jiko sasa michango imefika 42 millin na point kadhaa na watu bado wanatoa Imenijia wazo hizi hela nifanye jambo lingine nina kiwanja Bunju nikajenge nyumba fasta ya japo 35m nipate kustirika kikao cha mwisho sitokei natuma mjumbe mjomba...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Nataka kununua gari kwa mara ya kwanza kutoka Sbt japan. Msaada wa procedures.

    Habari za kazi wanandugu. Kazi iendelee ila irekebishwe kidogo maana tozo na ugaidi vimezidi. Twende kwenye mada. Mimi nina uzoefu kidogo kununua magari kutoka Beforward, kwa mara ya kwnza nilitumia wakala, ya pili nikazama mwenyewe mtandaoni nikachagua ninayotaka process zote za malipo hadi...
  7. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Nataka nikaishi Burundi au Rwanda; naombeni ushauri na muongozo cha kufanya

    Habari wadau! Nataka kuhama Tanzania niende nikaishi zangu Burundi au Rwanda naombeni ushauri na muongozo wa maisha kule.
  8. Chomo

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nataka kujua thaman na ubora wa pikipiki aina ya Boxer

    Wakuu hivi karibuni natarajia kununua chombo cha moto (piki piki) Mapendeleo yng ni kuwa na piki piki aina ya boxer,lkn naziona zipo tofaut tofaut,zingne nasikia zinaitwa mdomo wa mamba.. Kwa anaejua tafadhari; Ipi ni Boxer imara zaid kuliko nyingne? Bei yake imesimama ngapi huko madukani...
  9. Mboka man

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nataka kuoa ifikapo mwakani. Naanzaje kujipanga na ndoa?

    Kuna binti wa kisukuma nina mpango wa kumuoa na home kwao tiyari natambulika. Nipeni maujuzi ya kujianda na ndoa na maisha ya ndoa maana soon nataka nianze process za ndoa. Kuhusu dini yeye Pentecosti na mimi Moroviani
  10. Lameckjr

    JamiiForums Tanzania Nataka kuhamia Botswana naomba muongozo

    Wakuu habari zenu! Jamani mimi ni kijana wa kitanzania ambaye nataka kubadilisha mazingira nihamie Botswana 🇧🇼 japo kibishi bishi ,naomba ushauri au connection. Asante.
  11. Tripo9

    JamiiForums Tanzania Simu nikitype message kwa Kiswahili nataka yale maneno automatically yawe saved ili next time nikitumia hayohayo kwenye kutype nichague tu

    Hii naamini ni settings tu Nataka Simu nikitype message kwa Kiswahili nataka yale maneno automatically yawe saved ili next time nikitumia hayohayo kwenye kitype nichague tu Aina ya simu Redmi Nisaidieni.
  12. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Nataka niongeze tattoo mkono wa kulia

    NAtaka kuchora tattoo mkono wa kulia ili kuendana na hiyo ya kushoto, napokea ushauri
  13. R

    JamiiForums Tanzania Nataka nitrack simu ya mwanangu nifanyaje

    Habar wadau !! Nina mtoto nyendo zake sizielewielewi sasa nataka ni hack SMS za kawaida ili niweze kuzisoma bila kushika simu Nataka nimtumie link either whatsapp au gmail kisha nimpigie nimwambie abonyeze io link kisha mm niweze soma sms zake huku Nifanyaje NOTE sitak purchase plan...
  14. Ryzen

    JamiiForums Tanzania Baada ya Husle za hapa na Pale kuzingua nataka nije na hii plan

    Niajee wadau, baada ya husle zangu za hapa na pale kutoonesha matunda mazuri kutokana na kuwa connection hafifu nimekuja na plan hii.. Nataka niingie CCM, niwe mwanachama kindaki ndaki wa CCM yaani mpaka nitengeneze connection kwa ajili ya fursa nizitarajiazo. Je kwa wazoefu is this working...
  15. Ryzen

    JamiiForums Tanzania Nataka Nifanye hii Biashara, Wazoefu Tusaidiane

    Niaje wakuu.. Kuna Hii Biashara ya Vibanda vya Movie naona ina return nzuri asee.. 30K per Day kawaida sana. Nimeipenda kwani ina mtaji mdogo lakini pia ni ngumu kuleta Hasara na pia rahisi kufanya. Sasa mie nataka niweke Goli hilo liwe la kuuzia Movies, Miziki, vitu kama Flash na accessories...
  16. EvilSpirit

    JamiiForums Tanzania Nataka kufunga satellite dish mwenyewe

    Ninataka kufungu satellite dish mwenyewe. Ni la kampuni ya Zuku. Ninaomba muongozo nilielekezee upande gani ili nipate signal na pia step by step jinsi ya kusearch chaneli
  17. R

    JamiiForums Tanzania Nataka kufungua kiwanda cha kuponda na kukatakata plastic Bottle (PET bottle crusher)

    Habar wana jamii forum polen na majukumu leo nimeona nije na hii mada ngumu naomba kwa wenye uzoefu mnipe mbinu na changamoto za hii biashara Nina mpango wa kufungua kiwanda cha PET BOTTLE RECYCLING kiwanda cha kusaga na kukata chupa za plastic nimeongea na kampuni moja ipo china jina kapuni...
  18. KiuyaJibu

    JamiiForums Tanzania Nataka kufanya biashara ya kuuza gesi

    Nina rafiki yangu mmoja ambaye amebahatika kukutana na kuongea na bosi mmjo wa kampuni moja kubwa iliyojikita kwenye biashara ya mafuta na gesi; katika maongezi yao rafiki yangu alipendezwa na kufanya biashara ya kuuza gesi. Wakakubaliana kuwa anataka kufanya biashara ya kuuza gesi iliyoko...
  19. scientificall

    JamiiForums Tanzania Nataka kuongezaka/kunenepa fasta, nipate diet gani?

    Kichwa cha habari hapo juu chahusika Baada ya kupata kazi na kuwa na uhakika wa kipato sasa nataka nishughulike na kutafuta mwili maana sifurahii huu wembamba japo sina maradhi yoyote yanayoweza sababisha hivi. Mimi ni kijana wa miaka 27 sijaoa naishi mwenyewe. Sasa nataka kuongeza mwili...
Back
Top Bottom